Wasindikizaji wa msafara wa Lema watawanywa na Polisi mkoani Manyara

mambo mengine H ivi hawa Polisi wakiamua kuacha pasi kufanya haya wanayo fanya kuna nini ?- Maana amani haijavunjwa
Hizi amri nani atoa kwa Polisi kukama ovyo wapinzani ? - Nviongozi wa CCM au wakuu wa jeshi la polisi

Busara itumike SI KILA JAMBO kutumia manguvu
wanacho jaribu kufanya ni kupunguza kasi ya mabadiliko.
 
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh. Godbless Lema alizuiliwa na madereva wa boda boda ya piki piki za biashara akitokea Arusha kuelekea Dodoma kwenye kikao cha Bunge.

Wafanyabiashara hawo walimzuia Lema nakutaka angalau neno lake moja kwaajili ya unyanyaswaji wanao upata kutoka kwa jeshi la police, Lema alisimama na kuongea nao kwa dakika kumi na sita kisha akaongozana nao mpaka kwenye ofisi za chama (Chadema)na kuwapatia bendera za chama kwaajili ya kueneza chama.
Baada ya Lema kuondoka katika maeneo hayo na sasa yupo mjini Dodoma wafanyabiashara hawo wamekamatwa na jeshi la Police kwa kupeperusha bendera za Chadema. Kuna uvumi unasema Lema amekamatwa huu ni uongo mkubwa sana Lema haja kamatwa na tayari kaingia mjini dodoma.

Kuhusu jeshi la police:
Huu ni uonevu wa hali ya juu sana kuzuia watu wasiwasilishi hisia zao pale wanapo ona ni muda muafaka wa kufanya hivyo, tunalaani vikali ukandamizwa huu wa kipuuzi mno na hata mjinga hawezi kuufanya na sijui nitoe jina gani litakaloweza kusimama badala ya mjinga, mungu awatie moyo wa ujasiri wale wote waliyopata misuko suko hii, safari bado ni ndefu na nilazima tusonge na tufike.

Nilipo Blue,

Je walikuwa na kibali cha kufanya mkusanyika huo?
 
Tetesi zina source! Anyway, source ni tetesi.

Ni kweli jana Lema alimchana live RC wa Arusha redioni, nachoona sasa RC na OCD Vs Lema na CDM Arusha. Huyu RC inaonekana ni kama ametumwa kukamilisha mission fulani hapa Arusha na nadhani hali itakuwa mbaya zaidi.

mission yenyewe imeanzia bagamoyo.''Rais ajaye hatatoka kaskazini'' RC ana mission zaidi ya moja.
1:Kuiangamiza CHADEMA
2:Kuendeleza makundi ya magamba..............................kummaliza EL.
3:.................
 
Nilipo Blue,

Je walikuwa na kibali cha kufanya mkusanyika huo?

wakati ule tulipokua 2naambiwa kikwete alipokua anapita na msafara wake na akawa anasimamishwa ili awasalimie wananchi alikua na kibali?yan kila anachokifa lema hadi apewe ruhusa?au awe anawafukuza watu wanaotaka kumwona?
 
policcm,RC,OCD arusha,rejao,wanatakiwa wakapate chanjo na pia wapelekwe loliondo manake wana masaburi kwenye ubongo zao,
 
Sasa Watanzania ndio wajue nchi hii inatawaliwa kwa mabavu chini ya Fisadi papa, aliiba kura akafikiri atapata neema kumbe ndio kawasha moto. Hatuwezi kuwa watumwa kwenye nchi yetu wenyewe na kuneemesha wageni ambao wamewahonga watumwa.
 
Back
Top Bottom