Something is wrong with this guy
Huyu jamaa akapimwe akili. Yeye kila siku ni misukosuko tu.
Something is wrong with this guy
kitendo cha kufanya mikutano ya hadhara bila kibali tayari ni uvunjaji wa sheria! Anafikiri yeye ni nani? Ndio maana nimesema atakuwa na matatizo. Kama mbunge ingetakiwa yeye ndiye awe mstari wa mbele kupigania utawala bora wa sheria.
Something is wrong with this guy
Updates;
Baada ya kuibuka mkanyiko huo nilifanya mawasiliano na Mh. G. Lema na kunithibitishia ni kweli yupo Dodoma. Wakati nimemaliza kuongea nae SunRise waliongea na Lema na kufanikiwa kudaka mazungumzo yao. Sijui jinsi ya kuweka MP3 kwenye net ngoja niombe msaada ila muda si mrefu mtasiokia mahojiano hayo.
Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Mh. G. Lema amekamatwa leo hii akiwa njiani kuelekea Dodoma kuhudhuria kikao kinachiendelea cha bunge.
Mazingira yalipolekea kukamatwa yalikuwa hivi:
Wakati akiwa mkoani hapo Machinga na madereva wa boda boda walimtambua na kumzuia ili awasalimie, wakati akiwasalimu alikamatwa na mpaka saizi bado yupo kituo cha polisi Manyara akihojiwa.
Taarifa zisizo rasmi zinasema kuna uwezekano mkubwa ikawa ni fitna ya mkuu wa mkoa Arusha ambaye aliitwa mjinga na Lema jana wakati akiongea na radio ya Sunrise Arusha na kutakiwa kufuta kauli yake na yeye Lema kukataa.
Bado nazidi kufuatilia.
Something is wrong with this guy
Huyu jamaa akapimwe akili. Yeye kila siku ni misukosuko tu.
Mods kama jamaa hajakamatwa then this thread is invalid and may as well go to the trash can!!!Radio 5 (News 8pm) wamedai kuwa Lema amewajulisha kwamba HAKUKAMATWA bali Polisi waliwatawanya riders wa Bodaboda waliokuwa wanamsindikiza.