Elections 2010 Wasifu wa Dr. Slaa: Download, SAMBAZA!

Status
Not open for further replies.
Batilda ni mtu wakaribu ki unyumba na EL na pia amewekwa ili kundaa safu(support) ya EL 2015.
Sisi tunaangalia sasa, ila EL anajipanga 2015 kupitia watu aliowaweka, huwezi Amini pale Mtaa wa spea December
alifungua tawi la wakereketwa akawapa rushwa ya 800,000 na ikaliwa na watu 3 tu, wakasema
hela ya mjinga huliwa nawerevu, na hatumpigii. je ni ngapi kama hizo zimeliwa ili kushawishi watu wampigia mta mzima.

hayo yote anayotokea ni kwamba amekuja kugundua ameliwa vya kutosha na sasa anataabika atarudishaje hela zake.

Kifupi mama ni Son of the bitch, means the materia of no commercia value. Sababu kwa mama yake ana watoto 4, yeye akiwa
kwanza mama yake akiwa anafanya Arusha hotel akazaa na mzanzibari asiyejulikana, so hamjui baba yake.
Pili mama yake akaja akazaa na mzungu mtoto wa pila, then mzugu akafukuzwa nchini sababu ya ufisadi. mama yake akaolewa tena
muarusha akazaa watoto wawili eugen na mwingine ambao akama umesikia mgombea arusha anatembea na waizi habari
ndio hio wadogo zake wana bad records ya wizi mkubwa.

habari ndio hio kifupi anavyokulikana bibie batilda.

Triple DDD,tafadhali.Hizi ndo siasa tusizozitaka.Yeye Batilda hakuchagua kuzaliwa na mama yake (kama ni kweli habari hizi),wala hakuchagua kuwa na ndugu waovu. Kama kuna mahali ambapo alitumia nafasi yake kama mbunge au waziri kupindisha haki,unaweza kuzungumzia.Ila habari ya yeye kuwa na baba asiyemjua(kama mama yake ni Mtanzania,inampa haki ya kuwa Mtanzania kama ambavyo Obama ni mmarekani) sidhani kama zinatusaidia hapa.
 

Heshima kwako TripleDDD,

Mkuu hivi ulikuwa hujui Lema akishinda ubunge lazima atautema mapema.Sababu zipo nyingi moja kubwa ni kudanganya ana Advance diploma Human Resources Management wakati hata cheti cha Form Four hana akiwa mpole sasa haitasaidia kitu mwambie aendele kutukana umaarufu uzidi kupanda.
Mkuu RPC wa Arusha alimwambia Lema atamweka ndani iwapo ataua tu anayo kinga mpaka tarehe 31/10/2010 kesi za kutukana,kudhalilisha,kutapeli zitasubiri uchaguzi umalizike haitajalisha kashinda ubunge au kashindwa ,kwahiyo kama unategemea Lema aswekwe korokoroni peleka ushahidi wa mauaji.Nadhani ulikuwepo siku kamanda Basilio Matei alipomweleza Lema mbele ya wafuasi wake na viongozi wa CHADEMA.


Je wewe ni mmojawapo wa Tukukuru walioamriwa kumchafua? kama sivyo basi acha mchecheto
 
Nimekugongea thanks King'asti maana hii tena imekuwa toooooooo much! Kutukanwa mama wa watu mpaka matusi ya nguoni vina faida gani? Kama hutaki kuipigia CCM huo ni uamuzi wako lakini matusi hayasaidii cho chote.

Eti mama ni "son of a bitch .... material of no commercial value" - hamuwachi nyinyi akina Triple D.

Si ndiyo huko kanisani munaambiwa kabla ya kuondoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako uondoe boriti kwenye jicho lako. Au mahubiri yamebadilika kwenye kampeni hivi sasa?
 
kuna posti iliyohoji huyu mgombea kwa tiketi ya CHADEMA kapataje doctorate yake. Mi naangalia mdahalo ITV, sina wasiwasi iwe ka-upgrade certificates au nini, the guy IS A DOCTOR.
 
kuna psoti iliyohoji huyu mgombea kwa tiketi ya CHADEMA kapataje docotorate yake. naangala mdahalo ITV, sina wasiwasi aidha ka-upgrade certificates au nini, the guy IS A DOCTOR.

hahaaaaa Huyu sio Dakta wa kupewa na akina Kalonzo....Dahhh anapiga vitu vikali sana
 
dah,aisee bora kuwa mjinga lakini usiwape nafasi hawa mafisadi wakuingize kwenye 10 zao
 
Nimekugongea thanks King'asti maana hii tena imekuwa toooooooo much! Kutukanwa mama wa watu mpaka matusi ya nguoni vina faida gani? Kama hutaki kuipigia CCM huo ni uamuzi wako lakini matusi hayasaidii cho chote.

Eti mama ni "son of a bitch .... material of no commercial value" - hamuwachi nyinyi akina Triple D.

Si ndiyo huko kanisani munaambiwa kabla ya kuondoa kibanzi kwenye jicho la mwenzako uondoe boriti kwenye jicho lako. Au mahubiri yamebadilika kwenye kampeni hivi sasa?
Ungeonesha mfano kwa kukomenti bila ya kurejea kumtukana tena


 
Dk kazungumza kuhusu kila kitu, well, ambavyo pia mwanamipasho wa Chama Chao Ma.....i:
1. kuhusu udini
2. wala rushwa na mafisadi
3. elimu bure is possible as long as kijana wetu wa sasa ana-spend bil 50 in campaign
4. wizi wa Meremeta hauvumiliki hata kama ni geshi ra wananji
5. kila anachosema kina evidence athawaiz angekuwa behind bars in Karanga longiiii
6. game not played followng rules is bullshit, haivumiliki
7. lazima mpige kura for Christ sake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom