Wasichana wananipenda kupita kiasi

Katika hali isiyokua ya kawaida wimbi la wasichana wanaonipenda linaongezeka hususani tangu mwaka jana. tofauti na awali hususani nikiwa masomoni. Hii inanipa wakati mgumu sana kwani hivi karibuni dada mmja wa banki naye alining'ang'ania bila mafanikio akionesha hisia nzuri na za wazi.Bahati nbaya mie ni mgumu pia.La kushangaza pia kuna dada mmja alimkomalia kondakta amkatie siti iliyokaribu nami na alifanikiwa.Nilimsoma na alionekana kuwa angependa kuzungumza mengi nami.kwa bahati mbaya pia sina maneno mengi kwa wadada na wengi husema nina macho mazuri na sauti nzuri. Mie naogopa kukitoa kwani nasikia ukianza vichanganya inakua ni shida tupu!. Kuepuka usumbufu mara nyingi inanibidi nisitoke na nitokapo tuu nikikutana na dada huwa radhi kuniambia HB ee twende upate hata soda just a company.it is now frustrating me. Ur advices pls!.Sio najisifu ila kwa wengi ninaonekana nipo nadhifu sana and active one

Wacha FIX
 
wenzio wazuri wameolewa ila umekosea ungesema natafuta mume wa kunioa aahaa hapo ingekuwa imekaa vizuri
 
Katika hali isiyokua ya kawaida wimbi la wasichana wanaonipenda linaongezeka hususani tangu mwaka jana. tofauti na awali hususani nikiwa masomoni. Hii inanipa wakati mgumu sana kwani hivi karibuni dada mmja wa banki naye alining'ang'ania bila mafanikio akionesha hisia nzuri na za wazi.Bahati nbaya mie ni mgumu pia.La kushangaza pia kuna dada mmja alimkomalia kondakta amkatie siti iliyokaribu nami na alifanikiwa.Nilimsoma na alionekana kuwa angependa kuzungumza mengi nami.kwa bahati mbaya pia sina maneno mengi kwa wadada na wengi husema nina macho mazuri na sauti nzuri. Mie naogopa kukitoa kwani nasikia ukianza vichanganya inakua ni shida tupu!. Kuepuka usumbufu mara nyingi inanibidi nisitoke na nitokapo tuu nikikutana na dada huwa radhi kuniambia HB ee twende upate hata soda just a company.it is now frustrating me. Ur advices pls!.Sio najisifu ila kwa wengi ninaonekana nipo nadhifu sana and active one
toa pumba zako hapa,mwanume gani anayejisifia namna hiyo unatudharirisha wenzako pumbavu kabsa,nenda mombasa ndyo utajujua kama wewe ni hb o no shenz kabsa
 
Tunataka picha bwana acha longolongo we mzuri sijui unamacho mazuri kama ya mwita25!!!!!
 
Ni kweli kabisa wapo wakina kaka ambao huwa wanasumbuliwa na wanawake kutokana na muonekano wao kama ulivyosema uhandsome na hata utanashati kwa ujumla,ni kitu ambacho kipo sana na hata kuleta usumbufu kwa baadhi yao na hasa wakati huu ambapo hata wanawake wana uhuru zaidi ktk kuonesha hisia zao kwa jinsia ya pili.Hata kwenye bible kuna mtu anaitwa Yusufu biblia imemuelezea kwamba alikuwa mzuri kwa sura hata mke wa bosi wake Potifa akataka kuzini naye.Cha muhimu ni kuwa na msimamo na ujue ni nini malengo yako katika maisha yako,pamoja na maisha yako ya kimahusiano,na uhakikishe unayasimamia.
 
in red kwa hiyo anajifananisha nae au?
 
Katika hali isiyokua ya kawaida wimbi la wasichana wanaonipenda linaongezeka hususani tangu mwaka jana. tofauti na awali hususani nikiwa masomoni. Hii inanipa wakati mgumu sana kwani hivi karibuni dada mmja wa banki naye alining'ang'ania bila mafanikio akionesha hisia nzuri na za wazi.Bahati nbaya mie ni mgumu pia.La kushangaza pia kuna dada mmja alimkomalia kondakta amkatie siti iliyokaribu nami na alifanikiwa.Nilimsoma na alionekana kuwa angependa kuzungumza mengi nami.kwa bahati mbaya pia sina maneno mengi kwa wadada na wengi husema nina macho mazuri na sauti nzuri. Mie naogopa kukitoa kwani nasikia ukianza vichanganya inakua ni shida tupu!. Kuepuka usumbufu mara nyingi inanibidi nisitoke na nitokapo tuu nikikutana na dada huwa radhi kuniambia HB ee twende upate hata soda just a company.it is now frustrating me. Ur advices pls!.Sio najisifu ila kwa wengi ninaonekana nipo nadhifu sana and active one

kuna kimoja au vyote kati ya hivi unacho;umebadilika kimaisha kuanzia na ajira nzuri, uvaaji, sehemu za kunywa, company yako, sehemu za starehe, kipato, usafiri n.k. Mtu hapendwi sura siku hizi jiangalie tena
 
Katika hali isiyokua ya kawaida wimbi la wasichana wanaonipenda linaongezeka hususani tangu mwaka jana. tofauti na awali hususani nikiwa masomoni. Hii inanipa wakati mgumu sana kwani hivi karibuni dada mmja wa banki naye alining'ang'ania bila mafanikio akionesha hisia nzuri na za wazi.Bahati nbaya mie ni mgumu pia.La kushangaza pia kuna dada mmja alimkomalia kondakta amkatie siti iliyokaribu nami na alifanikiwa.Nilimsoma na alionekana kuwa angependa kuzungumza mengi nami.kwa bahati mbaya pia sina maneno mengi kwa wadada na wengi husema nina macho mazuri na sauti nzuri. Mie naogopa kukitoa kwani nasikia ukianza vichanganya inakua ni shida tupu!. Kuepuka usumbufu mara nyingi inanibidi nisitoke na nitokapo tuu nikikutana na dada huwa radhi kuniambia HB ee twende upate hata soda just a company.it is now frustrating me. Ur advices pls!.Sio najisifu ila kwa wengi ninaonekana nipo nadhifu sana and active one

Wanakusanifu hakuna lolote! kuwa makini.
 
in red kwa hiyo anajifananisha nae au?

Ninachosema ndugu ni kwamba hili swala ni kwamba lipo,na pia wapo wanaume wenye sauti nzuri mfano hayati Barry White alikuwa na sauti nzuri na wanawake wengi walikuwa wanaipenda .Mwanaume kuwa na sauti nzuri watu hufikiri ni kuwa na sauti kama mwimbaji wa kike wa kwaya anayeimba sauti ya kwanza.
 
Back
Top Bottom