Wasichana wananipenda kupita kiasi

Katika hali isiyokua ya kawaida wimbi la wasichana wanaonipenda linaongezeka hususani tangu mwaka jana. tofauti na awali hususani nikiwa masomoni. Hii inanipa wakati mgumu sana kwani hivi karibuni dada mmja wa banki naye alining'ang'ania bila mafanikio akionesha hisia nzuri na za wazi.Bahati nbaya mie ni mgumu pia.La kushangaza pia kuna dada mmja alimkomalia kondakta amkatie siti iliyokaribu nami na alifanikiwa.Nilimsoma na alionekana kuwa angependa kuzungumza mengi nami.kwa bahati mbaya pia sina maneno mengi kwa wadada na wengi husema nina macho mazuri na sauti nzuri. Mie naogopa kukitoa kwani nasikia ukianza vichanganya inakua ni shida tupu!. Kuepuka usumbufu mara nyingi inanibidi nisitoke na nitokapo tuu nikikutana na dada huwa radhi kuniambia HB ee twende upate hata soda just a company.it is now frustrating me. Ur advices pls!.Sio najisifu ila kwa wengi ninaonekana nipo nadhifu sana and active one
mwana nimependa bandiko lak o ...mimi mwenyewe kuna siku niliambiwa niweke picha yangu nikaweka ....watoto wa hapa JF walinikubali ile mbaya ...hadi sasa hivi wananikubali ile kinoma..wewe fanya hivi ..weka picha yako hapa tuwamalize kabisa.
 
m
wana nimependa bandiko lak o ...mimi mwenyewe kuna siku niliambiwa niweke picha yangu nikaweka ....watoto wa hapa JF walinikubali ile mbaya ...hadi sasa hivi wananikubali ile kinoma..wewe fanya hivi ..weka picha yako hapa tuwamalize kabisa.

Mtakatifu naona unataka umpoteze jamaa wa watu
Unamkumbuka yule jamaa aliambiwa aweke picha na akaweka alikoishia
Hapa watu vichwa vyao na akili zao wanazijua wenyewe
 
Katika hali isiyokua ya kawaida wimbi la wasichana wanaonipenda linaongezeka hususani tangu mwaka jana. tofauti na awali hususani nikiwa masomoni. Hii inanipa wakati mgumu sana kwani hivi karibuni dada mmja wa banki naye alining'ang'ania bila mafanikio akionesha hisia nzuri na za wazi.Bahati nbaya mie ni mgumu pia.La kushangaza pia kuna dada mmja alimkomalia kondakta amkatie siti iliyokaribu nami na alifanikiwa.Nilimsoma na alionekana kuwa angependa kuzungumza mengi nami.kwa bahati mbaya pia sina maneno mengi kwa wadada na wengi husema nina macho mazuri na sauti nzuri. Mie naogopa kukitoa kwani nasikia ukianza vichanganya inakua ni shida tupu!. Kuepuka usumbufu mara nyingi inanibidi nisitoke na nitokapo tuu nikikutana na dada huwa radhi kuniambia HB ee twende upate hata soda just a company.it is now frustrating me. Ur advices pls!.Sio najisifu ila kwa wengi ninaonekana nipo nadhifu sana and active one

Huyu nahisi kuwa anatafuta mwnaume!
 
. Mie naogopa kukitoa kwani nasikia ukianza vichanganya inakua ni shida tupu!. Kuepuka usumbufu mara nyingi inanibidi nisitoke na nitokapo tuu nikikutana na dada huwa radhi kuniambia HB ee twende upate hata soda just a company.it is now frustrating me. Ur advices pls!.Sio najisifu ila kwa wengi ninaonekana nipo nadhifu sana and active one

Kwani kwenye ukoo wenu mnalo tatizo la "jogoo kuwika"? Nahisi pia kama una "element" za "kushugulikiwa"!!
 
We MPAMBANAJI.COM, hivi una umri gani wewe? Wapi ulisikia mwanamme anasifiwa kwa sura? Mwanamme ni ww, matendo na approach yako kwa hawa watuliwazao, hawahitaji sura yako, no, no, no, wanahitaji kusikia unaongea nini and then matendo yako yanafanana na nyimbo zako. Cha muhimu dogo ni namna unavyoweza kutumia majaaliwa yako aliyokujalia subaana wa taala hadi ukaitwa mwanamume - short of that hata uew na sura nzuri kama JK kazi bure.
 
Mkuu ndo maana nikampa ushauri akatafute qualification za mwanaume ni zipi then aje hapa abandike tangazo lake na sio kujisifia sura
 
Back
Top Bottom