Wasichana wananipenda kupita kiasi

au unawaangalia kwa macho ya kiuuchokozi chokozi! lol
Inaonekana facial expression ndo tatizo, kama huwezi kukaza uso kiume nakushauri ununue 'nikaab' aka ninja uvae
 
umesema uko na eyes nzuri sana na sauti nzuri are u sure kama jinsia uliyonayo ni yako kweli.................i mean ulistahili kuwa nayo mana naona kama hauitendei haki yake hata
 
Unatudanganya tu, kama kweli na wewe rijali tatizo ni nini, kula vitu tu, ila kuwa mwangalifu, AIDS KILLS!!
 
sasa nipo jukwaani kweli ukiboreka kwenye siasa rudi kweye social relations. bg up JF am always there to make people smile hususani in blue mondays
rejao umeonaee! Ndio maana tukichoka kulumbana kule jukwaa la siasa kati ya magamba na magwanda huwa tunahamia kwenye majukwaa haya ya social kurefresh mind sometimes.
 
Yaani huyu nae katika kundi la wanaume naye yupo na anajisifia kabis akuwa yeye ni mwanaume
Mwanaume hasifiwi sura wala sauti ndugu nenda kajifunze qualification za mwanaume urudi hapa kuja kupost ulichopost
Sijui sasa unataka tukushaurije eti dada alikuwa kwenye daladala akaforce kuja kukaa na mimi eti kisa HB
sasa hapo sisi tukusaidieje

sasa badala ya kupendwa na wanawake kwa sifa ulizojimwagia mabwana lazima upate coz mwanaume sauti unayo unashida gani kama sio kuolewa tu , hongera
 
Jf kuna mambo,haya bwana hongera kwa kuwa kijana HB!Pole kwa kusumbuliwa na na mabinti.
 
Katika hali isiyokua ya kawaida wimbi la wasichana wanaonipenda linaongezeka hususani tangu mwaka jana. tofauti na awali hususani nikiwa masomoni. Hii inanipa wakati mgumu sana kwani hivi karibuni dada mmja wa banki naye alining'ang'ania bila mafanikio akionesha hisia nzuri na za wazi.Bahati nbaya mie ni mgumu pia.La kushangaza pia kuna dada mmja alimkomalia kondakta amkatie siti iliyokaribu nami na alifanikiwa.Nilimsoma na alionekana kuwa angependa kuzungumza mengi nami.kwa bahati mbaya pia sina maneno mengi kwa wadada na wengi husema nina macho mazuri na sauti nzuri. Mie naogopa kukitoa kwani nasikia ukianza vichanganya inakua ni shida tupu!. Kuepuka usumbufu mara nyingi inanibidi nisitoke na nitokapo tuu nikikutana na dada huwa radhi kuniambia HB ee twende upate hata soda just a company.it is now frustrating me. Ur advices pls!.Sio najisifu ila kwa wengi ninaonekana nipo nadhifu sana and active one

Kuna mambo kadhaa yaliyo nyuma yako "KAKA MZURI"
01.) Wewe ni limbukeni kwakua katika hali halisi mwanaume hodari hawezi kukurupuka na kuwazia upuuzi kama wako
02.) Kwajinsi ulivyojieleza ni dhahiri kua wewe ni mtoto wa mama katika maana kua umelelewa na kukulia mazingira na dada zako sana, yaweza kua hukuwahi kupata nafasi ya kukaa kwa muda mrefu na watu wa jinsia yako!
03.) Yawezakuwa una elements za kike, kwanini nasema hivyo? Wanawake wanatabia za kutaka kuwa karibu na wanaume ambao wanaendana mambo yao, mfano mzuri ni wale gays.! So ni afadhari ukionana na daktari wa masuala ya kijinsia kabla hali haijawa tete.
04.) Mara nyingi vijana wa aina yako ni wale "dad am going"(wakishua) ambao mda mwingi wa utoto wenu mlichezea sana toys, so unapofika wakati wa kujichanganya na binadam halisi huwa mnachanganyikiwa sana kwakua hali hua ni tofauti na kucheza na toys.
TAHADHARI: Jukwaa hili ni kwaajili ya Great thinkers, hivyo kama huna ule ugreat-thinker ni afadhali ukaishia kutazama na kupita tu kuliko kuweka upuuzi kama huu, halafu ni bora ukaendelea kulekule kwa wenzio(facebook)
ZINGATIA: Mzoea punda hapandi farasi.
 
Niliisha wahi kutoa ushauri kwamba hapa Jamvini kuwe na vighalama vya kujiunga na kupost thread, hii ingeweza kupunguza kidogo hawa vijana wa High schools.
 
Huyu jamaa ni mjanja ila sema tu huu ujanja wake wa kujisifia ili ashobokewe ndo umepitwa na wakati
 
Kuna mambo kadhaa yaliyo nyuma yako "KAKA MZURI"
01.) Wewe ni limbukeni kwakua katika hali halisi mwanaume hodari hawezi kukurupuka na kuwazia upuuzi kama wako
02.) Kwajinsi ulivyojieleza ni dhahiri kua wewe ni mtoto wa mama katika maana kua umelelewa na kukulia mazingira na dada zako sana, yaweza kua hukuwahi kupata nafasi ya kukaa kwa muda mrefu na watu wa jinsia yako!
03.) Yawezakuwa una elements za kike, kwanini nasema hivyo? Wanawake wanatabia za kutaka kuwa karibu na wanaume ambao wanaendana mambo yao, mfano mzuri ni wale gays.! So ni afadhari ukionana na daktari wa masuala ya kijinsia kabla hali haijawa tete.
04.) Mara nyingi vijana wa aina yako ni wale "dad am going"(wakishua) ambao mda mwingi wa utoto wenu mlichezea sana toys, so unapofika wakati wa kujichanganya na binadam halisi huwa mnachanganyikiwa sana kwakua hali hua ni tofauti na kucheza na toys.
TAHADHARI: Jukwaa hili ni kwaajili ya Great thinkers, hivyo kama huna ule ugreat-thinker ni afadhali ukaishia kutazama na kupita tu kuliko kuweka upuuzi kama huu, halafu ni bora ukaendelea kulekule kwa wenzio(facebook)
ZINGATIA: Mzoea punda hapandi farasi.

Mkuu umemaliza yote hapa
yaani hakuna la ziada hapo
 
Hivi hamjui? Ni siri iliyo wazi kuwa wanawake wengi huvutiwa na mashoga (wa kiume) na hupendelea kujenga nao urafiki!
Ha ee ya!
 
Back
Top Bottom