bacha
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 4,282
- 797
ama hakika wewe umeiva kwenye somo la jana......chama kinakuangalizia nafasi ya uongozi
Aminia kiongozi!!!
ama hakika wewe umeiva kwenye somo la jana......chama kinakuangalizia nafasi ya uongozi
NB: 2. Pia usikubali kuoa janajike lililoachika kwa mmewe
Najua pa kukupata wewe!!!!!
Ni kweli si vema kuoa au kuolewa na mtu aliye acha na kuachwa,maana huwezi kujua ni kwani nini aliachwa au aliacha ni vema kama kuna ulazima ni vema kufanya uchunguzi wa kina,maana si wote walioacha wanamatatizo,ila la msingi hapa ni kwanini muachane?kwa nini msivumiliane?nijuavyo mkiwa mnapendana kweli kuachana ni zero,
Kwasababu mmeshindwana!Ya nini kung'ang'ania kisicho riziki?Hapo kwenye red big up. Hilo ndo haswa la msingi nalozungumza mimi kwanini muachane?????
Hapo kwenye red big up. Hilo ndo haswa la msingi nalozungumza mimi kwanini muachane?????
NB: Usikubali kuolewa na mwanaume alieacha mkewe wa ndoa kamwe!!!!!!!!!!!!!!!
Hutaki wanachama wewe???
Poa lakini mzima wewe? Ingia kuleee kwa wakubwa utakuta kuna kitu huko
Sizungumzii BF.GF nazungumzia mke tena wa ndoa
Sizungumzii BF.GF nazungumzia mke tena wa ndoa