Wasichana wa JF ambao hamjaolewa

jamani wakina dada msioolewa harambee harambeeeee!KARIBUNI KWETU TULIOOA NA AMBAO TUNAISHI NA WAKE ZETU....

1-tuna uzoefu na wakina mama
2-tunawamudu
3-tunawajali
4-tumewazoea
5-hatutawaangusha

karibuni sana jamani!
NASUBIRI PIEMU
 
jamani wakina dada msioolewa harambee harambeeeee!KARIBUNI KWETU TULIOOA NA AMBAO TUNAISHI NA WAKE ZETU....

1-tuna uzoefu na wakina mama
2-tunawamudu
3-tunawajali
4-tumewazoea
5-hatutawaangusha

karibuni sana jamani!
NASUBIRI PIEMU
Ushindwe! na ule............!!!!!
We ARE NOT SPARE TIRES!
We need brand new one,you are used!
samahani kama nimewakwaza! lol!
 
jamani wakina dada msioolewa harambee harambeeeee!KARIBUNI KWETU TULIOOA NA AMBAO TUNAISHI NA WAKE ZETU....

1-tuna uzoefu na wakina mama
2-tunawamudu
3-tunawajali
4-tumewazoea
5-hatutawaangusha

karibuni sana jamani!
NASUBIRI PIEMU

Hapa, MPANGO WA NJE NDO MPANGO MZIMA!!!!
 
mh sasa dena jamani huyu wangu alieacha mke ndio nimuache sasa mwe uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mbona tuko karibia kufunga ndoa dah mtihani!!
 
ushindwe! Na ule............!!!!!
We are not spare tires!
We need brand new one,you are used!
samahani kama nimewakwaza! Lol!

zd hebu njoo kwangu i am brand new not used assembled in us and made in us not made in china-ni pm fasta kabla sijachukuliwa na mtu mwingine
 
halafu wewe umeanza !ngoja nimwambie wiselady asishuke mlimani.halafu kwa nini chatrum imehamishiwa kwa wakubwa? Na wewe sio pirimiamu memba!nakushauri ufuate msemo wa mkono mtupu haulambwi

will do it this week my love, my honey bunny wangu sawa!!!!!
 
mh sasa dena jamani huyu wangu alieacha mke ndio nimuache sasa mwe uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mbona tuko karibia kufunga ndoa dah mtihani!!

Timkia mbali Maty hana mapenzi tena huyo kuna kitu anatafuta kwako jiangalie vizuri
 
Halafu wewe umeanza !Ngoja nimwambie wiselady asishuke mlimani.halafu kwa nini chatrum imehamishiwa kwa wakubwa? na wewe sio pirimiamu memba!Nakushauri ufuate msemo wa mkono mtupu haulambwi

Wiselady ndo dawa yake huyo
 
Mpendwa Dena,mi nadhani mapenzi hayapangwi,ni mola tu ndo anakukutanisha na mpendwa wako. Kama kweli kuna watu wanakaa na kuanza kuandika specifications na rules and regulation za mapenzi na mpenzi mtarajiwa najua itasumbua wengi. Kwenye website yangu nshawahi kuandika kuwa mapenzi hayapangwi pia huwezi ukajua kuwa miaka flani ijayo utakuwa umeolewa au umeoa mtu flani. Ni vigumu sana. Anyway nadhani tuelewe kuwa kupendana ni implied event, Dena nadhani uyo uliyenae ulimuelewa vizuri baada ya kuwa nae si kabla ya kuwa nae. Anawezasema sijaoa kumbe miaka 3,7,au kumi nyuma alishafarakana. Mi nadhani tuangalie upendo wa kweli. Dena,siku njema.
 
Habari zenu wote.

Katika pita pita zangu nimekutana na mambo mengi ambayo yamekuwa yakinishangaza sana. Katika wanaume 25 walioachana na wake zao (niliowafanyia uchunguzi) hawawi na mapenzi tena. Kama kuna msichana humu akikutana na mwanaume kama huyu namshauri akae mbali nae kabisa na uweze kujiuliza maswali yafuatayo:
1. Kwanini aliachana na huyo mkewe??
2. Wewe unakipi kipya hasa ambacho utamfanya asikuache kama huyo mwingine??
3. Kakufuata wewe kwa sababu gani??? (Pesa, uzuri, nk)
4. Alikuwa anatafuta pa kupumzika then ale kona lakini ukambana akashindwa kuchomoka
5. Endeleza na sababu zako nyingine nyingiiiiiiiiiii

NB: Usikubali kuolewa na mwanaume alieacha mkewe wa ndoa kamwe!!!!!!!!!!!!!!!11

utafiti wako ni batili na hitimisho lako ni lakupotosha.rudia tena huu utafiti na ukishindwa omba msaada kabla ya kufanya conclusion ya namna hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom