Wasichana wa Bongo mbona sio waaminifu?

Emc2

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
16,808
16,836
Jamani nataka nielewe, kwann wasichana wa kibongo sio waaminifu? Hii ni kwa sababu nimejaribu kulinganisha wasichana wa nchi zingine kama, Kenya, Uganda, Zambia na zinginezo. Nimebaini kuwa wanawake wa kibongo sio waaminifu. Sijajua kwann?

1. Wanachopenda pesa tu hawana mapenzi ya kweli
2. Wanakuwa na wanaume zaidi ya wawili.
3. Niwaongo sana, mara atazima simu, mara niko na mama, mara ataweka beria simu yako.

Je nifanye nn maana natafuta mke wa kuishi naye?
 
Si wote kama ambavyo si wanaume wote bongo ni waaminifu....Endelea kutafuta mke, kwenye hili omba msaada wa Mungu na usiwe na haraka...pia ukiona mwanamke mara azime simu,mara akundanganye ujue tu hakuthamini/hakutaji kivile....songa mbele na mchakato!
 
Thanks Unaakili sana!!
 
Wapo wasio na uzushi kama huo unao utaja,wapo walio lelewa na kuleleka ukitaka wale wanaojiita wamjini ndio chamoto utakiona,kama unataka kua tafuta mwanamke kwenye familia yenye malezi sio kina zoa zoa,mwanamke ana simcard zaid ya 7 mara ukipia unambiwa niko na baba,mara cm mteja charge imeisha,yani hakosi lakusema,ukiwanae anawasiwasi kama anafuga nyoka......
 
Wasichana wa Kenya, Uganda, Zambia una maana ya wasichana wa Nairobi, Kampala na Lusaka? Na, je Bongo umemaanisha Dar es Salaam au Tanzania? Kama unatafuta mke miongoni mwa wasichana unaokutana nao kwenye beaches na kumbi za starehe tegemea hayo hata kama utakutana naye Namanyere.
 
wanaume ndo wametufanya tusiwe waaminifu mkuu.
kwa usalama wetu inabidi tukae mguu pande mguu sawa
uwezi kujiachia kwa mwanaume wa bongo
wanawake tukiwezeshwa kumbuka tunaweza
 
Wasichana wa Kenya, Uganda, Zambia una maana ya wasichana wa Nairobi, Kampala na Lusaka? Na, je Bongo umemaanisha Dar es Salaam au Tanzania? Kama unatafuta mke miongoni mwa wasichana unaokutana nao kwenye beaches na kumbi za starehe tegemea hayo hata kama utakutana naye Namanyere.

Bongo = TZ
Hata wapo wengine tunakutana nao makanisani na misikitini lakini ndungu ya safari zao haziishi.
Mara amezima simu alikuwa mkesha wa maombi, mara yuko kwenye kwaya, mara kaenda kumuombea mgojwa. Nahapo anakueleza baada yako wewe kumpigia simu. Don't you see?
 
Tafuta vizuri huwezi kukosa..siyo wote hawana uaminifu ni kwamba umekutana na wengi wasio waaminifu. Hata hivyo kwa vile uko kwenye heka heka za kumsaka mwenza, uwe na subira na kumsoma vizuri mtu kabla hujafunga pingu.
 
Jamani nataka nielewe, kwann wasichana wa kibongo sio waaminifu? Hii ni kwa sababu nimejaribu kulinganisha wasichana wa nchi zingine kama, Kenya, Uganda, Zambia na zinginezo. Nimebaini kuwa wanawake wa kibongo sio waaminifu. Sijajua kwann?

1. Wanachopenda pesa tu hawana mapenzi ya kweli
2. Wanakuwa na wanaume zaidi ya wawili.
3. Niwaongo sana, mara atazima simu, mara niko na mama, mara ataweka beria simu yako.

Je nifanye nn maana natafuta mke wa kuishi naye?
Una maanisha wasichana tu au wanawake wote wa bongo?
anyways..sidhani kama madai yako yana ukweli..
 
Kwa suala hilo hamna cha mwanamke au mwanaume hapo ni tabia au hulka ya mtu kwahiyo, usigenelaze mambo inaonekana hao uliowapata ndo wenye tabia za hivyo
 
kwa nini uhangaike na wabongo wasiowaaminifu?kaoe uganda,infact tafuta mnyankole they are so faithful
 
Hata wanaume pia wana zaidi ya wawili..inategemea hao wanawake/wasichana unakutana nao maeneo gani. Zaidi muombe Allah kila kitu kinawezekana.
 
me naomba uniambie umepimaje uaminifu wa gels wa kenya na uganda na tanzania?
 
Lbada kwa vile bado ni watoto.wakikua wataacha.Na umefanya research ya kufikia conclusion ya 50%?????????umetumia methodology gani?
1. Nikisema wasichana mara zote huwa ni wanawake ambao hawajaolewa.
2. Ukisema nimetumia mothodology gani. kwanza hii ni random reseach, pili nimetumia natural methodology ambayo kila mtu huwa anatumia. kumbumbuka nimesema zaidi ya 50%
nikimaanisha katika wanake 10 zaidi ya wanawake 5 si waaminifu

Wanawake
Waaminifu
Wasio waaminifu
10
chini 5
Zain 5
100
chini 50
zaidi 50
1000
chini 500
zaidi 500

Umeipata?
 
Jamani nataka nielewe, kwann wasichana wa kibongo sio waaminifu? Hii ni kwa sababu nimejaribu kulinganisha wasichana wa nchi zingine kama, Kenya, Uganda, Zambia na zinginezo. Nimebaini kuwa wanawake wa kibongo sio waaminifu. Sijajua kwann?

1. Wanachopenda pesa tu hawana mapenzi ya kweli
2. Wanakuwa na wanaume zaidi ya wawili.
3. Niwaongo sana, mara atazima simu, mara niko na mama, mara ataweka beria simu yako.

Je nifanye nn maana natafuta mke wa kuishi naye?

nenda kaoe kenya, uganda au zambia..
 
Back
Top Bottom