Wasichana wa Bongo mbona sio waaminifu?

me naomba uniambie umepimaje uaminifu wa gels wa kenya na uganda na tanzania?
Ok kunanjia nyingi sana nimetumia ila chache tu nitakueleza
1. Kuongoa na marafiki mbalimbali na kukueleza kuhusu hayo
2.Kujionea mwenyewe
3.Kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii
nazingine nyingi tu
 
contacts nikupe mimi tena?kwani hao waaminifu uliokutana nao kwenye nchi zote ulitoa wapi contacts?mi nina contacts za wabongo tu wenye si waaminifu.
Sorry! I will try to go n visit in uganda
 
Inaonekana na wewe hujatulia hata kidogo........yaani kwenye nchi zote hizo umepitia. Sasa kama huko waaminifu kwanini usioe huko??!! Maana mke sio lazima awe MTZ.
Ushauri: kwa jinsi unavyotafuta sidhani kama utafanikiwa. Tulia, mshirikishe Mungu kwenye utafutaji wako utapata waaminifu. Lakini kumbuka kama wewe sio mwaaminifu, usitegemee kumpata mwaminifu. Lazima upate anayefanana na wewe. all the best kwenye utafutaji wako.
 
Thanks a lot!!!!
 
Jamani nataka nielewe, kwann wasichana wa kibongo sio waaminifu? Hii ni kwa sababu nimejaribu kulinganisha wasichana wa nchi zingine kama, Kenya, Uganda, Zambia na zinginezo. Nimebaini kuwa wanawake wa kibongo sio waaminifu. Sijajua kwann?

1. Wanachopenda pesa tu hawana mapenzi ya kweli
2. Wanakuwa na wanaume zaidi ya wawili.
3. Niwaongo sana, mara atazima simu, mara niko na mama, mara ataweka beria simu yako.

Je nifanye nn maana natafuta mke wa kuishi naye?

Hapo kwenye bold umejidanganya kabisa usithubutu kwenda huko
 
Si wote kama ambavyo si wanaume wote bongo ni waaminifu....Endelea kutafuta mke, kwenye hili omba msaada wa Mungu na usiwe na haraka...pia ukiona mwanamke mara azime simu,mara akundanganye ujue tu hakuthamini/hakutaji kivile....songa mbele na mchakato!

Dadaa, Be blessed!!!!
ushauri mzuri sana...... mke mwema anatoka kwa bwana!!!!
 
hahahahahaaaa hiki nacho kituko kuwalinganisha wasichanga wa Bongo na wakenya ni kutokuwatendea haki dada zetu, Ukiongea na Wakenya wenyewe wanatamani wanawake wa kitanzania kwa sababu bado wana-practice umama na warembo na wanyenyekevu kwa waume zao. Uaminifu ni suala la wote wadada kwa wakaka mostly depends on individuals
 
Jamani nataka nielewe, kwann wasichana wa kibongo sio waaminifu? Hii ni kwa sababu nimejaribu kulinganisha wasichana wa nchi zingine kama, Kenya, Uganda, Zambia na zinginezo. Nimebaini kuwa wanawake wa kibongo sio waaminifu. Sijajua kwann?

Wa bongo njaa kali na ujanja ujanja mwiingi mjini asipo kuwa na wanaume zaidi ya wawili hawezi kung'aa
 
jamani nataka nielewe, kwann wasichana wa kibongo sio waaminifu? Hii ni kwa sababu nimejaribu kulinganisha wasichana wa nchi zingine kama, kenya, uganda, zambia na zinginezo. Nimebaini kuwa wanawake wa kibongo sio waaminifu. Sijajua kwann?

1. Wanachopenda pesa tu hawana mapenzi ya kweli
2. Wanakuwa na wanaume zaidi ya wawili.
3. Niwaongo sana, mara atazima simu, mara niko na mama, mara ataweka beria simu yako.

Je nifanye nn maana natafuta mke wa kuishi naye?

huwatendei haki dada zetu kwa tafiti ambazo si sahihi. Wewe hizo random sample zimekuambia kwamba si waaminifu! Nakupa pole sana; kwani kwa eac countries ni bora uoe tanzania kuliko nchi zingine. Kenya ndiyo balaa na hata huwezi kuwalinganisha na dada zetu ktk uaminifu. Dada zetu wana-deserve respect ktk hili please!
 
nyabooo ya kinyakoleee,niweupee,wananizamuu,heshimaaa hadi kusalimia kama wanyatusaa gotii chini,ilaa washirikinaaa,mi na kushaurii tafutaa maziii ya bongoo erooo,mwanamke ni jinsi unavyo mtokeaa kama mlikutana kimjini mjini mtaacha kimjini mjini,kwenye maswalaa ya mke mwemaa hutuko kwa mungu,ombaaa sanaa fungaa japo siku tatu kwa wiki kwa mwezi mzimaa muombe mungu akuletee ubavu wako.hakikaa utampataaaa.haleluyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
kwa nini uhangaike na wabongo wasiowaaminifu?kaoe uganda,infact tafuta mnyankole they are so faithful
 
wanaume ndo wametufanya tusiwe waaminifu mkuu.
kwa usalama wetu inabidi tukae mguu pande mguu sawa
uwezi kujiachia kwa mwanaume wa bongo
wanawake tukiwezeshwa kumbuka tunaweza
smile naomba nikuwezeshe........:eyebrows:
 
Jamani nataka nielewe, kwann wasichana wa kibongo sio waaminifu? Hii ni kwa sababu nimejaribu kulinganisha wasichana wa nchi zingine kama, Kenya, Uganda, Zambia na zinginezo. Nimebaini kuwa wanawake wa kibongo sio waaminifu. Sijajua kwann?

1. Wanachopenda pesa tu hawana mapenzi ya kweli
2. Wanakuwa na wanaume zaidi ya wawili.
3. Niwaongo sana, mara atazima simu, mara niko na mama, mara ataweka beria simu yako.

Je nifanye nn maana natafuta mke wa kuishi naye?

...the grass is always "greener" on the other side of the fence...:A S-coffee:
 
sasa kama umegundua sio waaminifu na wewe unataka kuoa siuende ukaoe huko ambako umewaona ni waaminifu?,fata taratibu zote za kisheria
 
Bora uwe kama mimi, baada ya kuona wabinti wa siku hizi ni fulu kungonoka, maana waweza kuta kabinti kako darasa la tano ni balaa. Nimeamua kukaa singo lakini ikifika muda fulani niliojiwekea nitaanza kuoa kwa muda wa mwezi mmoja and then naacha. Lakini huo uoaji sio wa kuhalalishwa bali ni wa kujihalalishia.
 
Back
Top Bottom