Wasichana vyuoni na rushwa ya ngono

Parata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
3,090
675
kabla sijajiunga na chuo kikuu nilikua nasikia kuhusu kina dada baadhi kutoa penzi na kupewa mtiani yaani kuoneshwa kabla ya mtiani.Nilipofanikiwa kujiunga na chuo nilishangaa kweli,kipindi cha mtiani ukiwa na urafiki na baadh ya wasichana utaskia tu anakwambia usisome hapo hatoi,soma hapa na hapa na kwel ukiingia kwenye pepa unakta ndo ivo.Rushwa ya ngono ndio chimbuko,maprofesa wasio na maadil wanatumia kazi zao kujinufaisha kingono.
Kama ushawahi experience ili tatizo karibu tushee hii tabia ni mbaya sana.
 
sijaona rushwa hapo mkuu... toa uthibitisho chanya unaoonesha rushwa ya ngono!

mtu kama alipewa concetration area akajisomee haimaanishi kwamba alitoa ngono...

hii kitu sio rahisi kuithibitisha kwa macho ya nyama kwa sababu mapenzi yanafanywa baina ya watu wawili tena wakiwa sehemu waijuayo wao wasionwe...
 
Hii biashara ipo sana mwenge universty kuna accessor mmoja hakupi marks mpka mkutane guest house kwanza kama we ni binti.
 
Rushwa ya ngono vyuo vinavyoongoza ni:

1.UDSM
2.saut
3. UDOM
4.TUMAIN
5MZUMBE
6TEKU
 
kabla sijajiunga na chuo kikuu nilikua nasikia kuhusu kina dada baadhi kutoa penzi na kupewa mtiani yaani kuoneshwa kabla ya mtiani.Nilipofanikiwa kujiunga na chuo nilishangaa kweli,kipindi cha mtiani ukiwa na urafiki na baadh ya wasichana utaskia tu anakwambia usisome hapo hatoi,soma hapa na hapa na kwel ukiingia kwenye pepa unakta ndo ivo.Rushwa ya ngono ndio chimbuko,maprofesa wasio na maadil wanatumia kazi zao kujinufaisha kingono.
Kama ushawahi experience ili tatizo karibu tushee hii tabia ni mbaya sana.
wewe mkuu ndio unashangaa hilo komaa nao umalize chuo chako poa kabisa mkuu waambie wakipigishe wewe ufaudu maisha..
 
kabla sijajiunga na chuo kikuu nilikua nasikia kuhusu kina dada baadhi kutoa penzi na kupewa mtiani yaani kuoneshwa kabla ya mtiani.Nilipofanikiwa kujiunga na chuo nilishangaa kweli,kipindi cha mtiani ukiwa na urafiki na baadh ya wasichana utaskia tu anakwambia usisome hapo hatoi,soma hapa na hapa na kwel ukiingia kwenye pepa unakta ndo ivo.Rushwa ya ngono ndio chimbuko,maprofesa wasio na maadil wanatumia kazi zao kujinufaisha kingono.
Kama ushawahi experience ili tatizo karibu tushee hii tabia ni mbaya sana.

"Mtiani"? Ndio kitu gani wewe msomi?
 
thibitisha na sisi pia tumesoma huko,.. Wanagongwa kwa hulka yao sio rushwa,.. demu anakuja ofisini anarembua mwl rijali what next?? hata me napiga hata mia nane,.. wanaume wanatoa nini!??
 
sijaona rushwa hapo mkuu... toa uthibitisho chanya unaoonesha rushwa ya ngono!

mtu kama alipewa concetration area akajisomee haimaanishi kwamba alitoa ngono...

hii kitu sio rahisi kuithibitisha kwa macho ya nyama kwa sababu mapenzi yanafanywa baina ya watu wawili tena wakiwa sehemu waijuayo wao wasionwe...

Bora umemwambia ukweli kuna watu ni mabingwa wa kuzusha mambo bila kuwa na ukweli wowote
 
kabla sijajiunga na chuo kikuu nilikua nasikia kuhusu kina dada baadhi kutoa penzi na kupewa mtiani yaani kuoneshwa kabla ya mtiani.Nilipofanikiwa kujiunga na chuo nilishangaa kweli,kipindi cha mtiani ukiwa na urafiki na baadh ya wasichana utaskia tu anakwambia usisome hapo hatoi,soma hapa na hapa na kwel ukiingia kwenye pepa unakta ndo ivo.Rushwa ya ngono ndio chimbuko,maprofesa wasio na maadil wanatumia kazi zao kujinufaisha kingono.
Kama ushawahi experience ili tatizo karibu tushee hii tabia ni mbaya sana.

Huna lolote wewe ni attention secker,ulitaka tujue unasoma vyuo vikuu,hiyo rushwa ya ngono imekuwa ikitafsriwa tofauti na uhalisia wa mambo sasa kwa hiyo elimu ya undergraduate atatoa rushwa kwa lecture wangapi?
Tofautisha mwanafunzi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na lecture vs rushwa ya ngono
 
Bora umemwambia ukweli kuna watu ni mabingwa wa kuzusha mambo bila kuwa na ukweli wowote

mkuu unajua kuna tafiti nyingine lazima ziwe na ushahidi wa picha na video kabisa sio maneno makavu...

kwa vitendo kama vya vingono ama mapenzi, sio haki kumnyooshea mtu kidole kama hukufanya participant research tena yenye tangible fact finding investigations...

otherwise mtu kama mtoa mada ni rahisi sana kufukuzwa chuo akiendelea kuwa m-mbea bila ushahidi.....
 
Back
Top Bottom