Rushwa ya ngono makazini/maofisini na vyuoni bado haija shughulikiwa kikamilifu, bado ni tatizo kubwa sana.
Wanawake wengi wanadhalilishwa kingono na viongozi wao/mabosi wao jambo ambalo linapelekea ufanisi kupungua makazini lkn pia kwa vyuoni tunapata wataalamu wabovu.
Nawaomba TAKUKURU wafanye uchunguzi kwenye maofisi yote haswa ofisi za umma.
itaisha kama TAKUKURU wataamua kufanya uchunguzi maofisini na vyuo vikuu.
hii rushwa ya ngono ndio chanzo kikuu cha ukosefu wa maadili kwa baadhi ya viongozi katika ofisi mbalimbali.
ndio chanzo cha wizi, ufisadi, ukandmizaji, ubadhirifu, uzembe n.k
ngono imetamalaki sehemu za kazi....rushwa ya ngono imekuwa kama pipi sehemu za kazi ni hatari sana kwa mustkbli wa taifa.
ndio maana UKIMWI umestawi zaidi sehemu za kazi/maofisini na vyuoni.