Eti wakubwa,hawa wadada huwa wanaweza ku2lia na mpenzi mmoja wakiisha fiksha umri gani?maana me nimeisha toka na wa age ya 19-24 bt naona tabia zao zko sawa tu,yani wote niliokutana nao ni mapepe tu.
Aisee senetor mie leo sichangii kbs maana ww sred zako zote wanawake tu tena kwa mambo mabaya tu yani tangu nimejiunga jf, hujawahi kusifia hata siku moja as if hujawahi kufurahi nao hata siku moja nimechoka ati!
Kila siku jamani mara hakupigii simu ,mara umemtumia msg ya kumwacha hajibu,leo umekuja nalipya dah,kwa kweli hata km ni kutoa madukuduku leo nishasema sichangii ng'o,tuletee na sred za umsifia wakati ule umedata naye japo nione aprisiashen,ww mabaya yake tu kila siku!sasa mkuu,kama naona kuna kitu hakijakaa sawa nisitoe dukuduku langu?
Aisee senetor mie leo sichangii kbs maana ww sred zako zote wanawake tu tena kwa mambo mabaya tu yani tangu nimejiunga jf, hujawahi kusifia hata siku moja as if hujawahi kufurahi nao hata siku moja nimechoka ati!
Umeona eee,ur rite swty napanda ngazi nakuja lol!sie kila siku leo nimegoma kbs senetor nisamehe bure!Twe'nzetu sweetie, these things are so much boring!!
Kila siku jamani mara hakupigii simu ,mara umemtumia msg ya kumwacha hajibu,leo umekuja nalipya dah,kwa kweli hata km ni kutoa madukuduku leo nishasema sichangii ng'o,tuletee na sred za umsifia wakati ule umedata naye japo nione aprisiashen,ww mabaya yake tu kila siku!

Sijambo kbs my dia,najua nishaingia lkn ndio na mie natoa madukuduku yangu kwa mheshimiwa japo amsifie huyo shostito kidogo coz naamina hata km ana mabaya yake ila kuna mazuri pia,yan jamm wiki nzima ni mabaya ya shost tu!nishakaribia ila ni kwa mwendo wa kugoma kuchangia positively!Cantalisia hujambo my dear? hadi hapa ushangia mamy, yaani bora ungefungua tuu halafu uuchune, ila kwa sababu ushaingia tuendelee tuu. karibu
Ni bora sreds zake zingekuwa zinamzungumzia mtu mmoja ningemuona yeye anahaki ya kumuita huyo mtu mapepe. Lakini ukiangalia sreds zake zote utagundua yeye ndo mapepe!! Funny enough anajiona yeye ni kilume ndago hivo kuwadisqualify alotoka nao!!
Na mie leo huu ndio utakuwa mwendo wangu,unakumbuka sred yake ya jana,yan hata yeye haeleweki ndio maana hata yule bint alipoona msg ya kuachwa alimradharau!ona leo hajui bint anatulia akiwa na umri gani atatulia kwa mtu ambaye hajajitambua!Ni bora sreds zake zingekuwa zinamzungumzia mtu mmoja ningemuona yeye anahaki ya kumuita huyo mtu mapepe. Lakini ukiangalia sreds zake zote utagundua yeye ndo mapepe!! Funny enough anajiona yeye ni kilume ndago hivo kuwadisqualify alotoka nao!!
Umeona eee,ur rite swty napanda ngazi nakuja lol!sie kila siku leo nimegoma kbs senetor nisamehe bure!