Wasichana huwa wanaanza kutulia na mpz mmoja wakiwa katika umri gani?

mwanzenu aliambiwa ili aingie kwenye kundi la premium Member, inabidi apoat nyuzi nyingi na kuchagia post nyingi, so jamani mwacheni zjitendee haki, mpeni mwenzenu sapoti apande level ingine, Lol

Mwenzangu hata kama ni suala la upremium member aisee, huu mwendo umekaa kushoto mpenzi!! Namjoin Cantie kwa hili dear, sitoi support ya kile alichokiuliza, nadhani members wengine watamjibu!
 
Hao wote watoto,angalau 28 na kuendelea!Ila wanawake wote wamezaliwa na baba na mama mmoja!
 
Njoo mwaya! Haya mabaya anayoyasema kila siku, ina maana yeye hajawahi furahishwa hata siku moja? Or yeye ni perfect sana kiasi kwamba makosa wanatenda wenzake tu?? Au kwa sababu mwenzake hawezi kuja kusema hapa jamvini??
Here aim dia, ngoja nimsaidie kidogo ni kwamba akijitambua na kujua anachokitaka na akawa na husband material atakutana na wife material waliotulia bila kujali umri,ukiwa waruwaru utakutana na waruwaru wenzie ngoma inakuwa droo!
Pole senetor.
 
Eti wakubwa,hawa wadada huwa wanaweza ku2lia na mpenzi mmoja wakiisha fiksha umri gani?maana me nimeisha toka na wa age ya 19-24 bt naona tabia zao zko sawa tu,yani wote niliokutana nao ni mapepe tu.

Nafikiri kuna vitu unafanana nao, ndo maana unawapenda. Pole.
 
Eti wakubwa,hawa wadada huwa wanaweza ku2lia na mpenzi mmoja wakiisha fiksha umri gani?maana me nimeisha toka na wa age ya 19-24 bt naona tabia zao zko sawa tu,yani wote niliokutana nao ni mapepe tu.

Sasa wewe unatoka na mademu wa viwanja alafu unataka atulie, mbona wewe hujatulia. mbona mama ako hapa nilimuoa alipotoka tu chuo akiwa bado kinda kabisa, katulia mpaka kesho,
 
Na mie leo huu ndio utakuwa mwendo wangu,unakumbuka sred yake ya jana,yan hata yeye haeleweki ndio maana hata yule bint alipoona msg ya kuachwa alimradharau!ona leo hajui bint anatulia akiwa na umri gani atatulia kwa mtu ambaye hajajitambua!

Dearest, kuna watu huwa hawakubali kuwa wao wana makosa hivo hujiona wao hawakosei na kubaki kushutumu upande wa pili! Watu kama hawa huangalia furaha yao tu na hujiaminisha kwamba 'the girls' are there kufata kile kitakachowaletea furaha wao tu kiasi kwamba kikitokea kitu kidogo tu basi wanaundermind wenzi wao. Senetor is of the like, akijiangalia vizuri ataujua ukweli. Hajajigundua kwamba anatakiwa ajisome vizuri, na haeleweki kwa sababu hajijui so hatojua afanye nini kwa sababu amejijengea taswira tofauti kabisa, otherwise atakuwa anabahatisha tu kwa kuuliza hivo vijimaswali ambavyo havifikii hata robo ya mzizi wa tatizo ambao ye mwenyewe ameukalia!
 
Senetor swali lako ni pana sana ila kwa kadri ya ufahamu wangu suala la msichana kutulia linategemea mambo mengi baadhi ni
1. Malezi na makuzi yake (nyumbani na kwingineko)
2. Aina ya marafiki zake na tabia zao.
3.Uimara wa mahusiano baina yako na yeye.
4.Kiwango cha Elimu(nina maanisha maarifa) sio idadi ya vyeti na vyuo.
5. Kipato(hususani njia zinazompatia kipato halali)
6.Familia anayotoka/aliyolelewa.
7.Dini(kama ni muumini au anahudhuria ibada/swala)
8.Upendo wake kwako.
9.Imani yake kwako.
10.Uwezo binafsi wa kuhimili mikiki ya maisha na changamoto zake.
ADIOSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS
 
Aisee senetor mie leo sichangii kbs maana ww sred zako zote wanawake tu tena kwa mambo mabaya tu yani tangu nimejiunga jf, hujawahi kusifia hata siku moja as if hujawahi kufurahi nao hata siku moja nimechoka ati!

Kama ni hivyo mbona ndoa utaichoka mapema na kukushinda kabisa mamaaaa! Unaweza ukajikuta kwenye ndoa ambayo mambo ni oversize na hela na ndoa ishafungwa unadhani utaomba talaka. Mwanamke uvumilivu dadangu! Mvumilie tu, ka vipi na wewe anzisha mashambulizi kwa men tu ni style ya uandishi tu wala usikwazike!
 
Vp Lkn, na wewe utaanza kutulia ukiwa na miaka mingap???uliokuwa nao hawakutulia kwa sababu gani???mbona wote kwako wako hivyo???umejiulza maswali hayo???mbona kuna watu wanaposti hapa kusifia walio nao???Ova
 
Dearest, kuna watu huwa hawakubali kuwa wao wana makosa hivo hujiona wao hawakosei na kubaki kushutumu upande wa pili! Watu kama hawa huangalia furaha yao tu na hujiaminisha kwamba 'the girls' are there kufata kile kitakachowaletea furaha wao tu kiasi kwamba kikitokea kitu kidogo tu basi wanaundermind wenzi wao. Senetor is of the like, akijiangalia vizuri ataujua ukweli. Hajajigundua kwamba anatakiwa ajisome vizuri, na haeleweki kwa sababu hajijui so hatojua afanye nini kwa sababu amejijengea taswira tofauti kabisa, otherwise atakuwa anabahatisha tu kwa kuuliza hivo vijimaswali ambavyo havifikii hata robo ya mzizi wa tatizo ambao ye mwenyewe ameukalia!
Uko sahihi hajajua kwamba ukitaka kujua chanzo cha tatizo hasa kwenye mahusiano ni lzm uanze kujichunguza ww mwenyewe coz unaweza kuwa ndio chanzo cha matatizo,kwa mujibu wa sred zake inaonekana yeye mwenyewe ndio chanzo cha matatizo kwenye relation zake,asipojirekebisha ataishia kulia lia tu hapa njamvin miaka yote.
 
Here aim dia, ngoja nimsaidie kidogo ni kwamba akijitambua na kujua anachokitaka na akawa na husband material atakutana na wife material waliotulia bila kujali umri,ukiwa waruwaru utakutana na waruwaru wenzie ngoma inakuwa droo!
Pole senetor.

Thats it! Na pengine alishawahi kutana na wife material ila kwa sababu yeye mwenyewe sio husband material, lazima washindwane!! Nakumbuka kuna siku alishachangia sred moja hivi akamwambia mwenzake, "nyie 1st year ndo mnahonga, sisi tunajichukulia bure", na quotes nyingine nyingi tu. Even if alikuwa anatania but take examination of his threads u'll fint the kind of a person senetor is!! Hivi mtu ukiadmitt the truth na ukaomba ushauri usaidiwe, kwani utakufa?? Pole yake kwakweli!
 
Kama ni hivyo mbona ndoa utaichoka mapema na kukushinda kabisa mamaaaa! Unaweza ukajikuta kwenye ndoa ambayo mambo ni oversize na hela na ndoa ishafungwa unadhani utaomba talaka. Mwanamke uvumilivu dadangu! Mvumilie tu, ka vipi na wewe anzisha mashambulizi kwa men tu ni style ya uandishi tu wala usikwazike!

Umenifurahisha mkuu,hata nikiwa na ndoa thamani yake haiwezi kulinga na ishu za huyu jamaa,
Ile ni kitu kingine ati!pale nakuwa nimeapa nitakuwa naye mpaka mauti yatakapotutenganisha,
Huyu na ishu zake wala hata mjumbe wa nyumba kumi hajui ndio maana siwezi kumvumilia kwa hili!
Habari yako binafsi kwanza!
 
Uko sahihi hajajua kwamba ukitaka kujua chanzo cha tatizo hasa kwenye mahusiano ni lzm uanze kujichunguza ww mwenyewe coz unaweza kuwa ndio chanzo cha matatizo,kwa mujibu wa sred zake inaonekana yeye mwenyewe ndio chanzo cha matatizo kwenye relation zake,asipojirekebisha ataishia kulia lia tu hapa njamvin miaka yote.

Ni kweli. Labda kajitegeshea alarm na anasubiri muda wake wa kutulia ufike!!
 
Kama ni hivyo mbona ndoa utaichoka mapema na kukushinda kabisa mamaaaa! Unaweza ukajikuta kwenye ndoa ambayo mambo ni oversize na hela na ndoa ishafungwa unadhani utaomba talaka. Mwanamke uvumilivu dadangu! Mvumilie tu, ka vipi na wewe anzisha mashambulizi kwa men tu ni style ya uandishi tu wala usikwazike!

hahahaa ndyoko bana!! Hili nalo lina uzito gani hata kila mtu alivumilie?? Lol! Where something goes wrong, we must ring the the alarm!! Hatuhitaji mashambulizi!
 
Vp Lkn, na wewe utaanza kutulia ukiwa na miaka mingap???uliokuwa nao hawakutulia kwa sababu gani???mbona wote kwako wako hivyo???umejiulza maswali hayo???mbona kuna watu wanaposti hapa kusifia walio nao???Ova
Asante mkuu kwan nawe umeliona hili!
 
Back
Top Bottom