Wasemavyo wazanzibari

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
CUF2.jpg

mia
 
Nimeipenda pia, hebu ipeleke kwa kule kwenye jukwaa la wanasiasa. Maana wengine huku huwa hawafiki!!
 
Atakuwa jamaa mmoja anajiita "kataa muungano" imekaa vzuri iende jukwa la siasa cause pia ni jambo la kisiasa
 
CUF2.jpg CUF2.jpg Nimeiona kwenye jamii photos nikaona niwaletee wale wasioenda huko ili wajadili
 
kwa mbali mstari wa kwanza unasomeka chadema walipokunywa juice pale ikulu kwa nini hawakutuchukulia sisi wananchi?wangetuletea leo kwenye kumbukumbu za mapinduzi
 
nyie ina maana kweli hamuoni nini kilicho andikwa? au ni ubishi wa kisisemu tu?
 
Kwa kifupi pameandikwa wazanzibari tusikubali kujadili katiba cha muhimu ni utaifa wetu freedom is coming tommorow Muungano si lazima. Ndivyo amaandishi yanavyosema
 
Mtoto akililia wembe mpe,sioni haja ya kuwang'ang'ania wazenji
Tuwaulize wa Tanganyika walioko Zenji na wa Zenji walioko Tanganyika kama wanapenda muungano halafu tuamue. Wakati wa kutafuta jibu tukumbuke kuwa duniani kuna raisi mmoja tu ambaye kisheria ya Zenji hakuruhusiwa kupiga kura Zenji
 
Zanzibar ndio pahala chafu kuliko nchi zote 30 nilizozitembelea duniani, rushwa na ubabe laivu.
 
Apo ndo kijiwe cha Jussa...na izi zote ni harakati za Jussa kibaraka wa Rostam...saivi hataji Tanzania..anasema Tanganyika!ana uroho wa madaraka uyu dogo wacha!!ana haha kuvunja Muungano
 
muungano wa tanzania ni wa nchi mbili TANANGAYIKA NA ZANZIBAR mnatia huruma sanaaaa kuona mmefuta tanganyika yenu zanzibar itaendelea kuepo milele .muungano hatutaki wa aina hii nyinyi msitunganganie mnatudhulumu leo hii mnasema nyinyi mnatufadhali someni vijana msipige zogo tu angalieni history ya zanzibar msisome vita vya majimaji tu.
 
Back
Top Bottom