Wasanii wamuziki wa kizazi kipya wanagawiwa viwanja Dar

Yaani wafanyakazi wamemgomea kura ,anawahonga ninyi mabongoflva ili mmpe kura , awe Raisi wenu kibongofalavour? Kwanza mna kadi za kujiandikisha kupiga kura?

Nakumbuka alijigamba kuwajengea studio ya Dola 50,000.00 . Go ahead tuone huo ubongo flavour wenu na Jk wenu. jue tutawagomea na sisi turudi zetu Congoooooo...?
 
he!he!heeee..Nguli na wewe kumbe umo kwa mipasho heeeee?
nguli ndo OTENI...
mzee wa heyooo NICHEKKK
HEBU NICHEEKIIIIIIIIIIIII
NINAVYONG'GARAAAAAAAAAAA
HEBU NICHEKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
NINAVYONG'ARAAAAAAAAAAA
 
Serikali imetukumbuka tumepewa viwanja ndio tuko kwenye foleni hapa ofisi za SHIWATA ilala Bungoni. Kama kuna mwandishi wa HABARI aje anihoji sijawahi kuhojiwa na mwandishi hasa wa TV naomba mjee na raha sana hapa tunatoa laki 1 tu kama ada.

Kama kuna msanii ambaye hajasikia hii habari naomba mumfahamishe.

Mko sehemu gani tena ili niwaelekeze TAKUKURU..

Jibu hilo hapo juu tena ndio wanaotulinda hao takukuru wako
 
nguli ndo OTENI...
mzee wa heyooo NICHEKKK
HEBU NICHEEKIIIIIIIIIIIII
NINAVYONG'GARAAAAAAAAAAA
HEBU NICHEKIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
NINAVYONG'ARAAAAAAAAAAA

......he!he!he!...nicheki nipo lucas pub na mademu kibao....nicheki nipo beach najirusha na machizi...nicheki pamba zangu ......nicheki nicheki.....! menikumbusha mbali homu boi.....!

BWT: Think Nguli anaturusha tu huyu...hakuna kitu kama hicho kinaendelea....!
 
Ulishanionaga jukwaa la SIASA mimi? na je ninaweza kufanya joke kwenye hili jukwaa hata siku 1? nimetoa mpaka eneo la tukio na nimeomba nihojiwe sasa naona kimyaaaa
 
......he!he!he!...nicheki nipo lucas pub na mademu kibao....nicheki nipo beach najirusha na machizi...nicheki pamba zangu ......nicheki nicheki.....! menikumbusha mbali homu boi.....!

BWT: Think Nguli anaturusha tu huyu...hakuna kitu kama hicho kinaendelea....!
ONA MACHIZI WA NYUMBA NIITU WAKO FULU NGWAMBAAAA
ONA MASELA WA MAKAMBAKO WAKO FULU NGWAMBAAAAA

hehehehe!
homuboi kumbe unayaweza haya
 
Serikali imetukumbuka tumepewa viwanja ndio tuko kwenye foleni hapa ofisi za SHIWATA ilala Bungoni. Kama kuna mwandishi wa HABARI aje anihoji sijawahi kuhojiwa na mwandishi hasa wa TV naomba mjee na raha sana hapa tunatoa laki 1 tu kama ada.

Kama kuna msanii ambaye hajasikia hii habari naomba mumfahamishe.

Sasa naamini ule usemi unaotusihi tufanye yale wayasemayo viongozi wetu wa dini ila sio wayatendayo. Yani nyie mliotegemewa kuwa kioo cha jamii ndo mnajichukulia hata kuuliza ni kwanini mnapewa hamjiulizi?
Mmeifanyia nini nchi kiasi hicho? Angalia Trafic wanaloa vikwapa barabarani (hata kama wanapokea rushwa) lakini wanaishi kwenye nyumba kama mabanda ya njiwa, ni kwanini hata hamuulizi kwanini wasipewe wao mpewe nyie?
Wafanyakazi wachache sana wenye uwezo wa kumiliki viwanja, vinginnevyo wawe waizi. Kwanini hamjiulizi hawa hawapewi mwapewa nyinyi?
KI UKWELI INAUMA SANA (HAIMAANISHI NINAWAONEA WIVU) :mad2:
 
ulipewa kiwanja bure na serikali???

Mtoto wa nani wewe? Makamba? Rostam, JK au lowassa?

Siyo bure of course -- nililipa ada ya kawaida -- kama wanavyolipa hawa wanamuziki. hata hivyo nauliza: Hivi serikali huuza viwanja kwa wananchi wake -- au huwagawia tu bure? Nafahamu mimi ni kwamba watu binafsi huuziana viwanja, ingawa ni kinyume cha sheria -- kwani wanachopasa kuuziana ni property iliyopo, hata kama ni msingi tu.
 
:doh: Hii kiboko kwani TAKUKURU wanasema je kuhusu hiyo ndio yaleyale niona kwenye FUTUI jinsi gani wagombea wanavyo buni njia za rushwa! lol hadi octoba 31 tutaona mengi :A S-confused1:

haya wale wanamuziki wakizazi kipya walio tangaza nia na kuhamia vyama vya upinzani inakuwaje?? kina Nakaya na wenzie nao watapewa au ndio............. :confused2::nono:
 
Msiniulize maswali makali kama polisi
Mwishowe mtaja nipiga bure mufilisi
cha muhimu na kiwanja na si cha wizi
hakuna asiyependa cha bure hata kiziwi
Mwaijua bei ya kiwanja sala sala?

Nguli, chukua kiwanja mdogo wangu tujenge kanisa...
 
Serikali imetukumbuka tumepewa viwanja ndio tuko kwenye foleni hapa ofisi za SHIWATA ilala Bungoni. Kama kuna mwandishi wa HABARI aje anihoji sijawahi kuhojiwa na mwandishi hasa wa TV naomba mjee na raha sana hapa tunatoa laki 1 tu kama ada.

Kama kuna msanii ambaye hajasikia hii habari naomba mumfahamishe.
Rushwa.........
 
Nguli, chukua kiwanja mdogo wangu tujenge kanisa...

Amen Askofu, nitakuwa kama zakayo aliyetembelewa na Yesu....nafikiri kama askofu unaijua hii stori kilichoendelea
 
Mtoa hoja hebu tujuze zaidi. Hivi viwanja mnagawiwa kama nini, na ni maeneo gani?

Je mchakato wa kuvigawa ulianza lini? Je hii ni sehemu ya takrima kwa ajiri ya uchaguzi? au ni mgawo wa jasho lenu linalotokana na ada ambazo BASATA huvitoza vituo vinavyotumia kazi yenu?
 
Kwani mnategemea nini kuhusu thithiem, kazi wanayo ijua ni RUSHWA KWA KWENDA MBELE. Kufuta ujinga, umasikini na malazi vimewashinda, lakini hongo za kila aina, wanaongoza.

Nadhani Serikali ingefikilia wapewe kwanza wanao jitolea kusaidia watoto wa mitaani
 
Hiyo issue ni kweli mie nimeisikia ila dau ulilotaja Nguli naona limepanda kunawatu wamelipa elfu kama 50 tu. Lakini mimi najiuliza kwanini sasa hivi na hizo hela zisije zikaingia kwenye kampeni tukaingizwa mkenge buree.
 
Yaani wafanyakazi wamemgomea kura ,anawahonga ninyi mabongoflva ili mmpe kura , awe Raisi wenu kibongofalavour? Kwanza mna kadi za kujiandikisha kupiga kura?

Nakumbuka alijigamba kuwajengea studio ya Dola 50,000.00 . Go ahead tuone huo ubongo flavour wenu na Jk wenu. jue tutawagomea na sisi turudi zetu Congoooooo...?

Tutaburn CD mpaka kina Nguli wafulie :confused2:
 
Back
Top Bottom