Wasanii wamuziki wa kizazi kipya wanagawiwa viwanja Dar

Niliwapigia wahusika
kila msanii, mwanamichezo na mwanahabari anahusika kupewa kiwanja.

Ukweli utasimama daima
 
Serikali imetukumbuka tumepewa viwanja ndio tuko kwenye foleni hapa ofisi za SHIWATA ilala Bungoni. Kama kuna mwandishi wa HABARI aje anihoji sijawahi kuhojiwa na mwandishi hasa wa TV naomba mjee na raha sana hapa tunatoa laki 1 tu kama ada.

Kama kuna msanii ambaye hajasikia hii habari naomba mumfahamishe.
hiyo ni rushwa kwa wasanii ili wampigie kampeni Mkulu! why now? sidanganyiki!!
 
Jamani ee wanajamii?
Mi nimesikia kuwa hii habari ni zengwe na mkuu wa wilaya amesema hawa watu hana taarifa nao na kama kunamtu anakusanya ela kwaajiri ya viwanja hivyo basi wameliwa ,,
 
Jamani ee wanajamii?
Mi nimesikia kuwa hii habari ni zengwe na mkuu wa wilaya amesema hawa watu hana taarifa nao na kama kunamtu anakusanya ela kwaajiri ya viwanja hivyo basi wameliwa ,,
Kwa vile wao wanasimama majukwaani sasa na kuitetea dhuluma, acha nao wadhulumiwe wajue maumivu wanayoyapata watanzania kila siku kutokana na dhuluma ya serikali kupitia chama hiki wanachokipigia ndogondogo. Hongera sana (hata kama huo ni uhalifu) huyo aliyebuni ulaji huo toka kwa wasanii hawa ambao SIO kioo cha jamii.
 
Baadaye watawanyang'anya kwa kigezo cha kutoviendeleza! Hata kama msanii amejenga hicho kibanda chake, watamwambia hakuwa na building permit! You just wait, you will see!!!
 
Back
Top Bottom