Solita
Member
- Nov 29, 2010
- 47
- 4
Naomba mnisaidie wanajopo hivi kuwa shombeshombe ni bahati? maana juzi nilikuwa naangalia Fnl East africa tv, nikamsikia Nuru anamuuliza mgeni aliyekuwepo kwamba anafikiri mwaka huu ni wa mashombeshombe? halafu akamalizia si unajua sisi mashombemashombe!, si yeye tu lakini namsikia bob junior kila anapomalizia wimbo lazima aseme shombeshombe baby akisifia hali yake ya kuwa shombeshombe!