Wasanii wa bongo na sifa ya ushombeshombe!

Mashombeshombe ndo habari ya mjini!bongo tukitaka tufanikiwe mashindano yanayohusu mauzo katika runinga basi nashauri tuwakilishwe na mashombeshombe!mifano ipo wazi!ukiwa shombe huhitaji kuwa na bonge la kipaji bongo!muonekano wa kishombe utabeba kipaji na utakimbiza tu mjini!
 
duh,hukukosea kujiita muuza sura
 
nakumbuka wakati tuko wadogo kuna wimbo tulikuwa tukiwaimbia hao mashombeshombe hasa hawa wanaokaa uswahilini: Mwarabu koko ko anakula ukoko!! ilikuwa inawakera hadi wanakimbia wakituona anga zao, na mipira yetu ya chandimu au manati yetu shingoni. kutupiga hawawezi maana tulikuwa wababe na full zana za maangamizi.
 
na hawa mashombeshombe wengi wana mambo ya ki.sho.ga.sho.ga
 
aah kumbe...ndio maana akina so called fifi kisura wanajitaaaaaahidi kuelekea huko eeh? nonsense
 
Back
Top Bottom