Idara zinazohusika na udhibiti wa uuzaji madawaWhat idara? Watu mpaka maelezo ya matumizi haramu ya dawa wanapewa pharmacy.
Hata hivyo baada ya wikii sita ni hatari sana kufanya hii kitu bila usimamizi wa daktariAfter pushing her hard on instructions for usage the seller claimed that for the case of abortion it can be carried out at home within the first nine weeks of pregnancy.

Idara zinazohusika na udhibiti wa uuzaji madawa

Hata hivyo baada ya miezi sita ni hatari sana kufanya hii kitu bila usimamizi wa daktari

Hakuna cha six months wala nine weeks, hizi dawa hazipaswi kuuzwa kiholela kama inavyofanyika hapa kwetu!
Hivi kiumbe kilchokuwa "tumboni" mwa mwanamke ni "binadamu"?
Dhambi kubwa ni ipi? Kuzaa "mtoto wa mtaani" au "kukatisha ukuaji wa kiumbe tumboni mwa mwanamke"?
Naamini hata "mtaguso wa VATICAN" unatambua "hicho kiumbe" kuwa mtu baada ya 20 weeks!