Warning, Disturbing Images: Je umeshawahi kutoa mimba?

G bado kidogo na ww ungechelewa kuiweka hiyo dislaimer....bahati yako!

Sasa hapo kwenye kutoa mimba ili upate psychological relief hapo....kitendo chenyewe cha kutoa mimba si tayari kinaweza kumpa mtu tatizo la kisaikolojia?

Au tatizo hilo linakuwa si long lasting kama vile kumzaa mtoto na kuwa nae for the rest of your life?

Kwa wanaokuwa raped hata kusikia tu sauti ya rapist inaweza kumpa panick attack, sasa kumuona mtoto kila siku wengine wanaamini watashindwa kumlea na kumpa mtoto mapenzi anayostahiki. Na pia ile kujua kuwa dhehebu limemruhusu nafikiri inaweza isimpe shida sana kisaikolojia kutoa hiyo mimba. Anajua ghadhabu za Mungu kaziepuka hapo

Ni kweli kabisa kama mtu anapata tubuar pregancy hapa ni lazima wa-ternimate kwa ajili ya afya ya mama ila kuna mtu naye mfahamu ambaye alikuwa na tubular pregnancy na walimpa uchaguzi wa ku-plant kwenye tumbo la uzazi au kutupa viseli. Yeye alichagua kuplant, katoto kake sasa ni ka six grader

Hii wakati mwengine inategemea na eneo ulilopo ikimaanisha utaalamu na uwezo wa hospitali utakayotembelea pia. Hiyo choice si rahisi kupatiwa huko Sumbawanga kwa mfano.

Sio sawa hata kidogo..labda kwa sababu za kiafya pekee.

Kama mtu aliweza kufurahia starehe yake bila kufikiria nini kinaweza kutokea bila yeye kua mwangalifu basi inabidi apokee na kukubali jukumu la kuzaa iwapo litajitokeza. After all...kila mwenye akili timamu anajua kabisa nini kinaweza kutokea akifanya mapenzi bila kinga...kwahiyo kama kweli hana nia wala mawazo ya kuitwa mama karibuni ni vizuri akawa mwangalifu au asifanye mapenzi kabisa.

Sio starehe apatr mwingine na adhabu apate mwingine.

Wapo wanaotumia labda contraceptives and njia nyengine za kujilinda na bado wakapata uja uzito. Ninamjua dada mmoja alikuwa na mume na alipata mtoto wake kwa operation, baada ya mwezi alikuwa taabani anaumwa sana tumbo. Kufika hospitali akaambiwa ni mjamzito tena na daktari akamlazimisha kuitoa kwa kuwa mwili wake usingeweza kuhimili mimba kwa wakati huo. Yeye alikuwa akitumia contraceptives pia.

Sasa hapo kwenye kutoa mimba ili upate psychological relief hapo....kitendo chenyewe cha kutoa mimba si tayari kinaweza kumpa mtu tatizo la kisaikolojia?

Au tatizo hilo linakuwa si long lasting kama vile kumzaa mtoto na kuwa nae for the rest of your life?

Na hii ndio dhumuni la mada yenyewe, kwasababu ukiangalia matatizo ya kisaikolojia wanayoyapata wanawake waliotoa mimba ni makubwa mno na wapo wanaoshindwa kushika mimba kwasababu ya scar tussue kwenye uterus zinazotokana na abortion. Pia kwa wale walioamua kuendelea kubeba mimba wanakuwa na resentment kumlea mtoto ila hili linaweza kuzuiliwa kwa kumpa mtu mwingine amlee mtoto kama bibi, au hata kumu adopt.

Wapo wanaotumia labda contraceptives and njia nyengine za kujilinda na bado wakapata uja uzito. Ninamjua dada mmoja alikuwa na mume na alipata mtoto wake kwa operation, baada ya mwezi alikuwa taabani anaumwa sana tumbo. Kufika hospitali akaambiwa ni mjamzito tena na daktari akamlazimisha kuitoa kwa kuwa mwili wake usingeweza kuhimili mimba kwa wakati huo. Yeye alikuwa akitumia contraceptives pia.

Haswaa, kuna wanadada wengi sana ambao wamepata mimba baada ya kukata tubes zao

Chamoto kuna post moja ya Gaijini ameweka pia msimamo wa sheria zetu...ni kosa la jinai kutoa mimba (exception ndo kama hiyo ya kuhatarisha maisha ya mama lakini ithibitishwe na daktari) huo ndo msimamo. Kinyume na hapo ni kosa.

Hivi nani aliwahi kusikia mwanamke aliyetoa mimba kafungwa? Karibuni niliskia dada mmoja kajifungua katupa kichanga chooni sijui kesi yake iliishia wapi. Nataka tu kujua hilo, maana kesi za kuiba kuku na kutukana jadharani tunaskia wamefungwa.

Gaijin back to your point: kwamba dhehebu likiniruhusu kuitoa kwa sababu yoyote ile ilhali ni kinyume na sheria za nchi inakuwaje hapo? Dhehebu liko juu ya sheria za nchi? (au hayo madhehebu hayapo tz)

Binafsi sijawahi kusikia mtu kakamatwa kwa kutoa mimba. Na kisheria pia ni kosa kwa mtoaji sio mtolewaji tu. madaktari wanaofanya shughuli hiyo wanajuulikana lakini hakuna sheria inayochukua mkondo wake hata siku moja (kama kawaida ya Tanzania)

Madhehebu ya dini yanayokubali utoaji mimba kwa mtu alokuwa raped yapo hata Tanzania na kimsingi dhehebu haliwezi kuwa juu ya sheria ya nchi, lakini kama tulivyokwisha establish hapo awali, watu hawajali sheria za nchi, wanachoweza kujali kidogo ni sheria za Mungu ( kwa waumini). Kwa hiyo bila kujali sana sheria za nchi zinasemaje wanafanya kuitoa mimba hasa wakizingatia kuwa hata wakijuulikana kuwa wametoa mimba hakuna wa kuwafanya chochote katika nchi iitwayo Tanzania.

Gaijin nilitaka tufike tu hapo....sheria ipo na haiwi enforced, its as good as it doesnt exist! Kwa hiyo acha hata hayo madhehebu yajiamulia kulingana na sheria zao.

Nchi ya hovyo kabisa, madaktari watoa mimba wapo tu wanandunda na wateja wao. Imekuwa kawaida tu siku hizi kutoa mimba. Na hili ndo linapelekea hasa watu hata wasiogope.

Btw: kuna mmoja alikuwa maarufu kama Dr. Coca pale kimara alikamatwa sijui aliishia wapi.....wanahabari nao, taarifa kama hizi hawfatiliii.

Wapo wanaotumia labda contraceptives and njia nyengine za kujilinda na bado wakapata uja uzito. Ninamjua dada mmoja alikuwa na mume na alipata mtoto wake kwa operation, baada ya mwezi alikuwa taabani anaumwa sana tumbo. Kufika hospitali akaambiwa ni mjamzito tena na daktari akamlazimisha kuitoa kwa kuwa mwili wake usingeweza kuhimili mimba kwa wakati huo. Yeye alikuwa akitumia contraceptives pia.

Kwenye situation kama hiyo jumlisha na afya yake inaeleweka kwamba alilazimika.Ila wengi wa wanaoishia kuzichoropoa uchovhlroni hua wanajua kabisa anaweza akapata mimba (ambayo anajua kabisa haitaki) na bado anaendelea na mambo yake bila kutumia kinga yoyote ile.Alafu wengine unakuta mtu ujanani ametoa mara mbili tatu kwahiyo huwezi kuuita wala kutetea kama bahati mbaya tena maana anarudia kosa lile lile akiwa anayajua matokeo yake bila kujali.Sasa hawa nao unawafikiriaje...?!

Gaijin nilitaka tufike tu hapo....sheria ipo na haiwi enforced, its as good as it doesnt exist! Kwa hiyo acha hata hayo madhehebu yajiamulia kulingana na sheria zao.

Nchi ya hovyo kabisa, madaktari watoa mimba wapo tu wanandunda na wateja wao. Imekuwa kawaida tu siku hizi kutoa mimba. Na hili ndo linapelekea hasa watu hata wasiogope.

Btw: kuna mmoja alikuwa maarufu kama Dr. Coca pale kimara alikamatwa sijui aliishia wapi.....wanahabari nao, taarifa kama hizi hawfatiliii.

Kuna na hili la kwenda pharmacy bila ya kuulizwa cheti cha daktari ukapewa vidonge vinavyotumika kutoa mimba nalo. Serikali imekaa burdaaan hata habari haina

allAfrica.com: Tanzania: Abortion Pills Now Sold Over the Counter

jamani ili swala ni pana kidogo.kiukweli kizazi tulichonacho ni vigumu sana kuikwepA hii dhambi.imetafuna watu wengi sana.

Watoto wengi wa sec hasa form 2 wanatafunwa na hii dhambi.

Chanzo hasa ni familia,familia nyingi wanapinga sana ili swala,ndo mana hupelekea watoto wengi kutoa mimba.
Ugumu wamaisha ni sababu moja wapo ya sababu ya kutoa mimba.nadhani ndio tiketi kubwa na watu ambao wamekumbwa na maswahibu haya.

Kukataliwa na mabwana ZAO.NAYo hupelekea wanawake kuchomoa mimba iwe changa au iliyo komaa au wengine kuwatupa kabisa watoto.

Jambo kubwa la msingi ni kuwa,hata iwe vipi ni vizuri mimba ikatimiza miezi yake ili mtoto azaliwe kutoa sio soln ya tatizo.
Note.:MIMBA UTATOA,UKIMWI JE???

STOP ABORTION.
Unajua kila mtu angejiuliza hv kama mama zetu wangezitoa mimba amabazo ndio zimetuleta duniani sisi leo tungekuwepo!
Jaman wadada achen huu ukatili.

bht

Hata kama watu hawajali sheria za nchi wala Mungu kwa nini wasitizame welfare yao binafsi? au hawajui madhara ya abortion?

Binafsi mpaka nimefika form 6 sikuwahi kusikia watu wakizungumzia madhara ya kutoa mimba huko shule.

The Citizen on Sunday managed to buy the pills at one of the drug shops in Mwenge area in Dar es Salaam during the week. The seller looked at me in the eyes for a few seconds, then went to the storeroom and handed them to me."There you are," she said without asking for a prescription, as she gave them to me as if I knew what to do with them.
kama kawaida kilakitu mzaha mzaha tuu

In a simple search for abortion pills in the retail drug outlets in Dar es Salaam, more than three sellers gave the life-threatening pills without prescriptions at all

Hivi idara husika zinafanya nini katika mambo kama haya?

umewahi kubakwa!?umewahi kukutana na aliebakwa na akapata madhara yanayoonekana(mimba,magonjwa etc.)?nimekutana na case za hivi kama nne hivi na mbili nilizi-ateend mwenyewe.nakuhakikishia,ni sawa na kifo!!sisemi hii inahalalisha utoaji mimba,ila mazingira na madhara ya tukio hulazimisha ishu kama mimba ikitokea mwathirika aifute kwa nguvu zote.the act of rape itself,(pregnancy & diseases aside)has a life time effects on a victim as ni udhalilishaji wa kiwango cha juu mno wa utu wa mtu.sasa jumlisha na kumbukumbu ya kudumu ya tukio husika on a victim in form of mtoto!!without a proper support baada ya tukio(amabayo ni ngumu kuipata as victims wengi hawasemi labda kwa kuona aibu na hisia za kudhalilishwa utu wao),abortion hapa haikwepeki dada angu!

bht:
Hivi ukibakwa na ukabeba mimba je, is it a legitimate reason to abort?[/QUOTE]

Kuna na hili la kwenda pharmacy bila ya kuulizwa cheti cha daktari ukapewa vidonge vinavyotumika kutoa mimba nalo. Serikali imekaa burdaaan hata habari haina

allAfrica.com: Tanzania: Abortion Pills Now Sold Over the Counter

Serikali ipo kwani? They are just a bunch of selfish and shameless people....busy kujikusanyia chochote kinachowapitia kwa manufaa yao na familia zao!

Watu wameachwa wajifanyie wapendavyo.....maduka ya dawa hata hayajasajiliwa, vituo vya afya ndo usiseme, yaani ni vurugu match.

bht

Hata kama watu hawajali sheria za nchi wala Mungu kwa nini wasitizame welfare yao binafsi? au hawajui madhara ya abortion?

Binafsi mpaka nimefika form 6 sikuwahi kusikia watu wakizungumzia madhara ya kutoa mimba huko shule.

Gaijin, nitajali vipi kama sijui? Hebu jichukulie wewe binafsi mpaka form H hujasikia hilo likizungumzwa, labda unaweza kuwa ulibahatika kujisomea mahali, sasa wangapi unadhani hawafahamu?

Sasa hiyo ni sababu nyingine tukiachilia mbali suala la sheria.

Hiyo elimu ya afya ya uzazi sina hakika kama ipo mashuleni na huko ndo kuna wahusika kibao.
Mi sikuwahi kusoma elimu ya afya ya uzazi nikiwa shule kwa kweli, ambapo mambo kama haya yangezungumzwa kwa undani na upana wake.

umewahi kubakwa!?umewahi kukutana na aliebakwa na akapata madhara yanayoonekana(mimba,magonjwa etc.)?nimekutana na case za hivi kama nne hivi na mbili nilizi-ateend mwenyewe.nakuhakikishia,ni sawa na kifo!!sisemi hii inahalalisha utoaji mimba,ila mazingira na madhara ya tukio hulazimisha ishu kama mimba ikitokea mwathirika aifute kwa nguvu zote.the act of rape itself,(pregnancy & diseases aside)has a life time effects on a victim as ni udhalilishaji wa kiwango cha juu mno wa utu wa mtu.sasa jumlisha na kumbukumbu ya kudumu ya tukio husika on a victim in form of mtoto!!without a proper support baada ya tukio(amabayo ni ngumu kuipata as victims wengi hawasemi labda kwa kuona aibu na hisia za kudhalilishwa utu wao),abortion hapa haikwepeki dada angu!
bht:
Hivi ukibakwa na ukabeba mimba je, is it a legitimate reason to abort?

Rubeye

Nafikiri suala lako la 'umewahi kubakwa?' ni rhetoric zaidi kuliko kuwa unasubiri jibu. Iwapo kuna aliyewahi kubakwa hapa JF basi si rahisi kweza kuja hapa na kuanza kusema kuwa niliwahi kubakwa kama ulivyoeleza mwenyewe.

Maelezo yako ya athari kwa mbakwaji yameeleweka vyema mkuu na hicho hasa ndicho kinachowapa baadhi ya madhehebu ya dini kuruhusu kutolewa kwa mimba hiyo ili wapate psychological and emotional relief

Daah Rubuye naona umeni shoot kabisa na hilo swali! Hata mmm nimeuliza humu humu kuna mahali G katoa maelezo na akapoint suala zima la psychological relief...kumpa victim wa kubakwa unafuu wa kisaikolojia, mimba yaweza kutolewa.

kama kawaida kilakitu mzaha mzaha tuu

Hivi idara husika zinafanya nini katika mambo kama haya?

What idara? Watu mpaka maelezo ya matumizi haramu ya dawa wanapewa pharmacy.

After pushing her hard on instructions for usage the seller claimed that for the case of abortion it can be carried out at home within the first nine weeks of pregnancy.

Hivi ukibakwa na ukabeba mimba je, is it a legitimate reason to abort?.
Tatizo la hapo ni kwamba mimba iliyosababishwa na ubakaji si wakati wote inahatarisha maisha ya mama.

Back
Top Bottom