Warioba: CCM ijiandae kuwa chama cha Upinzani

CCM lazima itatoka madarakani!
Nani alijua kuwa KANU iliyokuwa ina fedha kemkem kule Kenya ingeondolewa madarakani kwa nguvu kura za umma.
Hakika BIDII YETU ITAINGIZA CHADEMA MADARAKANI Facebook
 
CCM lazima itatoka madarakani!
Nani alijua kuwa KANU iliyokuwa ina fedha kemkem kule Kenya ingeondolewa madarakani kwa nguvu kura za umma.
Hakika BIDII YETU ITAINGIZA CHADEMA MADARAKANI Facebook
 
CCM lazima itatoka madarakani!
Nani alijua kuwa KANU iliyokuwa ina fedha kemkem kule Kenya ingeondolewa madarakani kwa nguvu kura za umma.
Hakika BIDII YETU ITAINGIZA CHADEMA MADARAKANI Facebook
 
Hakuna mji udumuo ila tunaoutafuta.na ktk umri wa miaka 50 binadamu hawezi kuendelea kuwa na nguvu zile zile alizokuwa nazo wakati alipokuwa kijana, ila huanza kuzeeka na nguvu kupungua. Hiyo ndiyo CCM tunayoiona.
 
Watu wamechoka na CHAMA HIKi!!Mimi najiuliza kama sasa hivi kwenye kampeni za chaguzi ndogondogo ambapo kunakuwa na support kubwa ya viongozi wote wa CCM wanakoswa hoja wanatukana je wakati wa uchaguzi mkuu kila mmoja anjipigania kivyake itakuwaje je CCM mnamtaji gani wakuwambia wananchi wawaelewe?/au yale yakusema mkichagua upinzani kutakuwepo na vita??akili yakizamani!!Nawatabiria ukomo wenu umefika!!kaa mkao wakuitwa wapinzani!!!rafiki zenu watakuwa KANU!
 
Ukweli kama ni kulalamikiwa, kukosolewa, kulaumiwa, kutukanwa, kukashifiwa, kupuuzwa, kunyanyaswa, na kulekezewa kila aina ya ubaya chama changu kinachotawala nchi kimekumbana nayo sana, hata wakati ambapo hakikustahili. Hii yote ni kwa sababu, pengine tu watu wanataka mabadiliko ya kisiasa zaidi na wamechoka kuongozwa na chama kile kile na watu wale wale. Binafsi nasema kila siku nikiangalia sura za Wa TZ wengi sioni anayefaa kuongoza kwa dhati iwe chama tawala wala upinzani, karibu wote wamechafuka kasoro mimi labda (tatizo sipo ktk active politics na naitumikia nchi kwa namna ingine). Katika kujadiliana na wenzangu (marafiki wa karibu yangu) ambao wengi naona wamekumbwa na upepo wa kisiasa naona nabaki katika msimamo wa chama changu mimi mwenyewe tu. Ndugu yangu kadiriki hadi kuwaingiza watoto niliozaa mwenyewe kwenda CDM, tena watoto wadogo tu. Nimekuwa nikijiuliza hivi suppose nami nahama changu naenda chama kingine nitakuwa nimekitendea haki chama?, je nimeshawahi kufanya jambo lolote kwa ajili ya kukijenga chama changu katika majukumu yake ya kutawala nchi?

Majibu niliyopata ni kutohama chama changu, ila nimepata hamu kitoke madarakani, kwani hapo naamini wengi pia watakaoenda kuchukua nafasi za uongozi kule watatoka katika chama changu (kwani wengi wao ni madaraka mongers). Tutabaki wenye msimamo na tutaweza kuwa na nafasi ya kukosoa, kulaumu, kulalamika, kukashifu, kutukana ikibidi, kupuuza, na kuelekeza kila jambo baya ama jema kulifanya baya kwa chama kitachotawala wakati huo. Siasa ni zamu kwa zamu. WaTZ wengi hatujui nini tunakitaka, tuna imani kubwa kwamba mabadiliko ya kisiasa yataondoa matatizo yetu. Si hivyo kamwe, nchi yetu ni maskini ndiyo lakini umaskini huo kamwe hauwezi kuondolewa na mabadiliko ya kisiasa, sana sana ni vurugu na kulalamika tu hata wakati baadhi tunalalamikia kitu tusichojua, tunafuata upepo. Ndiyo maana kwangu mimi tatizo sio chama changu bali ni watu, narudia tena ni watu. Natamani wote waende upinzani ili wakasaidie upinzani kutawala ili nirudi kwenye active politics, na ikibidi miaka mitano tu baada ya upinzani kutawala cham changu kirudi tena madarakani.

Hapo naamini pia hata JF watabadilika na kuelekezea mashambulizi yanayoelekezwa kwa chama changu sasa kuelekea kwa chama hicho kitachotawala.
 
Nimejaribu kukitasimini chama tawala kwa sasa na matatizo yake ya makundi,viongozi wachumia tumbo na mengine mengi nakajaribu kujiuliza ccm ikiachia dola kinaweza kuwa chama cha umpinzani chenye nguvu?
 
cdm ikishika dola tutapata fursa ya kuikosoa? Na kuwa sikivu kama ccm?
 
Unajua wengi wanakwenda ccm kwa masilai binafsi kama kupata ubunge au uongonzi.naona chama kikikosa dola ndumilakuili wote watakimbia na ndo hao wenye nguvu ya pesa chama kitakosa govu na kufa.
 
CCM haiwezi kuachia dola kamwe!

Acha ndoto zako za kufikirika

wewe ni Mngazija( mpemba) sasa mambo ya tanganyika yetu yanakuhusu nini? Of coz ccm itaendelea kutawala kwenu Ngazija(pemba) but kwa huku kwetu sis watanganyika sahau.
 
Eti vijamaa vimekosa cha kufanya, mwisho vinajadili Ccm kuachia dola. Labda miaka elfu kumi ijayo ndipo Ccm iaweza ikaachia dola, lakini kwa miaka hii kabla ya hiyo elfu kumi kupita, Ccm itaendelea kuwa chama tawala, mtake au msitake.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
 
Eti vijamaa vimekosa cha kufanya, mwisho vinajadili Ccm kuachia dola. Labda miaka elfu kumi ijayo ndipo Ccm iaweza ikaachia dola, lakini kwa miaka hii kabla ya hiyo elfu kumi kupita, Ccm itaendelea kuwa chama tawala, mtake au msitake.
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".
Wewe ni chakula ya ccm! Hahahaaaaa
 
Na hiwe hivyo 2015. Tukitoe alafu tukiangalie, Je kitanawili kama UDP/ CCJ/ DP au TLP?. Au kitakufa kabisa?. Jibu la swali lako nitakujibu 2016.
 
Back
Top Bottom