Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,884
- 6,885
Kujifunza ni kwa namna nyingi. I wish I could see Philip Marmo na kujitutumua kwake wakati anazima hoja ya mgombea binafsi mwaka 2010. Mara nyingine tunaongea kama tuna own future...
Kikweli alivyojenga hoja ya kuhoji mahakamani matokeo ya urais, ni dalili za wazi CCM wanaandaa mkakati wa kupinga mtokeo ya Urais akichaguliwa kutoka chama kingine Uchaguzi mkuu ujao.