<br />Gugwe,kama alivosema Mzee wa Mawe ...Huo ufisadi wa Rostam ulitoka wapi? <br />
Hayo mambo yenu ya kiswahili na yasyo na msingi wa kitu chochote.Mimi ni Mtanzania kuliko wewe Gugwe.Hata kama naishi nje Tanzania ni nchi yangu.Mkoa wa Tabora naujua vizuri.Igunga kabla ya Rostam Aziz ilikuwa wilaya ya mwisho Tanzania.Baada ya Rostam imekuwa wilaya inayoongoza kimaendeleo .Sasa makosa ya Rostam ni nini?Haya hiyo Richmond imeondoka mbona umeme matatizo mpaka leo?Sasa kama Rostam Fisadi je alichukuwa hela za mama yako?Rostam ni business man.Huo waraka wa siri utamsaidia nani?Kama si porojo zenu za uongo?Hebu Watanzania jaribuni kusema ukweli,acheni porojo hizo za siasa.Rostam amewaachia uwanja wenu sasa tungojee maendeleo ya Igunga.Acheni kumwita Rostam Fisadi.Acheni ubaguzi na roho mbaya,Mwenyezi Mungu haradhi......
<br />
wewe kweli kilaz*,hata kuwa kwako nje na unyamwez wako bado havijakukomboa,suala si kuwa mgao umeisha au la,issue ni kwamba richmond ilikua ni wizi,ukisema umeme uko wapi una maana gan???so ulitaka richmond iendelee,au ulikua ukilipiwa vijiada na richmond,wana igunga ni maskin tu na igunga yao,wao wapo tanzania ujue kila kadhia ina wakuta,sasa rostam ametajwa mara ngapi kwenye KAGODA?????taarifa ya richmond mbona imemtaja,acha upopompo