Waraka wa siri kwa wana Igunga

Gugwe,kama alivosema Mzee wa Mawe ...Huo ufisadi wa Rostam ulitoka wapi?

Hayo mambo yenu ya kiswahili na yasyo na msingi wa kitu chochote.Mimi ni Mtanzania kuliko wewe Gugwe.Hata kama naishi nje Tanzania ni nchi yangu.Mkoa wa Tabora naujua vizuri.Igunga kabla ya Rostam Aziz ilikuwa wilaya ya mwisho Tanzania.Baada ya Rostam imekuwa wilaya inayoongoza kimaendeleo .Sasa makosa ya Rostam ni nini?Haya hiyo Richmond imeondoka mbona umeme matatizo mpaka leo?Sasa kama Rostam Fisadi je alichukuwa hela za mama yako?Rostam ni business man.Huo waraka wa siri utamsaidia nani?Kama si porojo zenu za uongo?Hebu Watanzania jaribuni kusema ukweli,acheni porojo hizo za siasa.Rostam amewaachia uwanja wenu sasa tungojee maendeleo ya Igunga.Acheni kumwita Rostam Fisadi.Acheni ubaguzi na roho mbaya,Mwenyezi Mungu haradhi......

wewe kweli kilaz*,hata kuwa kwako nje na unyamwez wako bado havijakukomboa,suala si kuwa mgao umeisha au la,issue ni kwamba richmond ilikua ni wizi,ukisema umeme uko wapi una maana gan???so ulitaka richmond iendelee,au ulikua ukilipiwa vijiada na richmond,wana igunga ni maskin tu na igunga yao,wao wapo tanzania ujue kila kadhia ina wakuta,sasa rostam ametajwa mara ngapi kwenye KAGODA?????taarifa ya richmond mbona imemtaja,acha upopompo

NDUGU ZANGU WANAJAMII F...NAONA HII SASA NI NGUVU ZA GIZA KAMA SI SIKU ZA MWISHO WA DUNIA. KUNA PANDE MBILI NAONA ZINAKINZANA KWA NGUVU HAPA. EWE ULIYEPO UPANDE WA ROSTAM..NI WEWE ULIMWAMBIA AJIUZULU AU NI YEYE ALIAMUA...NA IWAPO ALIAMUA YEYE NI KWA NINI ALIAMUA HIVYO? NI MWANA CCM NA ALIACHIA AKITOKA CCM.

HAYA...NA WEWE USEMAYE IGUNGA WASICHAGUE CCM NI MMOJA WA ROSTAM? WAACHE WATU WAAMUE KWANI WANAONA NA WANAJUA KWANI "chema chajiuza..na kibovu chajitembeza" UNA NADI SERA ZA CHAMA GANI HAPA AMBACHO UNATAKA KUKIDHARILILISHA KIONEKANE KINAJIUZA? neno kujiuza ni baya sana naomba mhusika ulifikirie kwa kina. Mfano rahisi ni dada zetu wa usiku eneo la kamanyola sinza kwa Shekhe Kilango almaarufu shekilango.

hao wanaomtetea ros-ham wooote mafedhuli,,,,,,,hata kama ni ubaguzi,basi watanzania haijafika wakat wa kuwakilishwa na MAPONJORO,nasema hili dhahiri,kwa sababu mbona watanzania weeengi tuuu wanaweza kutuwakilisha,hawa wakiingia kwenye siasa ndio hufanya hayo wanayoyafanya,i hate these people,lakin pamoja na hayo hawa jamaa hawana uchungu na sisi,,,,,,,sasa huyu anaemtetea ROST-HAM ndo simuelewi

Gugwe,kama alivosema Mzee wa Mawe ...Huo ufisadi wa Rostam ulitoka wapi?

Hayo mambo yenu ya kiswahili na yasyo na msingi wa kitu chochote.Mimi ni Mtanzania kuliko wewe Gugwe.Hata kama naishi nje Tanzania ni nchi yangu.Mkoa wa Tabora naujua vizuri.Igunga kabla ya Rostam Aziz ilikuwa wilaya ya mwisho Tanzania.Baada ya Rostam imekuwa wilaya inayoongoza kimaendeleo .Sasa makosa ya Rostam ni nini?Haya hiyo Richmond imeondoka mbona umeme matatizo mpaka leo?Sasa kama Rostam Fisadi je alichukuwa hela za mama yako?Rostam ni business man.Huo waraka wa siri utamsaidia nani?Kama si porojo zenu za uongo?Hebu Watanzania jaribuni kusema ukweli,acheni porojo hizo za siasa.Rostam amewaachia uwanja wenu sasa tungojee maendeleo ya Igunga.Acheni kumwita Rostam Fisadi.Acheni ubaguzi na roho mbaya,Mwenyezi Mungu haradhi......

Igunga haiwezi kuwa wilaya inayoongoza kimaendeleo. Labda kama unailinganisha na Bahi

Gugwe,kama alivosema Mzee wa Mawe ...Huo ufisadi wa Rostam ulitoka wapi?

Hayo mambo yenu ya kiswahili na yasyo na msingi wa kitu chochote.Mimi ni Mtanzania kuliko wewe Gugwe.Hata kama naishi nje Tanzania ni nchi yangu.Mkoa wa Tabora naujua vizuri.Igunga kabla ya Rostam Aziz ilikuwa wilaya ya mwisho Tanzania.Baada ya Rostam imekuwa wilaya inayoongoza kimaendeleo .Sasa makosa ya Rostam ni nini?Haya hiyo Richmond imeondoka mbona umeme matatizo mpaka leo?Sasa kama Rostam Fisadi je al
Google

Ufisadi wake ndio umeifanya tatizo la umeme liendelee na hela alizo tuibia katumia % kidogo kuwadanganya wana igunga

Usifanye Kampeni muda bado na usiwasumbue watu wa Igunga![/QUOTE]

nikweli anafanya kampeni tena ya kishamba. Ina maana hata sisiem wakisimamisha mtu safi wana Igunga wasimpe kura

Inaelekea huko nje unaosha vyombo tu. Umezamia, sasa unashindwa kurudi nyumbani kwani utakosa cha kufanya. Vichwa vya aina yako hata hapa Tanzania havitufai!

wee utakua una matatizo. . .kumumiza mwenzako kisaikolojia ni dalili pia za matatizo ya kisaikolojia uliyonayo. .is not gud to hurt others twende kwenye hoja!. .

You have said it all mkuu wangu nangojea majibu sahihi toka kwa watetezi wa RA safi sana ,

kisaikolojia matatizo yanapokua mengi kila kukicha maisha yanakua magumu watu wanaposhindwa kuicontrol nature au situation hufukiri kua ther is a supernatural somwher that can solve this. .pia watu hufikir kuna source of all this chaos ndipo hufikiria uchawi na laana. .nachotak kusema ni matatizo tuliyonayo yanatuelekeza isivyo eti mchawi wa maendeleo yetu ni rostam au lowasa. .tunafail sana!

Gugwe,kama alivosema Mzee wa Mawe ...Huo ufisadi wa Rostam ulitoka wapi?
Hayo mambo yenu ya kiswahili na yasyo na msingi wa kitu chochote.Mimi ni Mtanzania kuliko wewe Gugwe.Hata kama naishi nje Tanzania ni nchi yangu.Mkoa wa Tabora naujua vizuri.Igunga kabla ya Rostam Aziz ilikuwa wilaya ya mwisho Tanzania.Baada ya Rostam imekuwa wilaya inayoongoza kimaendeleo .Sasa makosa ya Rostam ni nini?Haya hiyo Richmond imeondoka mbona umeme matatizo mpaka leo?Sasa kama Rostam Fisadi je alichukuwa hela za mama yako?Rostam ni business man.Huo waraka wa siri utamsaidia nani?Kama si porojo zenu za uongo?Hebu Watanzania jaribuni kusema ukweli,acheni porojo hizo za siasa.Rostam amewaachia uwanja wenu sasa tungojee maendeleo ya Igunga.Acheni kumwita Rostam Fisadi.Acheni ubaguzi na roho mbaya,Mwenyezi Mungu haradhi......

Nasikitika sana kuwa na uhusiano wa ktaifa na mtu kama wewe.....anyway hii yote inathibitisha kuwa bado tunasafari ndefu sana ya kuleta mabadiliko ya kifikra nchini. Thanks God upo nje ya nchi upupu wako na ubaki huko huko. YOUR REACTING POLITICALLY INSTEAD OF THINKING. Sina haja ya kupoteza muda kukuelewesha, kabla ya kusema kitu ebu jiulize umeifanyia nini nchi yako kwa kukaa kwako nje ya nchi? sisi ndio tunafeel machungu na matatizo tunayokumbana nayo kila siku, unauliza eti alichukua hela za mama yangu kweli wewe hamnazo***&$! hujui kuwa pesa iliyochukuliwa ni ya mama yako na bibi yako pia?^&*(>>!@**^@

QUOTE=mzee wa mawe;2330790]ufisadi wa Rostam upo wapi? au ni chuki mliyopandikiziwa![/QUOTE]

Wenye chama chake na wenye vyombo vyote vya ufuatiliaji na upelelezi wamesema wewe ni nani
hadi umtetee?

Ndio, sio siri tena sasa kuwa nchi iko mashaka, ina kwikwi nyemelezi. sitaki kupoteza muda kuelezea matatizo yanayoikumba nchi kwa sasa kwani kila mtanzagiza anaelewa na yanamgusa na kumathiri si kwa njia moja ama nyingine bali katika kila nyanja ya maisha. Hali hii inachangiwa sana, san tu na sisi wanatanzagiza wenyewe kwani tumendelea kukubali kuwa nyeupe ni nyeusi na nyeusi ni nyeupe kwa miongo kadhaa sasa. LAKINI WAKATI WA MABADILIKO UMEFIKA.

WANA IGUNGA. kwa muda mrefu mmechangia sana matatizo ya nchi hii, yawe ya kiuchuimi au kisiasa kwa kumruhusu fisadi Rostam Aziz kuchukua nafasi ya uongozi kwa miongo kadhaa, watanzania wamelia na Mungu amesikia kilio chao. "Ameng'atuka". Ni wakati muafaka kwenu kutubu dhambi zenu na kufuta historia chafu ambayo ingeendelea kuwahukumu vizazi na vizazi. Katika uchaguzi ujao tumieni nafasi hii kwa busara, wekeni maslahi ya kichama pembeni na tangulizeni maslahi ya Taifa mbele, CHONDE CHONDE pigieni kura Chama chochote mpendacho lakini si CCM.

Ni matumaini yetu kuwa hamtatuangusha tena.

Watanzagiza tunaoangamia kwa makosa yenu mliyoyafanya kwenye vyumba vya kupigia kura miongo kadhaa iliyopita

Hawawezi kuchagua tofauti na CCM , vyama vingine havina rungu zaidi ya kupiga kelele na kutokuwepo na mwelekeo

Gugwe,kama alivosema Mzee wa Mawe ...Huo ufisadi wa Rostam ulitoka wapi?
Hayo mambo yenu ya kiswahili na yasyo na msingi wa kitu chochote.Mimi ni Mtanzania kuliko wewe Gugwe.Hata kama naishi nje Tanzania ni nchi yangu.Mkoa wa Tabora naujua vizuri.Igunga kabla ya Rostam Aziz ilikuwa wilaya ya mwisho Tanzania.Baada ya Rostam imekuwa wilaya inayoongoza kimaendeleo .Sasa makosa ya Rostam ni nini?Haya hiyo Richmond imeondoka mbona umeme matatizo mpaka leo?Sasa kama Rostam Fisadi je alichukuwa hela za mama yako?Rostam ni business man.Huo waraka wa siri utamsaidia nani?Kama si porojo zenu za uongo?Hebu Watanzania jaribuni kusema ukweli,acheni porojo hizo za siasa.Rostam amewaachia uwanja wenu sasa tungojee maendeleo ya Igunga.Acheni kumwita Rostam Fisadi.Acheni ubaguzi na roho mbaya,Mwenyezi Mungu haradhi......

Hapo kwenye red....kwa hiyo hivi sasa wilaya ya Igunga inaizidi hata wilaya ya Kinondoni??!!!!

Tukisherehekea miaka 50 ya marehemu Tanganyika, hivi ni kweli maendeleo duni ya TZ yamesababishwa na hawa watu watatu (CLR)? Hawa wameibuka hivi karibuni huko nyuma ilikuwa sababu nini au nani kasababisha?

Hapo kwenye red....kwa hiyo hivi sasa wilaya ya Igunga inaizidi hata wilaya ya Kinondoni??!!!!

hahahahaaaaa,,,,,,,,maswali mengine jama msiwe mnauliza,maana hata PINDA hana takwimu,,,,,,,heheheheee IGUNGAAAAAAA,kuna traffic jam???

Back
Top Bottom