Sir-mganah
Member
- Jul 17, 2011
- 58
- 11
Nyie mnaomtetea rost wote mmelost kwan rost mwenyewe mnamuona tu kwenye tv 2acheni sisi wanaigunga ndo tunaemfaham hatutaki kumsikia wala kuona hayo magamba yake tunachookitaka sasa ni mabadiliko ya kweli na maendeleo ya dhati.igunga bado ni moja ya wilaya duni sana hapa nchini msitudanganye na takwim zenu za kupanga eti igunga ndo wilaya inayoongoza kwa maendeleo nchini uongo mtupu