Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,481
- 1,365
Watu walishasema "nchi haita tawalika" halafu wewe unakuja na hoja nyepesi namna hii?:shock:
Walosema hivyo wanaona mbali na ndio kinachokuja
Watu walishasema "nchi haita tawalika" halafu wewe unakuja na hoja nyepesi namna hii?:shock:
Hata kama sio mwanakusini anahitaji kujibiwa kwa hoja! mleta mada kaleta hoja sio unajibu majibu mepesi na yenye kebehi! hii ni JF mpya ya zamani watu walikuwa wanaficha "upumbavu" wanajibu hoja kwa hoja, siku hizi watu wanaonyesha "upumbavu" wanasahau kujibu hoja!:shock:
kwanini bandari hamjajenga mtwara badala yake mkapeleka bagamoyo?
hatudanganyiki!!
Nenda kaolewe ww! Gesi haitoki hapa, nyambafu.
Kichwa kama NANTIPITILA
:yell:WANA MTWARA TUTAFAKARI MBONA SERIKALI IMETULETEA MWEKEZAJI ANAJENGA KIWANDA CHA SARUJI NA VIJANA TUTAPATA AJIRA! MBONA YETU INAJENGWA NA RELI KWENDA KIWANDA CHA SARUJI VYOTE VINALETA AJIRA KWETU! SERIKALI INASEMA GESI GESI KWETU KWANZA NA ITAKAYO BAKI NDIYO ITASAFIRISHWA ILI KUPATA SOKO NA MAPATO ZAIDI. HAYA YOTE NI MAENDELEO KWETU TUSIKUBALI KUTUMIWA NA WATUILI WAPATE MASLAHI YAO. KWA PAMOJA TUSHIRIKIANE KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI ILI NASI TUPATE AJIRA MAISHA YETU YAWE JUU. WATU WASIOTUTAKIA MEMA WANATUSHAWISHI ILI TUGOMEE MAENDELEO ILI WAENDELEE KUKUTUMIA KWA FAIDA ZAO, MTWARA TUAMKE TUKATAE MAANDAMANO, TUWEKEZE NGUVU ZETU KUTENGENEZA MAENDELEO YA MTWARA, TUSIWAKUBALI WANAOTAKA KUTUTUMIA VIBAYA, TUAMKE SASA! :nod: