Waraka kwa Mbowe na Zitto

Vijana tunakiamini chama cha demokrasia na maendeleo,kwa namna kinavyosimama na kuibua na kuhoji mambo muhimu sana katika jamii yetu.

Hata wazazi wetu wanaamini chadema ndio kimbilio letu, licha ya wao kutuonya kuhusu kujitokeza mbele sana kwenye harakati za siasa, wakihofia usalama wetu.

Ila sasa viongozi wetu mnapoonekana kuvutana kwa ajiri ya tamaa za madaraka na ruzuku, ni aibu sana na ipo siku vijana wengi watafuatilia kiundani mambo ya chama chetu na ikiwa watabaini ukweli ulio tofauti na hisia zao, basi wataingia msituni kwani hawataamini mabadiliko kupitia chama cha siasa.

Ikiwa CHADEMA hakitabadilika kimtazamo, kisera na ki-organisation, hakuna mafanikio, nawaomba sana Mbowe, Slaa na Zitto kubalini kukaa na kushauriana.

I dnt understant wht the deal with uwenyekiti, tafadhali sana vijana vyuoni sasa wameanza kuhoji undani wa ugomvi wa Mbowe na Zitto kila wanapo onana.

Na ni kwa nini wanaonekana kutosikilizana hata kwa jambo la maana, tunajitahidi kujibu maswali magumu sana kutoka kwa vijana wasiojua CHADEMA, ila tunafanikiwa kuwatuliza na kuwapa moyo, ila wakati mwingine unajibu mtu na unaona haimwingii akilini.

Please msituumize kabisaaa.

ninakutunuku nishani maalum kwa kuwa memba wa kwanza mpya wa JF kuingia jamnvini na ku-post hoja yenye mantiki.
 
tatizo ni kwamba zitto anapenda kuingilia mambo ya mwenzake mbowe. mbowe akicheza dili zake yy anaingilia kwa mfano mbowe yy baada ya kuona magari yamekosa wateja anataka kuwauzia chama zitto anaingilia, mbowe akamwambia zitto na wewe kama unataka nawewe tuuzie hammer lako ili mwisho wa wiki slaa baada ya kuchoka na kazi za kukisafishia chama njia ya ikulu atumie, zitto akakataa sasa hapo ndio mwanzo wa ugonvi wao.
 
Hizo ni propaganda za CCM tu.Achana na magazeti uchwara yanayoripoti hizo habari za uongo..Chadema ni kanyaga twende.Mbowe angekuwa na ugomvi na Zitto angemteua kuwa Naibu Katibu mkuu? Au angemteua kuwa Naibu Kiongozi wa upinzani bungeni?? Je, angemteua kuwa waziri kivuli wa Fedha?? Achana na propaganda broo...Zitto Slaa na Mbowe kanyaga twende..Sasa hivi wote wako njiani kuelekea Mbeya kuongoza maandamano lkesho..

Samahani fmpiganaji sijakuelewa unataka kusema cdm ni ya mbowe na yeye ndio anaetoa vyeo au nimekuelewa vibaya unaposema

Mbowe angekuwa na ugomvi na Zitto angemteua kuwa Naibu Katibu mkuu? Au angemteua kuwa Naibu Kiongozi wa upinzani bungeni?? Je, angemteua kuwa waziri kivuli wa Fedha?? Achana na propaganda broo

Itakuwa umefenya jambo la mbolea ukiweka wazi kauli yako hii kwani mie nimeelewa kuwa cdm ni mali ya Mbowe na si ya wananchi na wajumbe wengine na kwa kuenda mbali ni kuwa kama Mbowe ana bifu na mtu basi huyo mtu hawezi kupewa vyeo ndani ya chama.
 
tatizo ni kwamba zitto anapenda kuingilia mambo ya mwenzake mbowe. mbowe akicheza dili zake yy anaingilia kwa mfano mbowe yy baada ya kuona magari yamekosa wateja anataka kuwauzia chama zitto anaingilia, mbowe akamwambia zitto na wewe kama unataka nawewe tuuzie hammer lako ili mwisho wa wiki slaa baada ya kuchoka na kazi za kukisafishia chama njia ya ikulu atumie, zitto akakataa sasa hapo ndio mwanzo wa ugonvi wao.

Hii imekaa kitaarabu zaidi!!!
 
Ulishawahi kumface mmoja wao akakuambia hawaelewani??? Kama wanapishana katika hoja na mwisho wa siku mambo yanakaa sawa hiyo ndio demokrasia.. Ama unataka nidhamu za woga kama huko CCM. CCM ukipinga/kupishana na wenzio unatafutiwa sababu unaondolewa ama vyovyote vile. HUKO NI NDIO MZEE ILI MRADI KILA MTU AJIPATIE PA KUIBA!!! Yaani unaonekana unawazibia watu riziki!!!!!!!!!!!!!! Si unamwona Mh Sitta...... kapishana na wenzie wakamwondoa kugombea uspika!!!!! ... Waache wapishane ili mwisho wa siku mambo yawe sawa... OK? Nidhamu ya woga inabomoa haijengi.:israel::israel::israel:
 
I used to enjoy jf's great thinkers' ideas and opinions. Great thinkers always brought new and nourishing views and ideas. Alas! things have changed abruptly things have turned upsidedown, people now are bussy with speculation and biased arguments. They are vomiting insults as nobody's business! respect to each other has vanished to thin air. People no longer respect others' views, there is frequent war of words which does not bring or bear any fruits to the concerned sides. I wish Jf goes back to those old days when great thinkers brought great ideas.
 
Vijana wa ccm wanajulikana mapema humu ndani kutokana na uwezo wao mdogo wa kujenga hoja mimi nakwambia tunatumia kauli hii:Its your choice either to join us or to be against us' anguko kuu la chama tawala Tanzania ni 2015 shime wananchi njoni tulikate kichwa joka hili linalomeza maendeleo yetu
Nachukia sana watu wasiopenda kukosolewa hata kama ukweli unaonekana dhahiri.
 
jamani mm nimeweka post yenye malengo mazuri na chama.
nyie mnaoanza kuwatupia matusi na kejeli ni ukosefu wa upeo na ushabiki.
mm nimeandika kitu ninachokijua,sasa nyie mnaodhani mnajua sana,endeleeni kuwapotosha.
ila najua wataisoma na wataielewa.

wewe ben ni mgombea uwenyekiti ee sio....haya kaa chonjo na utetezi wako wa upofu huo, na heche huyo ajaaaa.
 
Ni kweli mkuu, hawa watu wawili wanatuchanganya sana. Endapo wakiendelea tutawafukuza wote wawili, ili wakatafute vyama vya kurumbania sio chadema. Mbowe na Zitto tutawafukuza chamani, uwezo huo tunao.

Wewe humjui Mbowe unaropoka tu. Nakuhakikishia kuwa munaweza kiumfukuza Zitto pekee lakini hamna mwenye ubavu wa kumfukuzq Mbowe hata sijui Kamati Kuu au mkutano mkuu
 
kama mbowe na zito wako pamoja kazini, ni furaha sana,ila wanatkiwa wakibadilishe chama kimtazamo kisera na organisation.

na ww mpiganaji unachekesha sana,ww ndiye unajiita usalama wa chama.....kazi ipo.
 
wewe ben ni mgombea uwenyekiti ee sio....haya kaa chonjo na utetezi wako wa upofu huo, na heche huyo ajaaaa.

Ha ha haa,hebu rudia tena.Jf ni kwa ajili ya great thinkers,nasikitika najibu post ambayo ni too low kama hii.Thanks though
Kwanza ningeshangaa sana kama ungenielewa nilichoandika na nilichokuwa namaanisha.I pity you buddy!
Mimi huwa nina misimamo,huwa ninaamini katika institutional and individual commitment to the Grand Vision and Mission basi.
You have got Options,choose between Darkness and Light.Njoo gombea pia ili uongeze nguvu,lol

2011/15-Movement For Radical Change,let us dare
 
Hii inadhihirisha kwamba hakuna upinzani wa kweli bali kuna wachumia tumbo waliojaa uchu wa madaraka!
 
Kutofautiana mawazo katika vikao ni dalili za afya katika chama, sio mambo ya zidumu hapa. Tunachemshana halafu tunafikia makubaliano. we baki na zidumu za M/Kiti, CDM hakuna zidumu.:israel:
 
migogoro ni kitu cha kawaida katika maisha kwa hiyo sishangai.
 
Hizo ni propaganda za CCM tu.Achana na magazeti uchwara yanayoripoti hizo habari za uongo..Chadema ni kanyaga twende.Mbowe angekuwa na ugomvi na Zitto angemteua kuwa Naibu Katibu mkuu? Au angemteua kuwa Naibu Kiongozi wa upinzani bungeni?? Je, angemteua kuwa waziri kivuli wa Fedha?? Achana na propaganda broo...Zitto Slaa na Mbowe kanyaga twende..Sasa hivi wote wako njiani kuelekea Mbeya kuongoza maandamano lkesho..

Changia hoja,mwenzio kaja na hoja ambayo twaisikia au ata kuona!kuteuana sio sababau ni uwezo wa uyo particicular person!ugomvi upo twajua!nenda kwenye point!
 
Ni kweli mkuu, hawa watu wawili wanatuchanganya sana. Endapo wakiendelea tutawafukuza wote wawili, ili wakatafute vyama vya kurumbania sio chadema. Mbowe na Zitto tutawafukuza chamani, uwezo huo tunao.

hamna ubavu wa kumfukuza Mbowe nyie, mnataka chama kife?
 
Back
Top Bottom