Mhimili wa uovu!
Hata kama haumo ktk mhimili huo lkn u mtetezi wa Mhimili huo mwovu. Anyway, matunda ya hao unaowatetea tumeanza kuyaonja; kwenye matokeo ya kidato cha nne na mauaji yanayohusishwa na dini.
matunda kivipi au hukuelewa topic
Mhimili wa uovu!
Hata kama haumo ktk mhimili huo lkn u mtetezi wa Mhimili huo mwovu. Anyway, matunda ya hao unaowatetea tumeanza kuyaonja; kwenye matokeo ya kidato cha nne na mauaji yanayohusishwa na dini.
hakika kijana hata kama una msimamo huo ulionao lakini kumbuka ungeweza kujishusha chini na kukubali kuomba msamaha ili uweze kupata elimu amabayo unasema ni haki yako,ukiwa na msimamo huo utaendelea kulilia humu mitandaoni bila tija yoyote,wale uliowapigania sasa wengine wameshamaliza na wapo makazini we bado una hangaika tu.
.kwangu mimi hao hata kama ni hofu,shaka na woga ndio vilivyowafanya waombe msamaha kama unavyosema wewe:naona ni watu waliochukua maamuzi ya busara ili tu waweze kupata kile wanachokihitaji kwani kama ni mapambano wanaweza kuyafanya hata baada ya kupata kile wanachokihitaji.
ALPHONCE LUSAKO alias EMEKHA IKHE. ?
NBOLE KWA YALIYOKUKUTA ILA USHAURI WANGU NI KWAMBA BORA UFANYE YALE WANAYOYATAKA KWA MUDA HUU ILI UWEZE KUTIMILIZA NDOTO YAKO YA KUPATA ELIMU VINGINEVYO NDUGU YANGU MALALAMIKO YAKO HAYATAISHA MAJUKWAANI.NI BORA UJIFANYE MJINGA ILI UPATE UNACHOKITAKA.FIKIRIA WALE ULIOKUWA UKIWAPIGINIA HIYO HAKI WAKIO WAPI?JE HATA SIKU MOJA WAMEAHI KUKUMBUKA?YOU STAND ALONE
Sifa za muda mfupi zimekuharibia maisha umebaki na maneno ya kujifariji...!!
Prof. Mkandara Mungu wetu yupo, Jack Zoka Mungu wetu yupo watawala wenye nia mbaya na Tz Mungu yupo hakika Mungu wangu yuko hai ukweli utashinda kwa kishindo machozi yanatoka lakin ipo siku yatakwisha naamini hvyo nitaendelea kuomba kwa Mungu wangu.
acha kumhadaa huyo kijana,fursa yake ya kupata elimu ya juu ni sasa na siyo 2016,mambo uwenda yakibadilika,kufukuzwa chuo siyo mwisho wa yeye kupata elimu kwa sasa,kuna mambo mengi ya kumsaidia pasipo kuingiza siasa,tuanzie hapo sasa.
If you want to walk a long distance and faster than any one then walk alone. Si lazima usome UDSM.Du bwana mkubwa pole sana ila haki hushinda dhuluma. Usiogope, wala usihuzunike kwani ktk harakati hizi hutakiwi kurudi nyuma, utakuwa jiwe la chumvi.
We are going to have freedom soon.
Sema sasa wewe mambo gani ya kumsaidi.