Wapwa na mabinamu zangu nisaidieni kufanya uchaguzi

Umri ushaenda huu. Vitu vikishuka ni preshapresha.

Mwambie wengine vita ikushuka huwa wanalikia kwa sauti kubwaa muda wakutoa nje unakuwa hamna na ndio maana kuna mimba nyingi hawapendi huwa wanalia na vita ikiisha anaanza kupiga push ups kwa ngumi ili damu ichangamke kwa wale wanaopiga 4/5 da sijui atamwaga nje mara ngapi>...
 
Homeboy kumbe huwa unajali eeehh.....mwambie na dogo Fidel....mzee wa K-Y.....sasa siju hiyo pronciple kwake itaapply vipi......!

HAHAHAHAHA!umenifurahisha sana homeboy!

nikudokeze tu kwamba watumiaji wengi wa K-Y hawatumii condoms kujigi-jigi!(inawalainiashia njia wenyewe wanapita tu)

halafu watumiaji wa k-y,ni watu wanaopenda sana kuwaingilia wanawake(hasa mabinti wadogo) kinyume na maumbile.

Watumiaji wa k-y ndio wanaoongoza kwa kulawiti watoto wa kiume
 
kaka chris na wifi hongereni sanakwa uamuzi huo, ila napenda ufahamu kwamba condom zetu hizi huwa zinapasuka!! kwa hiyo unapofanya utafiti tafuta jina la ile imara kuliko zote,
 
HAHAHAHAHA!umenifurahisha sana homeboy!

nikudokeze tu kwamba watumiaji wengi wa K-Y hawatumii condoms kujigi-jigi!(inawalainiashia njia wenyewe wanapita tu)

halafu watumiaji wa k-y,ni watu wanaopenda sana kuwaingilia wanawake(hasa mabinti wadogo) kinyume na maumbile.

Watumiaji wa k-y ndio wanaoongoza kwa kulawiti watoto wa kiume

umejuaje hayo yote??????? mbona unatuacha njia panda, kuna msemo mmoja wa kiswahili unasema "msifia mvua imemnyea".............
 
nikudokeze tu kwamba watumiaji wengi wa K-Y hawatumii condoms kujigi-jigi!(inawalainiashia njia wenyewe wanapita tu)
Hii ni fact!

halafu watumiaji wa k-y,ni watu wanaopenda sana kuwaingilia wanawake(hasa mabinti wadogo) kinyume na maumbile.
This is Fact

Watumiaji wa k-y ndio wanaoongoza kwa kulawiti watoto wa kiume
Hapa umechemka yaani umeacha ukweli, hawapendi lawiti watoto wa kiume!
 
Back
Top Bottom