Wapwa na mabinamu zangu nisaidieni kufanya uchaguzi

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,358
Mimi na huyu mlala pembeni yangu kihalali, tukiwa na akili timamu na bila ya kulazimishwa na mtu yeyote tukiwa na nia moja na bila ya kushawishiwa na mtu yeyote tumeamua kutumia kondom kama njia ya kufanya uzazi wa mpango. Tuko katika mtihani mzito wa kuamua aina ya kondom itakayotufaa katika zoezi hili. Hatujawahi kutumia kondom huko nyuma kwa pamoja (mi nlishawahi kutumia kwenye mechi za mchangani, sijui kama wife alishawahi kutumia. Naogopa kumuuliza nisije vunja ndoa yangu kwa wivu)

Nisaidieni ushauri hivi kondom ipi bomba kwa wanandoa. Ya kiume au ya kike? (Wife kama uko JF nisamehe na nakuomba usichangie lolote kwenye hii mada)
 
Mpwa kondomu ya kiume ndio tumieni, kuna kondom inaitwa ultra thin, kwa kweli sijapata kuona kondom nzuri kama hiyo. Ni nyembamba mno kiasi unaweza kudhani imepasuka wakati unakata mbuga ila ukimaliza ukiangalia kitu bado inasoma. Kaka usisahau jina ni Ultra thin sijaona nembo ya TBS lakini nauhakika hata ikiwa mbovu vipi kwa uzazi wa mpango iatakufaa tu.
 
Thats ma boy right there!
 
Mpwa ahsante kwa ushauri wako. Uzoefu kitu muhimu sana. hahahaha lol ultra thin. ultra thin. ultra thin. Nimeshaikariri hiyo.
 
Mpwa na ndg yangu chrispin nasikitika sana hutopata mchango wangu kwenye hili swala mimi ni mweupe kbs mwanangu......situmii kbs ila naona tangazo la SALAMA CONDOM kuna jamaa anavaa kikomedi anaingiza kichwa kwenye mdomo wa mamba
 
Hahaha mpwa! Najiuliza ipi hatari zaidi kati ya red na blue.
 
lakini binamu kwanini basi msitumie njia nyinginezo ili ufaidi utamu vizuri?
 
Si nimeshakwambia binamu. Ni uamuzi wetu (siyo wangu) bila kulazimishwa na mtu yeyote. Hahahaha! Labda bibie anahisi nshagonga sehemsehem.
 
duh, mi kwangu itakua ngumu sana ku2mia hiyo kitu tena kwa mai waifu wangu, pole sana binamu. ila nadhani generally ndoxi ya kiume ndio mwake, nasikia za kike zinapiga makelele balaa kiasi ambacho stimu yote inapotea.
 
Hahaha! Binamu hiyo kali. Au ndio maana leo mashosti wamegoma kuchangia hii mada? Hahahah
 
Mpwa kondomu ya kiume ndio tumieni, kuna kondom inaitwa ultra thin, kwa kweli sijapata kuona kondom nzuri kama hiyo. Ni nyembamba mno kiasi unaweza kudhani imepasuka wakati unakata mbuga ila ukimaliza ukiangalia kitu bado inasoma. Kaka usisahau jina ni Ultra thin sijaona nembo ya TBS lakini nauhakika hata ikiwa mbovu vipi kwa uzazi wa mpango iatakufaa tu.

tatizo ni pale itakapobasti na hatojua kama imefanya ivo. ajaribu moja,mbili, tatu then aseto mwenyewe. sema mwana asikae sana kwenye zile za sh.100 unapewa tisa. sio.
 
Back
Top Bottom