Wapwa na mabinamu zangu nisaidieni kufanya uchaguzi

Mpwa kondomu ya kiume ndio tumieni, kuna kondom inaitwa ultra thin, kwa kweli sijapata kuona kondom nzuri kama hiyo. Ni nyembamba mno kiasi unaweza kudhani imepasuka wakati unakata mbuga ila ukimaliza ukiangalia kitu bado inasoma. Kaka usisahau jina ni Ultra thin sijaona nembo ya TBS lakini nauhakika hata ikiwa mbovu vipi kwa uzazi wa mpango iatakufaa tu.

Experienced. . . . . .. . . !
 
Mimi na huyu mlala pembeni yangu kihalali, tukiwa na akili timamu na bila ya kulazimishwa na mtu yeyote tukiwa na nia moja na bila ya kushawishiwa na mtu yeyote tumeamua kutumia kondom kama njia ya kufanya uzazi wa mpango. Tuko katika mtihani mzito wa kuamua aina ya kondom itakayotufaa katika zoezi hili. Hatujawahi kutumia kondom huko nyuma kwa pamoja (mi nlishawahi kutumia kwenye mechi za mchangani, sijui kama wife alishawahi kutumia. Naogopa kumuuliza nisije vunja ndoa yangu kwa wivu)

Nisaidieni ushauri hivi kondom ipi bomba kwa wanandoa. Ya kiume au ya kike? (Wife kama uko JF nisamehe na nakuomba usichangie lolote kwenye hii mada)


the good thing ni kwamba ni mlala pembeni yako kihalali
 
Back
Top Bottom