Wapwa na mabinamu zangu nisaidieni kufanya uchaguzi

hivi kuchomoa na kuvaa condomu ipi haipotezi ladha zaidi kwa mwanamme?

manake hizi excuses kwa kweli tumeshazichosha
 
shemeji uamuzi mzuri huo!mimi dada ako bila zana sijamlala.imagine ni mtu ninayeishi nae.na aidia ni kwamba hatujaplan mtoto
 
shemeji uamuzi mzuri huo!mimi dada ako bila zana sijamlala.imagine ni mtu ninayeishi nae.na aidia ni kwamba hatujaplan mtoto

Hahahaha! Shemeji twende kwenye point sasa. Ya kiume au ya kike?
 
mimi dada ako bila zana sijamlala.imagine ni mtu ninayeishi nae.na aidia ni kwamba hatujaplan mtoto

Mimi sababu zangu za kuvaa kondomu ni hygen, kwa jinsi nilivyo bishoo huwa naona soo sana kuchafua mshedede na maji ya mule ndani ndio maana naweka water proof.
 
Mimi sababu zangu za kuvaa kondomu ni hygen, kwa jinsi nilivyo bishoo huwa naona soo sana kuchafua mshedede na maji ya mule ndani ndio maana naweka water proof.

Hata kwenye kula tiGo? Basi unakosa raha za duniani....!
 
Hahahaha! Shemeji twende kwenye point sasa. Ya kiume au ya kike?
ya kiume!
kwa kutumia uzoefu wa mtu ninayeshea nae bed,(napenda nisiulizwe swali katika hili)NAKUSHAURI SHEMEJI YANGU TUMIA RAFU RAIDA,period.ukitumia hizo zinazogawiwa bure au za mia tano ITAKULA KWAKO!

kwa hiyo mimi bila kuwa na buku jero ya rafu raida DADA AKO HAJAVUA!hehehehe
 
kwanza nimekuuliza swali hinijibu kule kweye Topic ya mama Kikwete kugawa jezi haya nenda fasta .....

Nawahi tena sijavaa hata kufuri sababu ya uharaka! Halafu basi na wewe nishushie jibu kwa PM, la ombi langu hapo juu
 
ya kiume!
kwa kutumia uzoefu wa mtu ninayeshea nae bed,(napenda nisiulizwe swali katika hili)NAKUSHAURI SHEMEJI YANGU TUMIA RAFU RAIDA,period.ukitumia hizo zinazogawiwa bure au za mia tano ITAKULA KWAKO!

kwa hiyo mimi bila kuwa na buku jero ya rafu raida DADA AKO HAJAVUA!hehehehe

Hahahaha! dada yangu anaipata habari yake kisawasawa. Rough Rider si ndio zile zenye vipelepele? Lol!
 
Hahahaha! dada yangu anaipata habari yake kisawasawa. Rough Rider si ndio zile zenye vipelepele? Lol![/QUOTE]
prisaizili!huna hizo hujamvua kabisaaaaaaaaaaaaaa,na hamuwezi kuelewana.

huwezi amini shemeji,kwa sasa mechi za mchangani nimekuwa extra keafuli,na bila kuvaa zana sijapiga kicheche.
 
Back
Top Bottom