Wapop wameendelea kwa film zao jamani ehhhh

Wameendelea is a relative term.

Kwa mtaji wa kuiga Hollywood wana miaka zaidi ya 50 ku catch up kwani cinematography alone iko nyuma ya enzi za "Citizen Kane".

Hiyo acting ndiyo kabisaaa, worse than telenovelas.

Ni vile watu wamekubali kuwa na standards ndogo tu, halafu wanataka ku substitute good acting with eye candy.

The two are different.
 
Back
Top Bottom