iouiuoryuoAsante mleta mada ila mimi nimevumilia sana mpaka nimeimaliza.Haya ni mawazo yangu lakini umma mkubwa naamini utakuwa na mawazo kama haya,sasa basiKAMA KWELI VIONGOZI WA CHADEMA WANAPITA HUMU JUKWAANI BASI NAOMBA POST HII IFANYIWE KAZI.Kiukweli mkuu wa kaya ameongea mengi na wana CCM wala sio wazee tu,maana kulikuwa na kundi kubwa tu la vijana na watu wa umri wa kati,lakini hoja yangu hapa NAWAOMBA WATU MLIO KARIBU NA MWENYEKITI AU KATIBU AU NAIBU KATIBU JAPO BADO YUKO KWENYE MAPUMNZIKO AU HATA MWENYE MAWASILIANO NA TUNDU AU MNYIKA muwaeleza ya kwamba tunataka hotuba hiyo ijibiwe haraka na kama tatizo ni air time kwenye TV naamini wapenda mabadiliko na wanachama wa Chadema tutachanga ili hotuba hiyo ijibiwe,tena ukumbi ule ule na mada zile zile ila chaedma tuite wazee wote bila kubagua chama.Nimesikitika sana JK kuzungumza na wana CCM kwa mbwembwe za Taarabu kama tu kina-Lusinde kule Dodoma.kwa muda uuu bado ninahaisra nitarudi baadae maana mwwisho wa siku nitatukana,cha mno nawasihi viongozi wetu wa chadema wajue ya kwamba tuko nyuma yao .
Msipende kupotosha, JK kaweka mambo hadharani, CDM hamuwezi kutudanganya, sie tunajiandaa kushiriki kutoa maoni mwakani
..kila hotuba ya Raisi kwa taifa inapaswa kujibiwa na vyama vya upinzani.
..kwa uzoefu nilio nao kila Raisi anapohutubia basi kila chama cha upinzani huteua msemaji wake kujibu hotuba hiyo.
..naona hapa kwetu tumechelewa, but we need need to start now.
..watafute utaratibu mzuri zaidi wa kufikisha ujumbe wao.
..wapinzani wajitofautishe na CCM kwa kuhutubia na kuruhusu maswali ya papo kwa papo. Ughaibuni wanaita town hall meeting.
..hiyo itaonyesha kwamba wanajiamini na hawapo kupiga propaganda na kueneza majungu.
Nyie si huwa mnampinga J.K kwa sababu ya dini yake?.
Hapana Chadema wasijibu kwani raisi alikuwa "anawapa michapo ya safari zake" hao wazee wa CCM wa Dar Es Salaam,angekuwa anahutubia taifa hapo Chadema wangeweza kujibu.Wazo zuri mkuu,chadema isifanye makosa kutoijibu hotuba hii ya huyu Vasco Dagama,wafanyie hapo hapo kwenye ukumbi wamwaibishe muoa wanawake lukuki.
..kila hotuba ya Raisi kwa taifa inapaswa kujibiwa na vyama vya upinzani.
..kwa uzoefu nilio nao kila Raisi anapohutubia basi kila chama cha upinzani huteua msemaji wake kujibu hotuba hiyo.
..naona hapa kwetu tumechelewa, but we need need to start now.
Heri umaskini wa mali kuliko wa akiliMsipende kupotosha, JK kaweka mambo hadharani, CDM hamuwezi kutudanganya, sie tunajiandaa kushiriki kutoa maoni mwakani