Wapinzani jengeni utaratibu wa kujibu hotuba za rais!

Rumishaeli

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
227
72
Kwa jinsi nilivyomsikiliza JK akihutubia akasema anaongelea mambo 2 (Uchumi na upatikanaji wa katiba mpya) Nimeamua kuacha kusikiliza kwani inaudhi sana. Naomba kuwakilisha kwa mwenyekiti wa Chadema na wanachadema wote kupitia JF nae aitishe kikao cha wazee wa chadema dar awahutubie kuhusiana na mambo hayohayo 2 halafu sisi wananchi tupime nani anaongea ukweli.
Inaudhi unaongelea uchumi unaanza kusema uchumi wetu unaasiriwa na uchumi wa mataifa ya magharibi. Je Rwanda wanafanyaje wakati uchumi unakua kwa kasi sana wakati hawana Bandari,Madini na tourism kubwa ka yetu, ardhi ni ndogo sana.
Anaongelea upatikanaji wa katiba mpya anaanza kuto histotiria wakati mambo yamebadilika na dunia imekua kijiji kila mtu anajua haki yake aache kutufanya mazuzu. Hapa hakuna nani alifanya nini wakati wa nyuma fanya kwa mazingira yaliopo na JK unatakiwa kufikiri.
 
DUUU! sasa km hukusikiliza hotuba yote ya JK utakuwa na upeo gani wa kulinganisha na hotuba nyengine? Blind fanatism may drive you one to insanity
 
Wazo zuri mkuu,chadema isifanye makosa kutoijibu hotuba hii ya huyu Vasco Dagama,wafanyie hapo hapo kwenye ukumbi wamwaibishe muoa wanawake lukuki.
 
..kila hotuba ya Raisi kwa taifa inapaswa kujibiwa na vyama vya upinzani.

..kwa uzoefu nilio nao kila Raisi anapohutubia basi kila chama cha upinzani huteua msemaji wake kujibu hotuba hiyo.

..naona hapa kwetu tumechelewa, but we need need to start now.
 
Kwa jinsi nilivyomsikiliza JK akihutubia akasema anaongelea mambo 2 (Uchumi na upatikanaji wa katiba mpya) Nimeamua kuacha kusikiliza kwani inaudhi sana. Naomba kuwakilisha kwa mwenyekiti wa Chadema na wanachadema wote kupitia JF nae aitishe kikao cha wazee wa chadema dar awahutubie kuhusiana na mambo hayohayo 2 halafu sisi wananchi tupime nani anaongea ukweli.
Inaudhi unaongelea uchumi unaanza kusema uchumi wetu unaasiriwa na uchumi wa mataifa ya magharibi. Je Rwanda wanafanyaje wakati uchumi unakua kwa kasi sana wakati hawana Bandari,Madini na tourism kubwa ka yetu, ardhi ni ndogo sana.
Anaongelea upatikanaji wa katiba mpya anaanza kuto histotiria wakati mambo yamebadilika na dunia imekua kijiji kila mtu anajua haki yake aache kutufanya mazuzu. Hapa hakuna nani alifanya nini wakati wa nyuma fanya kwa mazingira yaliopo na JK unatakiwa kufikiri.

chadema inabidi watoe hotuba mbadala kesho jumamosi kabla ya hotuba hii haijapoa na tena wawahalike wazee wote wakiwamo wa CCM na vyama vingine ili kumfundisha somo JK ajue kuwa demokrasia sio tu kuongea na watu unaokubaliana nao bali hata wale usiokubaliana nao.

DEMOKRASIA SI KUWAHALIKA WALE UNAOKUBALIANA NAO TU BALI HATA WALE USIOKUBALIANA NAO.
 
Kwa jinsi nilivyomsikiliza JK akihutubia akasema anaongelea mambo 2 (Uchumi na upatikanaji wa katiba mpya) Nimeamua kuacha kusikiliza kwani inaudhi sana. Naomba kuwakilisha kwa mwenyekiti wa Chadema na wanachadema wote kupitia JF nae aitishe kikao cha wazee wa chadema dar awahutubie kuhusiana na mambo hayohayo 2 halafu sisi wananchi tupime nani anaongea ukweli.
Inaudhi unaongelea uchumi unaanza kusema uchumi wetu unaasiriwa na uchumi wa mataifa ya magharibi. Je Rwanda wanafanyaje wakati uchumi unakua kwa kasi sana wakati hawana Bandari,Madini na tourism kubwa ka yetu, ardhi ni ndogo sana.
Anaongelea upatikanaji wa katiba mpya anaanza kuto histotiria wakati mambo yamebadilika na dunia imekua kijiji kila mtu anajua haki yake aache kutufanya mazuzu. Hapa hakuna nani alifanya nini wakati wa nyuma fanya kwa mazingira yaliopo na JK unatakiwa kufikiri.
uwezo wake wa kufikiria ndio umeishia hapo mkuu...
 
Msipende kupotosha, JK kaweka mambo hadharani, CDM hamuwezi kutudanganya, sie tunajiandaa kushiriki kutoa maoni mwakani
 
Na Chadema watuambie itawagharimu kiasi gani kupata coverage ya TV live ili hata kuchangia gharama ikibidi tuchangie
 
Asante mleta mada ila mimi nimevumilia sana mpaka nimeimaliza.Haya ni mawazo yangu lakini umma mkubwa naamini utakuwa na mawazo kama haya,sasa basiKAMA KWELI VIONGOZI WA CHADEMA WANAPITA HUMU JUKWAANI BASI NAOMBA POST HII IFANYIWE KAZI.Kiukweli mkuu wa kaya ameongea mengi na wana CCM wala sio wazee tu,maana kulikuwa na kundi kubwa tu la vijana na watu wa umri wa kati,lakini hoja yangu hapa NAWAOMBA WATU MLIO KARIBU NA MWENYEKITI AU KATIBU AU NAIBU KATIBU JAPO BADO YUKO KWENYE MAPUMNZIKO AU HATA MWENYE MAWASILIANO NA TUNDU AU MNYIKA muwaeleza ya kwamba tunataka hotuba hiyo ijibiwe haraka na kama tatizo ni air time kwenye TV naamini wapenda mabadiliko na wanachama wa Chadema tutachanga ili hotuba hiyo ijibiwe,tena ukumbi ule ule na mada zile zile ila chaedma tuite wazee wote bila kubagua chama.Nimesikitika sana JK kuzungumza na wana CCM kwa mbwembwe za Taarabu kama tu kina-Lusinde kule Dodoma.kwa muda huu bado ninahaisra nitarudi baadae maana mwwisho wa siku nitatukana,cha mno nawasihi viongozi wetu wa chadema wajue ya kwamba tuko nyuma yao .
 
..watafute utaratibu mzuri zaidi wa kufikisha ujumbe wao.

..wapinzani wajitofautishe na CCM kwa kuhutubia na kuruhusu maswali ya papo kwa papo. Ughaibuni wanaita town hall meeting.

..hiyo itaonyesha kwamba wanajiamini na hawapo kupiga propaganda na kueneza majungu.
 
Leo kaongea na wazee wa chama kama m/kiti wa chama hakuna haja ya kumjibu.
 
Kwa jinsi nilivyomsikiliza JK akihutubia akasema anaongelea mambo 2 (Uchumi na upatikanaji wa katiba mpya) Nimeamua kuacha kusikiliza kwani inaudhi sana. Naomba kuwakilisha kwa mwenyekiti wa Chadema na wanachadema wote kupitia JF nae aitishe kikao cha wazee wa chadema dar awahutubie kuhusiana na mambo hayohayo 2 halafu sisi wananchi tupime nani anaongea ukweli.
Inaudhi unaongelea uchumi unaanza kusema uchumi wetu unaasiriwa na uchumi wa mataifa ya magharibi. Je Rwanda wanafanyaje wakati uchumi unakua kwa kasi sana wakati hawana Bandari,Madini na tourism kubwa ka yetu, ardhi ni ndogo sana.
Anaongelea upatikanaji wa katiba mpya anaanza kuto histotiria wakati mambo yamebadilika na dunia imekua kijiji kila mtu anajua haki yake aacytrtutyrrruuhe kutufanya mazuzu. Hapoa hakuna nani alifanya nini waukati wa nyuma fanya kwa mazingira yaliopwo na JK unatakiwa kufikiri.

mkuu yani hotuba yake ilipofika katikati nimetapika sijawahit ona. huyu zuzu kanichefua leo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom