CCM imechanganyikiwa huku Katiba Mpya huku Mkataba wa Bandari huku Ngorongoro

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
May 28, 2023
930
1,299
Rais wa Awamu ya 4 na Mwenyekiti wa CCM Alianzisha Mchakato wa kuwapatia WATANZANIA KATIBA MPYA na hoja KUBWA ikiwa ni Kutokana na Mambo mengi Yamebadilika yanahitaji pia Mabadiliko ya Kikatiba.

TUME ya JAJI WARIOBA iliundwa na kutoa Elimu na kukuaandaa Mchakato kutoa Elimu kukusanya MAONI na MAPENDEKEZO na kupatikana kwa RASIMU ya KATIBA iliyopelekwa Kwenye BUNGE la KATIBA.

BUNGE la KATIBA likaundwa na Bahati nzuri RAIS SAMIA alikuwa MAKAMU MWENYEKITI wa BUNGE la KATIBA hatukusikia kuambiwa Kwanza ELIMU ya KATIBA ITOLEWE bali Vikao Viliendelea mpaka BUNGE lilipofika KUSHINDWA kutupatia KATIBA MPYA
MAGUFULI alipoingia licha ya CCM kuwa na Ajenda ya KATIBA MPYA ktk ILANI ya CCM bado ALIKATAA Kuendeleza MCHAKATO wa KATIBA MPYA ulipoishia kwa Madai kuwa Sio KIPAU MBELE wakati CCM ndio ilianzisha MCHAKATO chini ya MWENYEKITI KIKWETE.

RAIS SAMIA alipoingia nae hukutaka Kuendeleza lipoishia BUNGE la KATIBA BUNGE ambalo alikuwa MAKAMU MWENYEKITI badala yake Aliturudisha NYUMA ZAIDI kwa Kuunda KIKOSI KAZI ETI KIKUSANYE MAONI tena sio ya WANANCHI wote bali ya Baadhi kazi ambayo TUME ya WARIOBA ILIIFANYA kwa KUGAWA Nakala za KATIBA NCHI nzima na VIPEPERUSHI.

Kujichanganya kwa CCM leo wanasema ETI Wananchi Wapate ELIMU wakati WANAJUA kiuhakika kuwa TUME ya WARIOBA iliifanya KAZI hiyo.

Wananchi tunataka KATIBA MPYA sasa Kwani ELIMU TUNAYO
CCM iache KUCHELEWESHA Upatikanaji wa KATIBA MPYA.

1658249980905.jpg
 
Wananchi tunataka KATIBA MPYA sasa Kwani ELIMU TUNAYO
CCM iache KUCHELEWESHA Upatikanaji wa KATIBA MPYA.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwandishi nje ya nchi amehoji kuhusu Katiba

Kulingana na kauli zake kuhusu katiba, nadhani yeye ndo hajui katiba ni kitu gani na hivyo anadhani hata wengine nao hawajui katiba ni nini!

Kenya waliandika katiba mpya mwaka 2010 [kama sijakosea].

Afrika Kusini waliandika katiba mpya baada ya kuachana na sheria za ubaguzi wa rangi kwenye miaka ya 90.

Marekani waliandika katiba yao miaka zaidi ya 200 iliyopita na ambayo wameifanyia marekebisho mara 27.

Sehemu nyingi tu duniani zimeandika katiba mpya na zingine kuzifanyia marekebisho katiba zilizopo.

Ni wapi ambako waliielimisha jamii kwanza kabla ya kuandika mpya?

Afrika Kusini walifanya elimu gani kwa wananchi kabla ya kuandika katiba yao mpya?

Waliwakalisha watu madarasani na kuanza kuwafundisha somo la katiba?

Katiba iliyopo sasa hivi wakati inaandikwa elimu ya katiba ilitolewa na nani? Lini? Wapi?

Naona sasa suala la kwamba wananchi hawana elimu ya katiba ndo litakuwa ‘narrative’ ya CCM kukwepa kujadili hoja za katiba mpya.

Kwa nilichokisikia jana, ni dhahiri kwamba anayehitaji elimu ya kujua katiba ni nani, ni Rais Samia.
 
Kwa nilichokisikia jana, ni dhahiri kwamba anayehitaji elimu ya kujua katiba ni nani, ni Rais Samia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Askofu Mwamakula amuombea Mungu Raisi Samia ili awe na moyo wa huruma na atupatie KATIBA MPYA.
 
Rais wa Awamu ya 4 na Mwenyekiti wa CCM Alianzisha Mchakato wa kuwapatia WATANZANIA KATIBA MPYA na hoja KUBWA ikiwa ni Kutokana na Mambo mengi Yamebadilika yanahitaji pia Mabadiliko ya Kikatiba.

TUME ya JAJI WARIOBA iliundwa na kutoa Elimu na kukuaandaa Mchakato kutoa Elimu kukusanya MAONI na MAPENDEKEZO na kupatikana kwa RASIMU ya KATIBA iliyopelekwa Kwenye BUNGE la KATIBA.

BUNGE la KATIBA likaundwa na Bahati nzuri RAIS SAMIA alikuwa MAKAMU MWENYEKITI wa BUNGE la KATIBA hatukusikia kuambiwa Kwanza ELIMU ya KATIBA ITOLEWE bali Vikao Viliendelea mpaka BUNGE lilipofika KUSHINDWA kutupatia KATIBA MPYA
MAGUFULI alipoingia licha ya CCM kuwa na Ajenda ya KATIBA MPYA ktk ILANI ya CCM bado ALIKATAA Kuendeleza MCHAKATO wa KATIBA MPYA ulipoishia kwa Madai kuwa Sio KIPAU MBELE wakati CCM ndio ilianzisha MCHAKATO chini ya MWENYEKITI KIKWETE.

RAIS SAMIA alipoingia nae hukutaka Kuendeleza lipoishia BUNGE la KATIBA BUNGE ambalo alikuwa MAKAMU MWENYEKITI badala yake Aliturudisha NYUMA ZAIDI kwa Kuunda KIKOSI KAZI ETI KIKUSANYE MAONI tena sio ya WANANCHI wote bali ya Baadhi kazi ambayo TUME ya WARIOBA ILIIFANYA kwa KUGAWA Nakala za KATIBA NCHI nzima na VIPEPERUSHI.

Kujichanganya kwa CCM leo wanasema ETI Wananchi Wapate ELIMU wakati WANAJUA kiuhakika kuwa TUME ya WARIOBA iliifanya KAZI hiyo.

Wananchi tunataka KATIBA MPYA sasa Kwani ELIMU TUNAYO
CCM iache KUCHELEWESHA Upatikanaji wa KATIBA MPYA.

View attachment 2747887

Wako kwenye panic mode wenzio unajua!!!!
 
sio wewe ndio umechanganyikiwa upambanie lipi Kati ya Katiba mpya, Bandari au ngorongoro?
 
Huku kadi za chama chetu zinarudishwa
 
Back
Top Bottom