Kisemwacho kipo au kitakuja,kuna watu waliapa Spika Sitta hatarudi na ikawa,kuna wanaoshinikiza uongozi inaweza kuwa.Inasemekana kuna wenye CCM na kweli maamuzi yao ndio yanapitishwa hata M/kiti wa CCM hana nguvu tena.Sasa jamani mafisadi wakichukua nchi hii tutapona?Chonde chonde msitusaliti watanzania tutaangamizwa na mafisadi.Wana JF niwekeni sawa kwa hili kwani nipo njia panda.