Wapi naweza kupata simu hii (Nokia 1680c)?

EvilSpirit

JF-Expert Member
Jun 15, 2017
8,558
12,684
Kama heading inavyojitanabaisha ninatafuta simu hii inayoitwa Nokia 1680c ambayo ilitoka mwaka 2008.Niliwahi kutumia simu hii kuanzia 2009 mpaka 2013. Ilikuwa ni simu nzuri kimuonekano, kitendaji na kiumadhubuti.

Badala ya kuwa na simu ndogo zisizoeleweka kama tecno au itel nimeona ni bora niwe na simu ya kawaida lakini kutoka kwenye Brand za kibabe kama Nokia ikiwa inaisindikiza Smarphone.

nokia-1680-classic-00.jpg

nokia-1680-classic-01.jpg
 
Utanipa sh ngapi mkuu mwezi wa 7 mwishoni nije nayo unakuja kuiona na kunilipa changu ukiipenda
 
Umewahi kufanya naye biashara huyo bwana
Ni kweli kabisa Mwl.RCT nmefanya nae biashara na nikapata mzigo wangu Tena Niko nje ya dar bila kuonana nae Wala kuongea nae isipokuwa baada ya kunipa namba ya malipo akafanya manunuzi baadae akanijulisha kupitia whatsapp kuwa mzigo umefika
Kwangu ni mtu mmojawapo hapa jamii forum ambaye unafanya nae biashara bila shida
 
Hata mimi nimefanya nae ila niliagiza kitu kidogo yaani Kifaa cha kuwasiliana na Netflix na Channel kibao za nje nimesahau jina ila kilitoka US na nilikipata baada ya wiki mbili na alinipa access ya ku track mzigo mpaka unafika. Na nilipochelewa kwenda kuchukua walinituimia mesg.

Sijui kwasasa kama bado yupo makini au la not sure. Sijawai kumwona.
 
@Mwl.RCT yupo na anaendelea na biashara kama kawaida
 
Hata mimi nimefanya nae ila niliagiza kitu kidogo yaani Kifaa cha kuwasiliana na Netflix na Channel kibao za nje nimesahau jina ila kilitoka US na nilikipata baada ya wiki mbili na alinipa access ya ku track mzigo mpaka unafika. Na nilipochelewa kwenda kuchukua walinituimia mesg.

Sijui kwasasa kama bado yupo makini au la not sure. Sijawai kumwona.
Rejea hapa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom