Judgement
JF-Expert Member
- Nov 13, 2011
- 10,327
- 4,780
Tangu nimeingia humu, haikua inapita masaa ikiwa sijaona mtu mzima huyu kuliona jina lake nyuzini. Na hadi kufikia namuulizia ni pia kwa kumbukumbu zangu ndiye alikua membar wa kwanza ku'shere comments katika thread yangu ya kwanza Jf.
Takriban wiki inaenda ya 3 simuoni humu, uko wapi Mazee ? Au jirani yake anifikishie ujumbe kwake.
Takriban wiki inaenda ya 3 simuoni humu, uko wapi Mazee ? Au jirani yake anifikishie ujumbe kwake.