Wapenda wabeba maboksi

@vuvuzela duh, duh
umeniacha sina cha kusema.
$3500, ni nyingi sana laki hapa hapa bongo watu wanapiga zaidi ya hapo big time

pesa nyingi nadhani ni relative sana kutokana na mazingira na uelewa.
 
Hiyo ni average check ya benefits ya ukiwa mzee ume-retire na hufanyi kazi uko nyumbani umetulia, kula kulala.
Sio pesa ya ukiwa unapiga schedule. On top of that Medicare inanilinda as a senior
 
Lol! Keep this, inaweza kufaa kutumika kama 'historia ya marehemu' just in case. Hongera kaka vuvuzela, uko juu! Dola moja kwa siku haikuhusu kabisaa!
Nyani Ngabu ameshakwambia tunapata 401K (IRA/Roth).
Tutaendelea kupiga box na tukizeeka kurudi bongo tuna 401k zetu zinatulinda. On top of that nitakuwa nakamata Social Security check kila mwezi kuanzia nitakapostaafu hadi nikifa. In addition, Kwa waliopitia US army wanakula veterans benefits.
At least nitakuwa na uhakika wa check ya $ 3500 kila mwezi hadi nikiingia kaburini. Nimesha-set direct deposit na CRDB (Forex).
$ 3500 kila mwezi kwa maisha ya bongo sio haba. Nikijisikia medical check up na matibabu badala ya kwenda India nitakuwa narudi US at least once a year. Ukizingatia as a senior nitaqualify for Medicare!! God Bless America!!
Boksi halimtupi mtu banaaa
 
Aisee! Unatisha! Ukifikiria kuoa mitala unistue basi. Umekuwa handsome ghafla!
Hiyo ni average check ya benefits ya ukiwa mzee ume-retire na hufanyi kazi uko nyumbani umetulia, kula kulala.
Sio pesa ya ukiwa unapiga schedule. On top of that Medicare inanilinda as a senior
 
Nyani Ngabu ameshakwambia tunapata 401K (IRA/Roth).
Tutaendelea kupiga box na tukizeeka kurudi bongo tuna 401k zetu zinatulinda. On top of that nitakuwa nakamata Social Security check kila mwezi kuanzia nitakapostaafu hadi nikifa. In addition, Kwa waliopitia US army wanakula veterans benefits.
At least nitakuwa na uhakika wa check ya $ 3500 kila mwezi hadi nikiingia kaburini. Nimesha-set direct deposit na CRDB (Forex).
$ 3500 kila mwezi kwa maisha ya bongo sio haba. Nikijisikia medical check up na matibabu badala ya kwenda India nitakuwa narudi US at least once a year. Ukizingatia as a senior nitaqualify for Medicare!! God Bless America!!
Boksi halimtupi mtu banaaa

Baambie baelewe hao wala vumbi. Oooh halafu tax season is around the corner. Mtu mzima najiandaa kukunja $7,000+ zangu kilaiiniiiii. Wiki ya kwanza tu ya 2012 naingia Turbo Tax kufanya vitu vyangu....wanachezea boksi hao....
 
@vuvuzela duh, duh
umeniacha sina cha kusema.
$3500, ni nyingi sana laki hapa hapa bongo watu wanapiga zaidi ya hapo big time

pesa nyingi nadhani ni relative sana kutokana na mazingira na uelewa.

sio kwamba na matumizi yao yanagharimu sana hivyo kiwango hicho kikawa cha kawaida!!
 
@emilia
basi wote kesho tunapanda ndege twende huko ambako hamna foleni ya kutoka tegeta kwenda posta

reference ya Tz ni dar tu?
Mikoa mingine ina foleni?
Swala sio kupanda ndege na kwenda ndugu,ila nachosema sio kweli kwa ile hoja kwamba
siku hizi bongo km mtoni.

Nimetolea Dar km mfano,lakini kutoa la foleni hayo mengine niliyoyataja mikoani hali ni ileile na isitoshe 70% ya watz wako vijijini,kilimo bado cha jembe la mkono na 70% kama sikosei ya nchi haina umeme.
Halafu unamsikia mtu eti siku hizi bongo km
mtoni.

Hata ukiwa na bank account kubwa km Billie Gates bongo bado matatizo.
Ndio maana nikakutolea mfano mdogo tu unaendesha gari la milioni 200 lakini unakaa
foleni masaa mawili kama unaenda Morogoro hapo utasema umeendelea??
 
Hivi ni nani mwenye akili atasema kuwa ile mivumbi yote na ile mitope ndo kama mamtoni? Mamtoni gani kwenye mivumbi na mitope kama bongo?
 
Ila ile vumbi jua ile vumbi inaathari ndogo na sio kama bongo na wanajua jinsi ya kuidhibiti
 
Back
Top Bottom