Wapenda wabeba maboksi

Kuna wabeba box flani nawafahamu wana mashauzi hao utafikiri hawanyi!
Hivi wote ndio wapo hivyo au ni hao tu? Nijuzeni kabla sijatuma maombi kwa nyani.
 
@emilia
basi wote kesho tunapanda ndege twende huko ambako hamna foleni ya kutoka tegeta kwenda posta

reference ya Tz ni dar tu?
Mikoa mingine ina foleni?
 
huwa ni movie tosha
huwa nacheka hadi nataka kuzimia
kila mmoja hutaka onekana ni juu zaidi ya wengine
hapo ndo huandaa popcorn na coke ready for the maigizo
tena zile za stejin

Kuna wabeba box flani nawafahamu wana mashauzi hao utafikiri hawanyi!
Hivi wote ndio wapo hivyo au ni hao tu? Nijuzeni kabla sijatuma maombi kwa nyani.
 
Siyo kweli bongo ni kama mtoni,kweli??
Inawezekana wabongo kwetu kuwa na hela nyingi bank ndio mafanikio.

Bongo na mtoni haviwezi kulingana hata siku moja.
Mtu anagari la milioni 80 lakini anakaa foleni masaa mawili kila siku kwenda na kurudi kutoka Tegeta mpaka posta ukimuuliza atakwambia nayeye anaishi km mtoni.

Watoto wa Obama wanakwenda shule ambazo mmarekani wa kawaida anaweza kwenda,hapa kwetu mtoto wa ktz anasoma shule hajui maabara inafananaje wkt mtoto wa kiongozi anasoma shule ya mil 5 kwa mwaka, wkt mwalimu serikalini analipwa laki 2 kwa mwezi.

Hizo ni chache acha Afya,Umeme,maji n.k ila mtz anakwambia kuna watu wanaishi.km mtoni kwa sababu wana mishahara au income kubwa ambayo haisaidii bila mazingira kwa ujumla wake kubadilika.

Bora uendelee kubeba boksi hukohuko huku hamna lolote la maana.

Bongo haiko kama Marekani wala Ulaya au nchi ingine yoyote iliyoendelea. Watu huwa wanadanganyana hivyo kujipa faraja tu.
 
huwa ni movie tosha
huwa nacheka hadi nataka kuzimia
kila mmoja hutaka onekana ni juu zaidi ya wengine
hapo ndo huandaa popcorn na coke ready for the maigizo
tena zile za stejin

wangejua wanajichoresha wasingekuwa wanafanya mashauzi.
 
am siriaz ujue...ngoja nikupiem kabla inbox yako haijajaa.Mie nipo ila siku hizi majukumu yameongezeka ndo maana sionekani.

Karibu sana kwenye chama chetu cha wabeba maboksi. Kwa niaba yangu mwenyewe, mimi kama raisi wa maisha wa wabeba maboksi na kwa niaba ya katibu mkuu tawi la Shekoslovakia na Chechenya, mheshimiwa Kloro, tunakukaribisha kwa mikono yote miwili.
 
Back
Top Bottom