wapenda nini????'?

Vile umesema unapenda nyimbo za kiganda nikashangaa au una undugu na banyankole?

Honestly umeudhika? Kama ndivyo samahani Kipipi

Hahah mie nazipenda tu tena sana....na ni mTZ halisi hata ugandani sipo kabisa!!
Wala wanyankole sihusiani nao mwaya!!

To be honesty....hakuna kilichoniudhi mpendwa wangu....na sijaudhika hata chembe!
So, haina haja ya kusema samahani Kaizer.

Uwe na amani tu!
 
Last edited by a moderator:

Orait Kipipi basi come zis way nina zawadi yako. Cantalisia bin Mtambuzi ako pande gano?
 
Last edited by a moderator:
beibe nasty yani me cwezi pitisha siku bila kupitia pale Amijei Chips Sinza.
Yani ntaona cku yangu haijakamilika.

I like ma body...!!!
Ya i like ma body jamani yani huwa naweza pitisha hata half hours front the mirror kuusifia uumbaji wa Allah kwangu mimi!!

That's enough!!!

Aisee! Mwalimu Madame B njoo nifundishe vitendawili!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom