wapenda nini????'?

Mkanye, au labda Ana hasira na hiyo meli.

Mie na hasira wapi na wapi !
Hata hivyo hii meli imenihuzunisha si haba Remmy!
Kifo cha mma usikiskie mpendwa!
Hata nafikiri kudhani bora cha ndege!
 
Mie na hasira wapi na wapi !
Hata hivyo hii meli imenihuzunisha si haba Remmy!
Kifo cha mma usikiskie mpendwa!
Hata nafikiri kudhani bora cha ndege!

Pole waigwa!
Ajali zipo kote tu, hakuna cha afadhali.
Ndege ikiwaka moto hata hamziki.
Pole sana!
 
Kuangalia picha...:.....................................................

Huwa nafurahi sana.
 
Mie napenda kulala.....tena sana! Kuhusu sehemu ya mwili, nakipenda sana kipara changu tu!
Kipip ineed sm extra ordinary ting coz sleeping kilamtu anpenda lala it jus amtter of avn time bt listening to music, playn futbal, smilling, laughin, crying hehhee, dancing, ps, watchn movie and many many ting hp imade my self clear kipipi darlin
 
Mbali na kulala napenda kusikiliza/kuangalia dance hall, ragga na nyimbo za kiganda! Nambie kama nimepatia kujibu swahiba.
 
morning guys
Hebu mnambie ni kitu gan wewe mwana jf unakipenda kukifanya au huwa unakifanya mara kwa mara yan kilasiku lazma ukifanye na pia unaeza fanya mara nying sana kwa siku na huwa wakifurahia

Na suala lingne ni jee ni sehemu gan ya mwil wako ambayo ukitazama hivi wasema naaaaam hakika mungu hakukosea mwanakwetu.

kwa upande wangu mimi kitu ambacho napenda kukifanya na ambacho huwa naweza kukifanya kwa muda mrefu kuliko vitu vyote nikaa na computer...Yaani mimi na computer ni kama mke na mume ingawa hatujfaunga ndoa ila mahari tayari nimeshatoa...Yaani naweza kuspend naye kuanzia asubuhi hadi usiku wa mananae bila kuchoka. Sijui nimerogwa au nimechanjiwa...lakini kusema ukweli hii computer imeuteka sana moyo wangu na kuutundika juu ya CPU hadi vitu vingine vizuri sivioni.
 
Jitoe ufahamu wenzio wanaumwa wanafikia hadi hawapati watoto sa we endelea na computer mionz si mizuri jata utazaa laptop hiyo si desktop
 
Kabisa beibe nasty, na muda mchache ulopita nimetoka kuangalia top 10 za kiganda!

Top ten za kihaya huzipendi?
'Omwalimu owa nyakato' waujua weye?
Kayaizile kusindika olwigi bojo
Akshanga lutaina chomeko
Akashanga bafumbaine mbaushana abayaudi,
Yamukwata omushaija yamutema ebigulutwa
Malaika na mukamawe malaya kazilo akalaba omudirisha.....
 
waakora
 
Jitoe ufahamu wenzio wanaumwa wanafikia hadi hawapati watoto sa we endelea na computer mionz si mizuri jata utazaa laptop hiyo si desktop

Hii ni desktop mama. Kama ni kufa kwa mionzi ningeshakufa siku nyingi maana in my room ambapo ndio kuna ofisi yangu huku kila kitu ni wireless kuanzia keyboard, mouse, hadi internet. Huku ni mwendo wa kwenda na wakati tul.
 
Wewe wajua unadhani madhara yanonekana mda huu wala ila usinambie muda wote wewe na computer computer na wewe usinfanyie hivo mie ninaekujali
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom