wapenda nini????'?

Top ten za kihaya huzipendi?
'Omwalimu owa nyakato' waujua weye?
Kayaizile kusindika olwigi bojo
Akshanga lutaina chomeko
Akashanga bafumbaine mbaushana abayaudi,
Yamukwata omushaija yamutema ebigulutwa
Malaika na mukamawe malaya kazilo akalaba omudirisha.....

Mi napenda top 10 ya nyimbo za kichina
 
kwa upande wangu mimi kitu ambacho napenda kukifanya na ambacho huwa naweza kukifanya kwa muda mrefu kuliko vitu vyote nikaa na computer...Yaani mimi na computer ni kama mke na mume ingawa hatujfaunga ndoa ila mahari tayari nimeshatoa...Yaani naweza kuspend naye kuanzia asubuhi hadi usiku wa mananae bila kuchoka. Sijui nimerogwa au nimechanjiwa...lakini kusema ukweli hii computer imeuteka sana moyo wangu na kuutundika juu ya CPU hadi vitu vingine vizuri sivioni.

Lol, hata hicho ulicho nacho hujakiona? unahitaji jicho la tatu
Sema basi na sehemu uipendayo kwa wewe, au NDO hiyo CPU yako? tehe
 
shhhh, usipige kelele. Ngoja nkamsikilize, you wait here na usimwambie mtu tumehamia huku
Nakuletea zwadi eeh!? :mwaaah:

Huko unakoenda ukijikwaa usije kulia kwangu na sihongeki
 
Back
Top Bottom