Wanzibari na muungano

Apr 9, 2012
78
8
Kuna wanzanzibar eti hawataki muungano ,hawa watu wanatumiwa na viongozi wa huko wasiotaka muungano baada ya kuanza mchakato wa katiba mpya hatuwalazimishi nafikiri waende kwenye mahakama ya kimataifa kufungua kesi ya kuvunja muungano,mbona sudani kusini wameweza au hawa niwapiga keleletu mi nawashauri watumie mchakato wa katiba mpya kudai hili kama kweli wanaweza au ndio wanatikisa kiberiti?njiti ndugu zangu zimejaa
 
hawa jamaa kila siku wanalalamika kwamba wanaonewa kwenye mgawanyo wa mali za serikali, swali.... wanachong'ang'ania ni nini siwajikate zao tuu.

kila siku hawaishi maneno mara usikie jussa kasema ivi mara vile. ata sisi tumewachoka ondokeni tuu kama sudan ya kusini. hata nyerere alishawastukia tuu nyie ni mamluki.
 
Back
Top Bottom