WANYARWANDA wamejaa Jeshini hadi Ikulu Tz...

Ubungoubungo

JF-Expert Member
Jul 28, 2008
2,502
739
Tangu lini tumekuwa tukisikia kuwa wanyarwanda wengi wamejaa kwenye secta muhimu hapa nchini? jeshini, secta muhimu hadi ikulu?

huyu mwanajeshi aliyetorokea Rwanda ni fundisho tosha, ndio maana kagame ana kiburi kwasababu amekuwa akipokea siri za tz tangu kitambo, anao watu wake hapa, na hawa watu wake ndio walewale aliowatumia kumuua Prof mwaikusa. anaweza kuifanya lolote tz kwasababu amejaza mamluki wake hapa. Tz beware.

pia, ule mchakato wa kufurumusha wahamiaji haramu ilikuwa ni danganya toto tu, mbona hawafukuzwi? hao ndio wanaokuja kuisaliti tz baadaye, yapaswa waondoke wote, kagera na kigoma iwe safi, polisi wanajeshi na usalama safisha maeneo haya. pia kuna umuhimu kwa secta muhimu kuchuja watu wa aina gani, wazalendo kiasi gani na historia za maisha yao zichunguzwe kabla ya kupewa nafasi muhimu. wamarekani wanafuatilia mtu hadi alipozaliwa, ila tz tunapeana tu vyeo, ona sasa afisa mkubwa wa jeshi anapeleka siri za nchi yetu nje? tutakuwa na ujasiri kuivamia rwanda kweli? si wanatujua? wanatuona tuko uchi hadi wanatudharau...
 
mkuu njoo njoo huku tegeta boko bunju uone jinsi walivyo jaa wanamiliki majumba na biashara za hardware ni aibu mkuu.tulisha sema kama serikali inania ya dhati kuwaondoa hawa itoe number za simu tuwaonyesha wawakamate ingawa wanauchumi mzuri wanaweza kuwapa rushwa wakawaachia kama si wazalendo.
 
Tangu lini tumekuwa tukisikia kuwa wanyarwanda wengi wamejaa kwenye secta muhimu hapa nchini? jeshini, secta muhimu hadi ikulu?

huyu mwanajeshi aliyetorokea Rwanda ni fundisho tosha, ndio maana kagame ana kiburi kwasababu amekuwa akipokea siri za tz tangu kitambo, anao watu wake hapa, na hawa watu wake ndio walewale aliowatumia kumuua Prof mwaikusa. anaweza kuifanya lolote tz kwasababu amejaza mamluki wake hapa. Tz beware.

pia, ule mchakato wa kufurumusha wahamiaji haramu ilikuwa ni danganya toto tu, mbona hawafukuzwi? hao ndio wanaokuja kuisaliti tz baadaye, yapaswa waondoke wote, kagera na kigoma iwe safi, polisi wanajeshi na usalama safisha maeneo haya. pia kuna umuhimu kwa secta muhimu kuchuja watu wa aina gani, wazalendo kiasi gani na historia za maisha yao zichunguzwe kabla ya kupewa nafasi muhimu. wamarekani wanafuatilia mtu hadi alipozaliwa, ila tz tunapeana tu vyeo, ona sasa afisa mkubwa wa jeshi anapeleka siri za nchi yetu nje? tutakuwa na ujasiri kuivamia rwanda kweli? si wanatujua? wanatuona tuko uchi hadi wanatudharau...

Mkuu usisahau kwamba Tanzania tumebarikiwa ukarimu. Tunawakirimu wageni na kuwapeleka hadi vyumbani mwetu tukifikiri ni marafiki wazuri wenye nia njema kwetu kama tuliyo kwao, kumbe wanakuja na ajenda zao tofauti ambazo nyigizo ni hujuma kwa taifa letu. Ni mambo ya kujifunza na kuungalia upya ukarimu wetu.
 
Humefika wakati kwa vyombo vyetu vya Ulinzi na sehemu Nyeti kuchunguzana wenyewe kwa wenyewe naanza kuamini nyalaka za wikiliks.
 
Hofu ya nini ndugu zanguni?
Biblia yangu imeniambia mara 365 kuwa USIOGOPE. Hii inamaana kila siku ninaambiwa nisiogope, na mimi siogopi kitu.
Kama serikali ya Tz inahofu na Wanyarwanda si ifanye miundo mbinu tuungane nao?
If you cant fight them, join them.
Hapo utakuwa salama
 
Huyo mjeshi katorokea wapi!?? inside job hiyo.. subject sílenced and deleted permanently... hiyo ya kutoroka ndo jibu kwa mke na watoto...
mmmh umefikiria kitu amabcho sikukifikiria kabisaaaaaa,inawezekana kabisa
 
Hofu ya nini ndugu zanguni?
Biblia yangu imeniambia mara 365 kuwa USIOGOPE. Hii inamaana kila siku ninaambiwa nisiogope, na mimi siogopi kitu.
Kama serikali ya Tz inahofu na Wanyarwanda si ifanye miundo mbinu tuungane nao?
If you cant fight them, join them.
Hapo utakuwa salama

Tumeshindwa kuweka sawa muungano wetu na zanzibar sembuse Rwanda?
 
Tupeni vitambulisho vya kitaifa mapema ndio muweze kuwadhibiti wahamiaji haramu. Hata Wamalawi wamejaa huku Mbezi Beach kama watunza bustani na walinzi wa vibosile!
 
Tangu lini tumekuwa tukisikia kuwa wanyarwanda wengi wamejaa kwenye secta muhimu hapa nchini? jeshini, secta muhimu hadi ikulu?

huyu mwanajeshi aliyetorokea Rwanda ni fundisho tosha, ndio maana kagame ana kiburi kwasababu amekuwa akipokea siri za tz tangu kitambo, anao watu wake hapa, na hawa watu wake ndio walewale aliowatumia kumuua Prof mwaikusa. anaweza kuifanya lolote tz kwasababu amejaza mamluki wake hapa. Tz beware.

pia, ule mchakato wa kufurumusha wahamiaji haramu ilikuwa ni danganya toto tu, mbona hawafukuzwi? hao ndio wanaokuja kuisaliti tz baadaye, yapaswa waondoke wote, kagera na kigoma iwe safi, polisi wanajeshi na usalama safisha maeneo haya. pia kuna umuhimu kwa secta muhimu kuchuja watu wa aina gani, wazalendo kiasi gani na historia za maisha yao zichunguzwe kabla ya kupewa nafasi muhimu. wamarekani wanafuatilia mtu hadi alipozaliwa, ila tz tunapeana tu vyeo, ona sasa afisa mkubwa wa jeshi anapeleka siri za nchi yetu nje? tutakuwa na ujasiri kuivamia rwanda kweli? si wanatujua? wanatuona tuko uchi hadi wanatudharau...

Ndo tatzo letu wabongo,tunapenda kuongea sana haid tusivovijua tunaviongea,juz msemaj wa jeshi kalitolea ufafafnuz hlo swala na haikuwa kama hvo mnavosema nyie,achen kumpaka mafuta kwa mgongo wa chupa PK mwisho wa siku akaumbuka bure,hata apewe nn anaijua tz n nn na n kna nan,hiz choko choko n propaganda za kutaka ajiingize vitani ili atoke ikulu na znafanywa na wapinzani wake,sasaa nyie wabongo mnaanza jifanya upo vzur ktk tiss zenu uchwara kuukuza huu msuguano.Pk anaijua Tz vzur na hutomskia kwa mdomo wake akiprvk.mind yo month
 
Wanajamii,
Kinachozungumzwa kina ukweli mwingi ila tuzingatie kuwa baadhi yao walipewa uraia tangu 1981 na watoto wao ambao wamezaliwa baada ya 1981 ni watu wazima kwa sasa ni raia wa kuzaliwa.

Kinachotakiwa ni kufanya chambuachambua ya makini ili kubaini ambao hawako katika hii category. Vinginevyo tutakuwa kama South Africa ilivyolaumiwa na sisi sote walivyowafukuza wafrika wenzao waliowasaidia hata kupata uhuru.

Anjo
 
mimi nadhani pawepo na sheria ya kuingia katika vyombo vya usalama na katika madaraka makubwa ndani ya serikali, iwe unatakiwa uwe na damu ya kitanzania mpaka kizazi cha nne nyuma, yaani babu yake babu yako awe ni mtanzania wa wakuzaliwa kwa baba na mama wa kitanzania.
 
Vitambulisho vitafanya nini wewe tz inanuka rushwa wewe ukipewa 1m siutampatu kitambulisho siutawapa tu wanyarwanda au wa malawi ikulu na jeshi polis ndio sehemu ya kuwa scan wote ndio sehemu hatari kuliko uraiani
 
Wanyarwanda wengi bado wanasomeshwa na bodi ya mikop[o Tanzania HESLB kutokana na sisi kutokuwa na vitambulisho vya uraia.
 
hahaha, viongozi wao wengi wamesomeshwa kwa mikopo ya tz, mawaziri na wakubwa wengi wamesoma tz bure. wengine kama bado wapo wanapata mikopo, basi hiyo ni balaa. ninahisi kuna harufu ya vita kati ya tz na rwanda, na ninaiona rwanda ikiwa chini kabisa haijitambui. sipendi hiyo itokee kwasababu rwanda will be torn to the ground. the problem is, RWANDA ISIJE KUJILINGANISHA NA ISRAEL, kwasababu israel ni taifa teule kwetu sisi wakristo, na waisrael wote wako very united, tofauti na Rwanda. kagame alipokaa pale asijefikiri kuwa kuna asilimia walau 50% ya wanyarwanda wanamsapoti, wahutu walio wengi wanamchukia balaa kiasi kwamba majeshi ya tz yakiingia tu Rwanda, wahutu wengi wataunga mkono ili kuung'oa utawala wa kagame. kagama anao maadui wake yeye mwenyewe mle nchini mwake ambao wataweza kuleta intelligencia tz kwa faida ya tz, wapinzani anao wengi mno kiasi kwamba hayuko salama kabisa. amini usiamini, kama wanyarwanda wote wangekuwa pamoja, hawangekuwa devided, ingekuwa vigumu sana kwa tz kuipiga rwanda, lakini kwasababu wako devided, hiyo ni advantage kwa tz, ni kama ilivyokuwa kwa iddi amin, waganda walisapoti tz kumtoa madarakani, ndivyo itakavyokuwa kwa wanyarwanda kusapoti tz kumtoa kagame madarakani ili akaishi msituni na m23.
 
Ubungoubungo ye, hapa si eneo muafaka la kutoa hisia zako. Toa maoni yako ili yaingizwe kwenye katiba mpya, kuwepo na kipengele cha kuwabagua watu wenye asili ya ya rwanda hata kama ni raia wa Tanzania. kwasababu katiba ilivyo sasa hakuna kipengele, nadhani, kinachotaja kuwa watu wenye asili Fulani wabaguliwe. Nenda kwenye tume ya warioba utoa maoni, labda yataingizwa kwenye katiba. Zaidi ya hapo, hapa unachofanya ni hallucination....

Back
Top Bottom