Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 740
Tangu lini tumekuwa tukisikia kuwa wanyarwanda wengi wamejaa kwenye secta muhimu hapa nchini? jeshini, secta muhimu hadi ikulu?
huyu mwanajeshi aliyetorokea Rwanda ni fundisho tosha, ndio maana kagame ana kiburi kwasababu amekuwa akipokea siri za tz tangu kitambo, anao watu wake hapa, na hawa watu wake ndio walewale aliowatumia kumuua Prof mwaikusa. anaweza kuifanya lolote tz kwasababu amejaza mamluki wake hapa. Tz beware.
pia, ule mchakato wa kufurumusha wahamiaji haramu ilikuwa ni danganya toto tu, mbona hawafukuzwi? hao ndio wanaokuja kuisaliti tz baadaye, yapaswa waondoke wote, kagera na kigoma iwe safi, polisi wanajeshi na usalama safisha maeneo haya. pia kuna umuhimu kwa secta muhimu kuchuja watu wa aina gani, wazalendo kiasi gani na historia za maisha yao zichunguzwe kabla ya kupewa nafasi muhimu. wamarekani wanafuatilia mtu hadi alipozaliwa, ila tz tunapeana tu vyeo, ona sasa afisa mkubwa wa jeshi anapeleka siri za nchi yetu nje? tutakuwa na ujasiri kuivamia rwanda kweli? si wanatujua? wanatuona tuko uchi hadi wanatudharau...