Mazingira
JF-Expert Member
- May 31, 2009
- 1,833
- 298
Ubamanile gete abana Ntuzu gunguno batogilwe guyumba "chuu"
Nabadebile gete abing'wana benaba. Batogilwe gete kuyomba "chuu"
Ubamanile gete abana Ntuzu gunguno batogilwe guyumba "chuu"
Angalia EPA ya BOT,hakuna mtuhumiwa hata mmoja anatoka kabila kubwa

Mamitwe gangi gagobiza machilochilo duhu!!
Mwanamasala said:Tangu uhuru makabila haya yamepigwa chini na makabila madogo madogo!Maendeleo ya mikoa yao yako chini sana,ingawa natural resources nyingi zinatoka huko.Kisiasa tangu akina James Mapalala,Kasanga Tumbo,
Chief Fundikira na Chief Makwaia wapigwe chini na Nyerere ,mikoa hiyo haina uwakilishi kabisa katika maamuzi ya serikali.
Ukiangalia mafisadi wengi wanatoka makabila madogo madogo!Wapinzani wa serikali pia ni kutoka makabila madogo.Mpaka haya makabila yaibuke ,yaseme enough is enough,ufisadi na stupidity ya nchi yetu utaendelea milele.Tujadili!!!!!!!!!!!!!!!!
Wasukuma na Wanyamwezi wenzangu mpo?
Kwenye mchango wangu wa kwanza kabisa kwenye thread hii niliahidi kuwa nitaendelea. Ukweli unabaki palepale kama mtoa maada alivyoanza kuchangia.
Ni dhahiri kabisa kuwa hii mikoa ya Wasukuma na Wanyamwezi imesahauliwa tangu enzi za Mwalimu. Siyo siri maendeleo katika maeneo haya ni duni na yanatia kichefuchefu. Hakuna barabara za lami, hakuna shule wala vyuo vikuu ambavyo aghalabu ni ndiyo vichocheo vya maendeleo.
Labda tujaribu kurudi huko nyuma enzi za Mwalimu baada ya uhuru. Kwa habari ambazo haziwezi kuthibitishwa yasemekana kwamba mara baada ya uhuru Marehemu Baba wa Taifa alikuwa na hofu sana na watu hawa: Wasukuma na Wanyamwezi. Nyerere mwenyewe alitokea kikabila kidogo cha Wazanaki(Wasukuma wanawaita Washashi) pale Musoma-Mara. Kwa hiyo Nyerere alikuwa na hiofu na makabila makubwa kama yetu. Wakti wa vuguvugu la kuelekea kwenye uhuru kulikuwa na chama maarufu sana cha Wana-ushirika au Wakulima(Balimi) kilichokuwa kikiitwa Nyanza Federation. Chama hiki kilikuwa kimejijengea umaarufu kiasi kwamba kilikuwa ni tishio hata kwa vyama vya siasa. Nyerere alilijua hili kwa hiyo yeye akaamua kusambaratisha chama hiki kwa kuwapa vyeo viongozi waliokuwa wakitoka maeneo haya, vyeo ambavyo vingewafanya wasijulikane wala kuwa karibu na Wananchi(Wasukuma na Wanyamwezi).
Watu kama kina marehemu Paulo Bomani(msukuma wa Ngwanza) waliteuliwa kwenye balozi za kuduma huko USA(Marekani) ili wasiendelee kujijengea umaarufu na hatimaye kutwaa uongozi wa nchi hii. Jaji Mark Bomani naye alipelekwa Zambia na kukaa kwa muda mrefu tu. Kwa mtindo huo wengi waliwasahau na umaarufu wao kupotoea. Njia nyingine ilikuwa viongozi kutoka maeneo haya kupewa nyazifa ambazo hazina umaarufu wa kujulikana kwa haraka. Vyeo kama ukuu wa Wilaya, mkoa au Uwaziri katika Wizara zisizo nyeti. Kwa kipindi chote hicho mpaka leo hakuna Msukuma au Mnyamwezi ambaye amepata kuwa Waziri Mkuu. Anza na watu kama kina Kawawa ambaye ndiye alikuwa PM wa kwanza Tanganyika, mtu ambaye hata shule ilimpita pembeni, mtakubaliana nami kuwa Kawawa alikuwa ni msanii(mwigizaji) wa filamu akijulikana kama Mhogo mchungu kwa jina la usanii. Kwa kisomo asingeweza kuwafikia Wasukuma na Wanyamwezi wa wakti huo ukianzia na kina Paulo Bomani, Jaji Mark Bomani, Chief Abdulla Fundikira, Kasanga Tumbo,Kasela Bantu na wengineo.
Baada ya Kawawa wakaja kina Marehemu Sokoine(Masai),Dk.Salim A. Salim(mpemba),Joseph Sinde Warioba(Muikizu),Fredrick Sumaye(mbulu) Edward Lowasa(Masai) na sasa Mizengo Kayanza Pinda(sumbawanga). Wote hawa ni kutoka kabila ndogo ambazo hazina umaarufu kama walivyo Wasukuma na Wanyamwezi. Nyerere alijua kile alichokuwa akifanya kwa makusudi kabisa huku akisingizia anaondoa ukabila.
Kama hiyo haitoshi Mwalimu aliamua hata kuhamisha utajiri na raslimali za Wasukuma na Wanyamwezi na kuzipeleka maeneo mengine na maeneoa haya kuendelea kuwa hoi bin taabani. Tuchukue mifano hai kabisa ambayo haina ubishi. Pale Mwadui- Shinyanga kuna mgodi wa Almasi ulioanzishwa na Wakoloni tangu mwaka 1940 ulijulikana kama Williamson Diamonds. Mgodi huu haujawasaidia Wasukuma kwa lolote. Nenda pale leo barabara ni vumbi na mashimo mpaka uvunguni. Hakuna lami wala ndugu yake lami. Miaka ya 1970 kukatakiwa kujengwa kiwanda cha kukatia Almasi. Kwa mategemao ya wengi kingejenwa Mwadui au Shinyanga mjini lakini kwasababu za kutowaendeleza Wasukuma wa Shinyanga kikapelekwa Iriiinga kwa Wahehe. Njoo kwenye viwanda vya nguo mambo ni yaleyale. Mwanza Textile pekee ndicho kilichokuwa mahali sahihi. Lakini ukija Viwanda kama Musoma Textile(MUTEX) kilikuwa Musoma, Urafiki Textile kiko Dar, unakuta kwamba Pamba ilikuwa inasafrishwa toka Shinyanga, Mwanza na Tabora kupelekwa Musoma na Dar kwenye Viwanda vya nguo. Yote hii ni katika juhudi za kuididimiza mikoa ya Wasukuma na Wanyamwezi.
Ni kweli kuna vipindi tumekuwa na Mawaziri miaka ya 90 hivi kwenye Wizara kama Mawasiliano na Ujenzi kina Dk. Pius Yasebasi Ngwandu au Ernest Nyanda, lakini hawakuwa na ubavu au jeuri ya kuchota pesa na kuzihamishia kwenye miradi ya mabarabara ya Usukumani na Unyamwezini kama ambavo Mawaziri wenye jeuri kama kina Basir Pesambili Mramba.walivokuwa wanafanya.
Mojawapo ya sifa za Wasukuma na Wanyamwezi ni Ukarimu wao na Upole wao kwa kila mtu. Pengine vitu kama hivi vina gharama yake. Hawapendi vurugu wala fujo na mambo ya kifisadi, wao wanataka amani, haki na usawa kwa kila mtu. Kweli mafisadi wapo lakini si kwa skeli kubwa kama ilivyo kwa haya makabila madogo madogo. Wengi watasema aah, mbona Chenge yumo! Sawa lakini mi mmoja tu, na hiyo ni kawaida katika jamii kuwa na mtu mmoja mmoja mwenye tabia tofauti na majority. Kwa hiyo yale waliyokuwa wanafanyiwa na Nyerere walikuwa wanaona ni sawa tu hakuna matata.
Lakini this time naona tumeanza kubadilika,Watanzania wameanza kuona tofauti ya Wasukuma/Wanyamwezi kwa kuanza kupambana na mafisadi. Mfano halisi ni vita vinavyoendelea ndani na nje ya Bunge kwa sasa. Mheshimwa Samweli Sitta, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania(Mnyamwezi),Lucas Selelii-MB(Mnyamwezi),Mpendazoe-MB(Msukuma) wanaongoza jahazi la kupiga vita ufisadi kwa Viwango na Mwendo(Standard and Speed).Kwa vile CCM ilijengwa kwa mtazamo wa kuyabana makabila makubwa kama haya kwa hofu ileile, sasa hivi CCM wanawasiwasi sana kuhusu haya makabila na ndiyo maana kuna kampeni za chini chini za kutaka kuwangoa akina Sitta.
Watu wana msemo wa hekima kuwa, ukitaka bubu aseme, mpige mwanae!!! Kama serikali ya CCM inataka kumfanya bubu aseme basi wajaribu kumpiga mtoto. Namaanisha CCM kama watafikia mahali pa kuwatimua kina Sita na kundi lake basi wanaweza kuchochea moto kwa kumwaga peteroli kwenye moto. Mimi naamini kabisa Marais wote wa awamu zote zilizopita na ya sasa ushindi wao walipata mkubwa walipata kutokana na kura za hawahawa Wanyanwezi na Wasukuma wanaowapuuza. Huo ndio ukweli. Sasa kama CCM watawachokoza jamaa hawa basi wana uwezo kabisa wakubadilisha matokeo ya Uchaguzi wa mwaka 2010. Maana ni wengi ati. Kama wakiamua kukipigia chama chochote cha Upinzani basi CCM hawana chao.
Nina hakika Wasukuma na Wanyamwezi tukiungana na kuwa kitu kimoja tunaweza kubadilisha mwelekeo wa nchi hii.Hatuwezi kuendelea kuona DHAHABU YETU,ALMASI YETU, MINOFU YA SANGARA WETU,PAMBA YETU, NG'OMBE WETU vikihamishwa kwenda nje au maeneo mengine ya nchi hii na sisi tukiachiwa mashimo na mapanki. Naamini kabisa tukiamua tunaweza kubadilisha mwelekeo wa nchi hii.
Nitaendelea wakti mwingine mara nyingine.
Ngwabeja sana banamhala.

Tangu uhuru makabila haya yamepigwa chini na makabila madogo madogo!Maendeleo ya mikoa yao yako chini sana,ingawa natural resources nyingi zinatoka huko.Kisiasa tangu akina James Mapalala,Kasanga Tumbo,
Chief Fundikira na Chief Makwaia wapigwe chini na Nyerere ,mikoa hiyo haina uwakilishi kabisa katika maamuzi ya serikali.
Ukiangalia mafisadi wengi wanatoka makabila madogo madogo!Wapinzani wa serikali pia ni kutoka makabila madogo.Mpaka haya makabila yaibuke ,yaseme enough is enough,ufisadi na stupidity ya nchi yetu utaendelea milele.Tujadili!!!!!!!!!!!!!!!!
Gashi tuli bhinge giki? Naleho nane Nhobhola! ng'wabheja bhazehe geshagi Nzengo
Ogah nakubalina na wewe!Wachaga wamezidi Tanzania nzima!Mama Anna Mkapa na Basil Mramba are typical Chagas!!!!
Guku ulimhola ahene?