Wangapi tumeangalia series nyingi kiasi kwamba tunateseka sana kupata series mpya za kuangalia

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,034
Series nilizocheki ni nyingi sana ni za kimarekani, kikorea na kilatini.

Yani hapa kupata series mpya imekuwa shughuli nzito sana

Napenda series za uhalifu, misukosuko ya kutoboa zero to hero,
 
Umejifunza nini kwenye hizo series
 
Series nilizocheki ni nyingi sana ni za kimarekani, kikorea na kilatini.

Yani hapa kupata series mpya imekuwa shughuli nzito sana

Napenda series za uhalifu, misukosuko ya kutoboa zero to hero,
Ajira huna ndomana una muda huo..unajisifia kuangalia tv bro..karne hii
 
Niliiangalia prison break...nikahangaika sana kupata series nyingne nikapata black list ikaisha ... nikahangaika tena nikapata TULSA KING na THE OLD MAN .... saiv nina criminal mind
 
Back
Top Bottom